Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

kama marekani na uingereza zimejiunga basi jumuhia hiyo imepoteza muelekeo na sitashangaa kuona makao makuu yake yakiamia vatcan.kama kweli ni jumuia ya kiislamu walitakiwa wawe na vigezo kwa nchi zinazojiunga kama wataruhusu hata vatcan kujiunga maana yake ipo wapi sasa.
 
Hakika Membe ana wakati mgumu kupambana na Kanisa katika hoja hii.
Hakika waZanzibari tunataka kwa hamu kubwa kujiunga na Umoja huu na tukisaidiwa na wabara wachache hususan waislam wa bara.

Sasa itabidi iamuliwe KUSUKA AU KUNYOA. KUWE NA MUUNGANO AU KUVUNJA MUUNGANO ZNZ IJIUNGE NA OIC.

Siku zote haki haiwezi kushindwa na batili.

Nyie dhambi ya ubaguzi itawala mpaka mwisho wa dunia. Hamjui kujenga hoja ila kulazimisha tu. Haki ni nini?
 
Nyie dhambi ya ubaguzi itawala mpaka mwisho wa dunia. Hamjui kujenga hoja ila kulazimisha tu. Haki ni nini?
.

Bunduki,

Mie sishangai kuona wabara mnakuwa na UDINI sana. Nilisha bainisha wazi hapo awali kuwa hayo ni masalia ya athari za ukoloni wa WAKIINGEREZA katika Tanganyika, kenya na Uganda. Wakoloni walitumia divide and rule. yaani pale kenya na Uganda walitumia ukabila na Tanganyika kutokana na makabila mengi walitumia UDINI.

sasa sisi waZnz na wachambuzi wa mambo ya kihistoria tunaona hakuna faida ya nchi mbili tofauti kuungana wakati zikiwa na mielekeo tofauti.

HIYO SASA NDIO DHAMBI YA UDINI TANGANyIKA NDIO INAWASULUBU. ndio maana kila kitulazima kipitie kwa Pope na Serikali ifate. ukipinga basi ndio balaa.
 
wewe kwako udini pale unapozungumiw uislam, lkn ikizungumziw adini nyengine husemi udini. tujiunge na oic kam vile tulivyojiunga na vertican
 
.

Bunduki,

Mie sishangai kuona wabara mnakuwa na UDINI sana. Nilisha bainisha wazi hapo awali kuwa hayo ni masalia ya athari za ukoloni wa WAKIINGEREZA katika Tanganyika, kenya na Uganda. Wakoloni walitumia divide and rule. yaani pale kenya na Uganda walitumia ukabila na Tanganyika kutokana na makabila mengi walitumia UDINI.

sasa sisi waZnz na wachambuzi wa mambo ya kihistoria tunaona hakuna faida ya nchi mbili tofauti kuungana wakati zikiwa na mielekeo tofauti.

HIYO SASA NDIO DHAMBI YA UDINI TANGANyIKA NDIO INAWASULUBU. ndio maana kila kitulazima kipitie kwa Pope na Serikali ifate. ukipinga basi ndio balaa.

Kwenye thread ya waarabu kuacha tabia za KIVIVU mlipiga sana kelele.
MWACHEKESHA YAKHE na MWATUTIA AIBU WAJAMENI, mie nenda zangu MARIKITI
 
Sasa kama mataifa makubwa ambao pia zina wachristian wengi, kama UK, Amerika yamejiunga na OIC na wanafaidika kwa nini sisi tusijiunge?
 
Sasa kama mataifa makubwa ambao pia zina wachristian wengi, kama UK, Amerika yamejiunga na OIC na wanafaidika kwa nini sisi tusijiunge?

Rudia ndugu umsome vyema mwanahalisi, kasema wanapata migogoro si kufaidika, na kwamba kwa sasa OIC ina migogoro!, Sasa tuliyo nayo yanatushinda, twende kujiingiza kwenye migogoro ya OIC tena?
 
Nahisi tunashabikia ngoma ambayo haituhusu wala hatujaalikwa na pengine hatujui hata mdundo wake . Mimi kwa maoni yangu ni vyema kwa KUBENEA akatueleza hizo source alizotumia ili tuwe na uhakika kuwa mataifa makubwa nayo yamejiunga na OIC kama alivyoeleza. Kwani kama utaenda kwenye web site ya OIC sidhani kama kuna kitu kama hicho.

