Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Hapa hapahitajiki ushabiki wa kidini, hili jambo kama hatutakuwa makini halijadiliki hata kidogo, maana hili ni suala ambalo linahusu taifa kwa ujumla, amani ikitoweka hapatakuwepo cha mwisalam au mkiristo, so let us be careful kipindi tunajadili hii maada tamu,ila pinda ame make it very clear, hizo mahakama hazitahudumiwa na serikali,sass je hao mahakimu wataajiliwa na nani na watalipwa na nani, hilo ndo suala lilobaki la kujadiliwa japo kuajili siyo issue, je hizo mahakama zitaendelea kupokea misaada kwa ajili ya kuwalipa watumishi wake au la!, serikali inatakiwa kuwa makini, ikisema hakuna mahakama hiyo Tanzania, lazima iwe straight forward, na ikisema ndiyo, iwajibike kuwalipa mishara wanafanyakazi wote wa mahakama hizo.Je wakirsto watajisikiaje kama serikali ikiamua kuchukua hilo jukumu la kuwalipa mishara, hapo ndipo patakuwa patamu sana.kama wataka kura za hao ndugu zetu, wafanye mambo kwa kukurupuka, yatawatokea puani.

Mkuu Domisianus, hapo ulipogonga ndo serikali ilipojitoa, kwa hiyo kama wenzetu wakiamua kuanzisha mahakam hizo wajue mzigo wa kuzigharimia, ikiwepo kuajiri makadhi nchi nzima ni juu yao, kwa sababu maaskofu na mapadri/wachungaji hawalipwi na serikali, na wala hwajaomba serikali iwalipe!

Huo ndo msingi wa hoja ya Pinda, kwa maoni yangu. Ni suala la kuamua tu...kama wanaweza kugharimia...rukksa,, kama hawawezi..haya wataangalia utaratibu mwingine, muhimu katiba ya nchi iheshimiwe,basi!
 
uitishwa mjadala wa kitaifa ....pia gharama zao na mipaka na haki na wajibu wa serikali na mahakama zake ziwe wazi na watendaji wajue wazi kuwa kesi hii inaanagukia wapi....pia makahama za rufaa yaani vurugu tupu...sijui ila linajadilika....
sasa kama inaanzishwa na waislam wenyew yanini hilo kundi la mufti kukutna na govt
 
Hii mikutano kati ya bakwata na serekeli kuhusu kuunda mahakama ya kadhi ya nini wkati serekeli ishasema ni ya waislm wenyewe? Au tena itakuwa kama bakwata ifuate matakwa ya serekeli
 
tafadhali ndugu yangu katika mada hii achana na Zanzibar. Usihangaike na mfano wa huko. Zanzibar karibu asilimia 98 ya watu wake ni Waislamu. Serikali inahudumia watu sasa wengi wao wakiwa ni haon (Waislamu) kwa nini isiyakumbatie mambo yao. Usitudahil Bwana Kule kuna Makadhi na wanaheshimika wakiwa na hadhi kamili. Mazonge ya talaka na mirathi tunayapeleka Mahkama ya kadhi na yanatatuliwa kwa mujibu wa dini yetu. Kwa hilo tuache -please. Usitutolee mfano katika malumbano yenu.

Katika hiyo 2% ambayo ni dini nyingine zaidi ya uislamu haiaminiki kwamba inawezekana akatokea Rais wa Zanzibar hapo, kisha akamwapisha huyo Kadhi? Hata bara makadhi ambao watalipwa na wanaohusika - WAISLAMU, si pia wataheshimika? Kwani kwa kufanya ibada yao, wakilipwa na wanaowahusu si wataheshimika zaidi? Au sasa hivi mashekhe si pia wanaheshimika? Nilitoa mfano huu kwa kuwa mashekhe na waislamu wengi wamekuwa wakiutumia mara kwa mara, au wakiutaja wao ndio unaeleweka zaidi?
 
