Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

This is so unusual ya CHADEMA kutotoa tamko kwenye mambo yanyoihusu nchi ...vipi kulikoni?

Au this is too hot to handle?

Lakini hata kam ni hivyo je kwa wao kujiita chama mbadala wanajua kuwa mambo haya yamo kwenye kuendesha nchi au?

Toweni tamko CHADEMA watu wajue mmesimama upande upi
 
Chadema ni chama cha watu makini, hakiwezi kuchanganya maji na mafuta! We mambo ya ibada ya kikundi cha watu katika jamii, yanauhusiano gani na maendeleo ya taifa?

Chadema ina deal na mambo yanayo liangamiza Taifa ama yale ya kuliendeleza, si ibada, kwani kila mtu anao uhuru wa Kuabudu ama kutoabudu, anaye abudu na awajibike kwa Mungu wake, sikutaka hata wale wasio husika katika ibada yake waigaramie

Bravo chama mbadala. ''Wliolikoroga wacha walinywee''
 
This is so unusual ya CHADEMA kutotoa tamko kwenye mambo yanyoihusu nchi ...vipi kulikoni?

Au this is too hot to handle?

Lakini hata kam ni hivyo je kwa wao kujiita chama mbadala wanajua kuwa mambo haya yamo kwenye kuendesha nchi au?

Toweni tamko CHADEMA watu wajue mmesimama upande upi

Hilo ni swala la ilani ya uchaguzi ya CCM. Wamewasha moto ni lazima wauzime wenyewe wala CHADEMA au chama chochote zaidi ya CCM isijiusishe.
Ama la basi tuaze kujadili ilani za vyama vyote na vyama vingine vitoe Matamko. CCM wamefuliaaaaa........
 
Nasema ni Bora CHADEMA wasitoe Tamko lolote lile maana siyo agenda yao. Ni bora kuwachia CCM na CUF na wao ndio wanaweza kusema kuhusu mambo ambayo hayana msingi wowote ule kwa Taifa
 
Hawawezi kulitolea tamko kwani halipo kwenye ilani yao ya uchaguzi. Wakishika madaraka kama Dola wanaweza kulitolea tamko km dola na si kama CHADEMA.
 
Mkuu Waberoya tupo pamoja. Nadhani CCM ilipoingiza hoja hii kwenye ilani yao ya uchaguzi mwaka 2005 hawakuwa na nia ya kuianzisha hiyo mahakama ya kadhi bali janja ya kupata kura. Inasemekana kipengele hiki kiliingizwa kwenye ilani na Kingunge - hana dini na Mang'ula - mkristo. Kwa maneno mengine kiliingizwa na wanasiasa. Wanasiasa wakati wote first priority yao ni "votes". Ustawi wa taifa kwao ni second priority iwapo tu utaelekea kuwadanganya raia kuwachagua tena kuwa viongozi. Kwa kuingiza kipengele hiki kwenye ilani yao ya uchaguzi kwa uroho wa kupata kura, CCM hawakujua kuwa wanajipalia makaa. Sasa imefika wakati kuwa hata Waziri mkuu anapewa siku 14 na waislamu kufuta kauli ya serikali bungeni iliyotolewa na waziri wa katiba! hapa TULIPOFIKA NI HATARI. Kumbuka, waislamu ni sehemu tu ya watanzania, na kwa bahati mbaya mchango wao katika ustawi wa taifa kielimu na kiafya ni mdogo sana! Shule zao za sekondari (kama Waberoya alivyosema) zinazoongoza kwa kufanya vibaya (hata pamoja na kuzibadilisha jina eti nazo ziitwe seminari!! kumbe tatizo si jina!). Chuo chao kikuu walichopewa bure na serikali ya Mkapa (Majengo ya Tanesco Morogoro) wanashindwa kukifanya kitoe taaluma bora inayokusudiwa. Si siri kuwa hata lecturers wao wanawachukua tutors wa chuo cha ualimu kigurunyembe kinachotoa diploma na sasa wafundishe undergraduates!!!!. Sasa iwapo wakristu nao wakija juu na kuipa serikali ultimatum ya kufuta wazo la mahakama ya kazi la sivyo nao wafunga vyuo vyao vikuu ambavyo ni bora sana kama SAUT, BUCHS, MWENGE, RUCCO, TUMAINI, etc pamoja na hospitali zao bora sana (tena za rufaa!! zenye madawa na vifaa) kama BUGANDO, KCMC, na sekondari zao bora sana kama MARIAN GIRLS -Bagamoyo, ST. FRANCIS-Mbeya, KIFUNGILO-Lushoto nk, achilia mbali zahanati zao zilizotapakaa nchi nzima! Je serikali hii ya CCM bado itasimama! Si nchi nzima italipuka! Tafadhali CCM, msitupeleke kusiko kwa uroho wa "votes". Heshimu katiba ya nchi ambayo inasema wazi kabisa kuwa serikali haina dini bali raia wake wana dini. Waacheni raia wake wenyewe waanzishe mahakama yao ya kadhi (mradi hawapingani na katiba) kwa gharama za dini yao na wala si kwa kodi za raia ambao wengine si waislamu. Mambo yao ya ibada - kama wanavyodai juu ya mahakama ya kadhi - basi isiwe gharama kwa wengine wanadaiwa kuwa makafiri katika upeo wa dini yao. Nao waislamu wenyewe wang'amue ni kwanini ibada yao iwahusishe makafiri katika kuamua, kuanzisha na hatimaye kuigharamia!!!!! something must be wrong in their heads!
 