Pia ni vyema kama tutakuwa tunajua Mission na Vission ama charter ya OIC ili kuweza kupima ni sababu gani zilizoyafanya hayo mataifa makubwa yajiunge nayo.

Ni vyema pia tukajua wao wanategemea kunufaika na nini na walijiunga kwa manuafaa hayo tu ama kuna agenda nyengine ya ziada. Jee nchi kama yetu TZ kujiunga na OIC kuna manaufaa ama faida zaidi ya tunazozifikiria. Kwa maana idadi ya watu kuwa wa dini moja sio kigezo uwapo USA ama UK zimejiunga kama ilivyoelezwa.
 
Wakuu,
Kwa wale waliofanikiwa kutazama maswali ya papo kwa papo leo Bungeni Dodoma watakuwa wameshuhudia alichosema pinda kuhusu mahakama ya kadhi pale alipoulizwa tamko la serikali kuhusu alichowahahidi waslamu baada ya kukuitana nao hivi karibuni.

pinda mbali na kulaumu waandishi wa habari kwa madai kuwa wamepotosha katika kuripoti kilichosemwa na waziri wa katiba kuhusu mahakama ya kadhi laskini KIKUBWA amesema kuwa Serikali imegundua kuwa itakuwa busara mahakama ya kadhi kuendeshwa bila kuhudumiwa na serikali(dola)

hata hivyo amesema kuwa kamati ya waislam iliyoundwa inatafuta mbinu bora ya kuundwa chombo hicho cha KIDINI.

Hivyo wailam waanze kujindaa kuwa na mahakama ya kadhi kwa gharama zao wenyewe.
 
hii ni sahihi kabisa, tena haina mgogoro wala, lawama, na hii ndo busara kwa mtu anaehitaji jambo la binafsi. Pinda kama kweli kasema hivyo its okay
 
hii ni sahihi kabisa, tena haina mgogoro wala, lawama, na hii ndo busara kwa mtu anaehitaji jambo la binafsi. Pinda kama kweli kasema hivyo its okay
nadhani hata ile misamaha ya kodi iliofutwa irejeshwe kwani itasaidia kwa tz. makanisa yakubali kurejeshewa kodi
 
nadhani hata ile misamaha ya kodi iliofutwa irejeshwe kwani itasaidia kwa tz. makanisa yakubali kurejeshewa kodi

Mkuu ile misamaha ya kodi inahudumia wananchi wote bila kujali dini. Misamaha hiyo inatumika ktk kutoa huduma mhimu za jamii kama maji, elimu na afya. Nenda pale KCMC (Moshi), Bugando (Kagera), Peramiho (Songea), Kwiru (Mahenge), Hospitali teule ya Ifakara, nk uone wananchi wa dini zote wanavyopata huduma bila kujali dini.

acha roho mbaya mkuu, utakuwa unajikata mkono wewe mwenyewe.
 
kama inahudumia wote mbona makanisa yalikuwa mbele, nadhani irejeshwe tuone kama watz wataathirika
 
kama inahudumia wote mbona makanisa yalikuwa mbele, nadhani irejeshwe tuone kama watz wataathirika

wewe unapenda kuona athari na si kuzuia athari? Ninapenda kukuweka wazi jambo moja. Huenda Wakristo ndo walilalamika zaidi kwasababu ya miradi waliyonayo. Wewe TX ukiwa na NGO ambayo inamiradi inayowahudumia wananchi. Serikali ikatangaza kufuta NGO au kuondoa prestigious fulani si utalalamika? si utaomba Serikali ibatilishe? logic ipo simple tu hapa.

Jambo linge ni kwamba wananchi ambao ni Wakristo hawana kawaida ya ku-react publically dhidi ya Serikali au kundi fulani. Viongozi wa kanisa ndo wamekuwa wawakilishi kwa kutoa matamko au maombi/ mapendekezo.
 