1. Je, ugharamiaji wa Mahakama za Kadhi unaweza kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977? Ndiyo!
Ibara ya 19 (2) inaeleza kwamba "Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za ma mamlaka ya nchi". Kwa kuwa Waislamu wamesema kwamba uendeshaji wa Mahakama za Kadhi ni kuendesha ibada Mamlaka ya nchi haitakiwi kuingilia ibada hizo bali wahusika waachwe waendelee na uendeshaji ambalo ni jambo la mtu binafsi.

2. Je, kuwepo kwa Mahakama za Kadhi Zanzibar ni kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Hapana!
NYONGEZA YA KWANZA ya Katiba hiyo imetaja Orodha ya Mambo ya Muungano na suala la Uenezaji wa Dini, Kufanya Ibada, Kutangaza Dini sio la Muungano. Pia suala la Mahakama zote isipokuwa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano sio jambo la Muungano. Kwa hiyo suala hili ni la Tanzania Bara pekee ambapo utangazaji wa dini upo nje ya Mamlaka ya Nchi. Katika Ibara ya 99 (2) (b) ya Katiba ya Zanzibar, 1984 imeandikwa kwamba Mahakama ya Rufaa ya Jamhuri ya Muungano haitahusika na mambo ya Kiislamu ambayo yameanzia katika Mahkama za Kadhi. Kwa hiyo Mahakama za Kadhi za Zanzibar zimeanzishwa kwa Sheria za Zanzibar kama zilivyo Mahakama zingine hadi Mahakama Kuu, isipokuwa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano.

3. Je, kuna mtu amewakataza Waislamu kuunda Mahakama za Kadhi, kuziendesha na kuzigharamia? Hapana! Wafuate Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 kuhusu uenezaji wa dini na sio kunukuu Katiba za Kenya, Ethiopia, Uganda, UK, n.k.!
 
Hizi ni Blablaa za MwanaHalisi, Watueleze ni matatizo gani yameikumba OIC? na mataifa gani makubwa yaliyojiunga? Hizi ni porojo za kukatisha watu tamaa, iliwasidai kujiunga na OIC!!

OIC inaendelea na shughuli zake kama kawaida hakuna migogoro yoyote, msiwe wavivu wa kufikiri!!


OIC for Africa
(PANA) - Senegalese Minister of Foreign Affairs Cheikh Tidiane Gadio, has disclosed an amount of US$ 10 billion will be raised by 2010, under the Islamic Solidarity Fund for Development (ISFD), to enable African country-members of the Organisation of the Islamic Conference (OIC) benefit from.
 
Kumbe OIC ni kuongeza wigo kwenye "umatonya" wa TZ. tusijiunge ili tupunguze taasisi zinazofisha uwezo wetu wa kupanga mambo yetu wenyewe na mendeleo yetu wenyewe,kujiunga na OIC kutafanya tuendelee kubweteka kwa kuwa tutakuwa na sehemu ya kukimbilia kuomba msaada,Ni muhimu kuangalia hata namna ya kujiondoa kutegemea IMF,WB na mashirika mengine yanayotuwekea wigo wa kufiriri juu ya maendeleo yetu

KELELE ZOTE ZA KUJIUNGA OIC NI KUTAKA TUWE NA SEHEMU YA KUTEGEMEA MISAADA, AIIIBU WA TZ,TUJISTAHI KUJADILI UPUUZI
 
Akiwakirisha bajeti ya wizara yake leo asubuhi, Mh Bernad Membe katika kutoa progress ya suala la Tanzania kujiunga na OIC alisema, Jumuiya hiyo kwa sasa ipo kwenye organizational changes ambayo itachukua muda mpaka 2012, kwa hiyo ameomba hoja hii sasa izikwe kwa muda maana kuendelea kuizungumzia hakuna tija kwakuwa Jumuiya hiyo haitapokea maombi mapya ya uwanachama mpaka mabadiliko hayo yapitishwe na jumuiya hiyo 2012.....

hapo kazi ipo.......

kweli penya ala moja hapakai panga 2....
 
Akiwakirisha bajeti ya wizara yake leo asubuhi, Mh Bernad Membe katika kutoa progress ya suala la Tanzania kujiunga na OIC alisema, Jumuiya hiyo kwa sasa ipo kwenye organizational changes ambayo itachukua muda mpaka 2012, kwa hiyo ameomba hoja hii sasa izikwe kwa muda maana kuendelea kuizungumzia hakuna tija kwakuwa Jumuiya hiyo haitapokea maombi mapya ya uwanachama mpaka mabadiliko hayo yapitishwe na jumuiya hiyo 2012.....

hapo kazi ipo.......

kweli penya ala moja hapakai panga 2....
Hakuna kazi hapo, hiyo hoja ndio KIFO CHA MENDE............!!!!!!
Yatabaki matishio tu na kuleta stement mufilisi mfn "serikali yapitisha bajeti mahakama ya kadhi"
 
Haleluyah! Let's keep on praying!!!

This is the best of a shortcut answer to the violent brethren of this type!
Maana hoja ya kadhi haijaisha, tayari wameingizia OIC!

Hii inji si ya majazba bana!

Na hizo `organizational Changes` wanazozifanya huko ughaibuni ziendelee weeee! na suala hili lishindikane hadi mwaka 2099!!
 
Mnafurahia mipango ya kanisa ,kufankiwa mambo yake ya kuwabana waisilamu.
 
IslamOnline.net & News Agencies
trick.gif
Satellite
The new charter allows new countries to join the 57-Muslim body with just a majority vote instead of the usual unanimous agreement. (Reuters)
DAKAR — Leaders of the world's biggest Muslim body on Friday, March 14, adopted a new charter aimed at reforming the Organization of the Islamic Conference (OIC) with calls for a high-profile international meeting to ease tension between Muslims and Christians. Adopted unanimously, the new charter allows new countries to join the 57-Muslim body with just a majority vote instead of the usual unanimous agreement, reported Agence France-Presse (AFP).
It allows faster decision making, creating new institutions for the 57-nation body and streamlining the OIC's operations.
OIC secretary general Ekmeleddin Ihsanoglu said the new charter replaces the 1972 version which was outdated.
The charter was adopted after several days of intense talks and despite the absence of several prominent leaders including Saudi Arabia's King Abdullah and Libya's Moamer Kadhafi.
OIC leaders have been debating for several years a new charter to modernize the Muslim group.
There has been intense debate about issues ranging from eligibility for new membership to how the OIC could get involved in conflict resolution.
"The possibility of an Islamic Renaissance lies before us," Indonesia's President Susilo Bambang Yudhoyono told the summit.
"We need to get our act together as an organization of Muslim nations."
Yudhoyono, whose country is the world's most populous nation, said conflicts in the Muslim world cause to tarnish the image of Islam.
"We must disabuse the world of this terrible misconception," he said, calling for greater efforts against Islamaphobia in the West and greater democracy in Muslim nations.
"We must strive for good governance and attend to our democratic deficit."
Established in September 1969, the OIC aims at promoting solidarity among Muslim countries.
Dialogue
The Muslim leaders also proposed a high-profile international meeting with the Christian world.
"We believe that it is important to plan along such lines a preparatory phase by organizing a major international gathering on Islamic-Christian dialogue that involves governments among other players," said the final declaration cited by Reuters.
Last year, some 138 Muslim scholars and intellectuals sent an open letter to Christian spiritual leaders calling for dialogue between Muslims and Christians.
Catholic-Muslim relations nosedived in 2006 after Pope Benedict XVI delivered a lecture in Regensburg, Germany, citing a medieval text that characterized some of the teachings of Prophet Muhammad (peace and blessings be upon him) as "evil and inhuman," particularly "his command to spread by the sword the faith."
The pope repeatedly expressed regret for the reaction to the speech but stopped short of the clear apology sought by Muslims.
Relations further strained by a series of Danish anti-Prophet cartoons and a looming anti-Qur'an film by a Dutch far-right MP.
Seventeen Danish newspapers reprinted on February 13, a drawing of a man described as Prophet Muhammad with a ticking bomb in his turban.
Geert Wilders, the leader of the Freedom Party, is planning to release a controversial documentary claiming that Noble Qur'an is a "fascist book" that inspires people to commit awful acts.