It is logic, hakuna mtu anayepinga mahakama ya kadhi kuundwa Tanzania,tatizo kubwa ni kuhudumiwa na serikali, that is totally deplorable due to the fact that Tanzania is a secular state, how comes walazimishe serikali kuihudumia hizo mahakama?? serikali ikiamua kufanya hivyo itakuwa imekika katiba ya nchi.Hiyo mahakama iundwe na ihudumiwe na waislam wenyewe.Siyo kila kitu kinapendeza pale ambapo watu fulani kwa manufaa yao wanalazimisha kifanyike.
 
wewe unapenda kuona athari na si kuzuia athari? Ninapenda kukuweka wazi jambo moja. Huenda Wakristo ndo walilalamika zaidi kwasababu ya miradi waliyonayo. Wewe TX ukiwa na NGO ambayo inamiradi inayowahudumia wananchi. Serikali ikatangaza kufuta NGO au kuondoa prestigious fulani si utalalamika? si utaomba Serikali ibatilishe? logic ipo simple tu hapa.

Jambo linge ni kwamba wananchi ambao ni Wakristo hawana kawaida ya ku-react publically dhidi ya Serikali au kundi fulani. Viongozi wa kanisa ndo wamekuwa wawakilishi kwa kutoa matamko au maombi/ mapendekezo.

kutokana na mkataba kati ya makanisa na gov ndio maana wanavyanzo vingi. missada mingi kutoka Ulaya kwa ajili ya makanisa ndio chanzo, Ubalozi wa Vertican pia, waislam huewekewa vikwazo. sasa ikiwa mtoto mmoja unamsomesha ulaya na mwengine usimpe eLimu halafu akiwa mkubwa umsimange nani mkosa?
 
hii ni sahihi kabisa, tena haina mgogoro wala, lawama, na hii ndo busara kwa mtu anaehitaji jambo la binafsi. Pinda kama kweli kasema hivyo its okay
1.Kama watu wanajua historia ya nchi hii ni kwamba hii mahakama ilikuwepo tangu kipindi cha ukoloni.
2.Kuhusu alichosema Pinda,angetakiwa kujiuliza awali hii mahakama ilikuwa inahudumiwa na nani?Lakini pia,angestahili kuchukua baadhi ya nchi ambako mahakama kama hii iko na inafanya kazi kama vile UK,Uganda nakadhalika halafu ndiyo atupatie jibu nani anastahili kuihudumia hii mahakama.Kwasababu kwa hii habari iliyoripotiwa hapa bado haina jibu la nani atakae hudumia!
Hata hivyo hizo mahakama nyingine zinahudumiwa na nani?Kama maamuzi yatabakia kama Pinda alivyosema basi ni full ubaguzi na siyo vinginevyo.
Hii ni sawa na mvulana kuingia choo cha kike and vice-versa is true.
 
uitishwa mjadala wa kitaifa ....pia gharama zao na mipaka na haki na wajibu wa serikali na mahakama zake ziwe wazi na watendaji wajue wazi kuwa kesi hii inaanagukia wapi....pia makahama za rufaa yaani vurugu tupu...sijui ila linajadilika....
 
kutokana na mkataba kati ya makanisa na gov ndio maana wanavyanzo vingi.

TX, sijui ni mkataba gani huu unaoongelea, hata hivyo hakuna anayezuiwa kufanya mkataba na gov ilimradi kuna majadiliano na makubaliano na Serikali.

missada mingi kutoka Ulaya kwa ajili ya makanisa ndio chanzo, Ubalozi wa Vertican pia, waislam huewekewa vikwazo.

Ni kweli kuwa kuna misaada kutoka Ulaya. Misaada hiyo haikuanza leo kumbuka hata shule kongwe zinazotamba hadi leo zilikuwa za kanisa na sasa ni za Serikali. Hata Kikwete na Waislam wengi tu wamesoma shule hizo za Kikristo.

Sikubaliani nawe kwamba Waislam wamezuiwa kupewa misaada kuna misaada mingi inaingia toka Iran, Kuwait na nchi zingine za kiarabu. Kunaweza kuwa na matatizo kadhaa lakini bila shaka yanatatulika.

Kama ni suala la ubalozi hakuna nchi iliyozuiwa ubalozi hata OIC inaweza kuleta balozi wake, naamini hata kataliwa.

sasa ikiwa mtoto mmoja unamsomesha ulaya na mwengine usimpe eLimu halafu akiwa mkubwa umsimange nani mkosa?

Katika huduma zinazotolewa na taasisi za kikristo hakuna ubaguzi wa kidini. Kila mtu anaruhusiwa, soma vizuri post uliyoinukuu.
 
Back
Top Bottom