The Muslim leaders called for stronger action by the OIC and western governments to stop insults against Islam and Islamic sanctities.
"We the Kings and heads of state and governments of the OIC renew our pledge to work harder to make sure Islam's true image is better projected the world over ... to combat an Islamophobia with designs to distort our religion."
The OIC summit condemned acts of terrorism committed in the name of Islam.
"We continue to strongly condemn all forms of extremism and dogmatism which are incompatible with Islam, a religion of moderation and peaceful coexistence."

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Tukijiunga na OIC sio habari ya misaada peke bali ni: We the Kings and heads of state and governments of the OIC renew our pledge to work harder to make sure Islam's true image is better projected the world over ... to combat an Islamophobia with designs to distort our religion. Ukishajiunga na OIC mnaanza kuita hiyo DINI OUR RELIGION bila kujali kama kuna akina JOHN wamo humo. Pia the OIC aims at promoting solidarity among Muslim countries, sasa hiyo solidarity ya WAISLAMU inawahusu nini akina JOHN? Vile vile tujue kuwa OIC is an organization of Muslim nations. Is Tanzania a Muslim nation? Membe fungua macho yako na usiahirishe matatizo na kuyahamisha kwa mtu mwingine mpaka 2012 wakati wewe utakapokuwa umeachia ngazi bila sababu yoyote, yamalize matatizo hayo kwa kukataa Tanzania, taifa la dini mchanganyiko, kujiunga na OIC, Jumuiya ya KIISLAMU!
 
We the Kings and heads of state and governments of the OIC renew our pledge to work harder to make sure Islam's true image is better projected the world over ... to combat an Islamophobia with designs to distort our religion.

Whose????
 
Mtaomba mpaka kufa hoja bado ipo kwenye table, mmewapanafasi ya kutekeleza hoja moja kwanza ya Kadhi, hii ikishapita 2009/10. next ni hoja ya OIC 2012. mmetoa nafasi ya jamaa kujipanga.
 
mungu wetu atuepushie balaa ya mambo haya ya OIC na mahakama ya kadhi. nafikiri mambo haya wala hayakupaswa kuzungumziwa katika nchi hii! Tuna mambo mengi ya msingi ya kushughulikia katika kuondokana na umaskini wetu na haya hayaingii kwenye equation.

Ukiondoa faida yake kijamii/kidini kwa waislamu,kiuchumi suala la mahakama ya kadhi halina tija na wakati huu si muafaka kutumia rasilimali muda na fedha kulizungumzia.

Matatizo mengine tunayatafuta wenyewe kama taifa wala hayakupaswa kuwepo kwenye nchi isiyo na dini (secular state) kama Tanzania.

Namuomba mungu wa ibrahimu,isaka na yakobo atuepushie mbali mambo haya ya udini kuingia katika uendeshwaji wa nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania yangu isiyoegemea upande wowote wa dini,Mungu ibariki Afrika
 
We the Kings and heads of state and governments of the OIC renew our pledge to work harder to make sure Islam's true image is better projected the world over ... to combat an Islamophobia with designs to distort our religion.

Whose????

JOHN akishasilimishwa bila kujijua (kwa nchi kujiunga na OIC) anaanza kuupigania na kuutetea uislamu hata kama hauamini! Sioni ni kwa namna gani nchi ikajiunga na OIC bila kuanza kuutetea uislamu ambapo ni kinyume na Katiba yetu!
 
Mtaomba mpaka kufa hoja bado ipo kwenye table, mmewapanafasi ya kutekeleza hoja moja kwanza ya Kadhi, hii ikishapita 2009/10. next ni hoja ya OIC 2012. mmetoa nafasi ya jamaa kujipanga.

Time will tell, mbivu na mbichi zitajulikana hata kabla ya hiyo 2012! They always take advantage of unsuspecting majority, but not anymore! Serikali hii kama inataka iweke historia ya mgawanyiko wa kidini iendelee na mambo yake yasiyo na msimamo!
 
kazi kwelikweli mapovu yatawakauka, na keyboard zitachunika! naona baada ya OIC na kadhi patakuwa hamna tena cha kujadili
 
Back
Top Bottom