We GT bwana acha uchokozi. waache jamaa watulizane bwana wajipange. CCM wamelikoroga wenyewe.
 
Ndugu zangu mmefafanua vizuri kabisa ila upande wapili unajifanya kutoelewa ,nafikiri ni kwa makusudi tu wana lao jambo.
 
This is so unusual ya CHADEMA kutotoa tamko kwenye mambo yanyoihusu nchi ...vipi kulikoni?

Au this is too hot to handle?

Lakini hata kam ni hivyo je kwa wao kujiita chama mbadala wanajua kuwa mambo haya yamo kwenye kuendesha nchi au?

Toweni tamko CHADEMA watu wajue mmesimama upande upi

GT!

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema wazi kwamba serikali haina dini ila raia wake wanaruhusiwa kuwa na dini watakayo alimradi hawatavunja sheria!

Kwenye hii forum huwa sipendi kuzungumzia mambo ya imani za watu kwani sina mpango wa kuvunja katiba hata kama ina mapungufu kibao.

Sina mandate ya kuwazungumzia CHADEMA after all mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa! Ila what is apparent like day and night ni kwamba Chadema ni chama cha siasa na wanachama wake wanatoka katika imani mbali mbali kwa hiyo kwa misingi ya katiba yao nafikiri haiwapi jukumu la kufuatilia mambo ya dini especially hilo la mahakama ya KADHI.

Mahakama ya kadhi ni jambo linalowahusu waislamu pekee yao na imani yao ambayo kama haikiuki misingi ya katiba then hakuna cha kujadili hapa?

Kuitaka serikali iridhie kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi ni kinyume cha katiba kwa hiyo hata hao wababe majambazi CCM wanataka kuibaka katiba I mean they want a sexed constitution kwa tamaa yao na ahadi waliyotoa kwa waislamu kwamba wataliangalia swala la mahakama ya kadhi ni mojowapo ya ahadi lukuki hewa zilizompeleka JMK aka Matonya ikulu.

Ushauri wangu hata hizo ahadi alizotoa Pinda kwa Mashehe pia ni hewa!! Kama watu waliotu- Richmond amechukua mwaka mmoja na nusu na bado hajamchukulia hatua hata karani then waislamu wajue imekula kwao!!

Wanachoweza kupata ni kuanzisha Ofisi ya KADHI kama kiongozi wa waislamu na sio mahakama kama nimechemsha kunradhi don't come falling down on me with a lot of dua mabaya, albadilis etc ect!!! please!!!

In the bottom line wanaweza wakapigania mabadiliko ya katiba na kuruhusiwa kuwa na Sharia Law ambayo ni proper as per the Quaran kuliko hii ya kadhi ambayo it appears to be too mild again kama nachemsha wanazuoni wa Kiislamu naomba mnisahihishe kwani maisha ni elimu kila kukicha !!! Vinginevyo twampigia mbuzi gitaa !!! Chadema please msivae mkenge wa GT just maintain no comment msije mkalikoroga kama watu wa kijani (CCM)

Waislamu chuma sasa cha moto msiachie nyundo kwani ahadi ni deni msikubali cha Pinda wala Pengo mpaka pachimbike kwani nani kawaambia CCM watoe ahadi wamezoea kusema uongo mchana kweupe wanafikiri nyie hamkwenda shule nini mpaka kieleweke mkiachia bango mmekwisha alamsiki!!!!!
 
Tupo Pamoja ndugu zangu hata mimi huwa napata shida sana ni kwanini CCM waliingiza hili kwenye ilani yake
 
Nafurahishwa sana na michango inayotolewa hapa.Ombi langu kwa vijana ni kwamba wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kufuatilia mwenendo wa nchi kwa ujumla.Mambo mengi yanapitishwa na hawa kina "mkongojo nisaidie kutembea" kwa maslahi ya mda mfupi tu ila kwa sie vijana ndo tutakuwa waathirika.Ni vyema kutokushabikia siasa bali tuwe na azma ya kuboresha maisha ya kizazi hiki na kizazi kijacho pia.Historia inaonesha nguvu za vijana ni dhabiti na imara na ni sauti ya Umma kwa upeo wake.
Itikadi zetu na Utaifa wetu ni kipi kipewe kipao mbele wakuu? kweli sikio la kufa halisikii dawa.
Waheshimiwa mnataka kutufikisha kuleee kwa jirani zetu then kwa vile mna uwezo na hifadhi pahala pengine mtuacha tuteseke sie wana wa nchi sio?
Haifai bwana
Ebu acheni haya mambo bwana,
 
Halafu wanataka iingizwe kwenye katiba!
Yaani katiba ijenge matabaka ya kidini? Kwamba mwizi muislamu ahumukiwe kwa sheria za kadhi na mwizi huyohuyo mkiristu ahukumiwe kwa mahakama za serikali?
Waislamu tusidanganyane kewa mahakama ya kadhi itaishia kwenye ndoa na mirathi tu. Hiyo ni janja tunavunga kuanza na vitu vidogovidogo ili baadae tudai makubwa kama ya kutumia islamic sharia.

There you are!

Hawataishia hapo! watadai na vingine na root yake itakuwa mahakama ya kadhi, wakinyimwa hawatakubali wko tayari kufanya lolote lile, na nchi za nje watakuwa wakiuliza kama mliwapa la kwanza la pili je, la tatu............

Haitaishia kwenye ndoa na mirathi wataenda mbali sana kurudi nyuma itakuwa kazi!
 
Ufunguo wa machafuko nchini utatokana na kuingiza dini kwenye Katiba ya nchi hii.

Dini na ukabila ni baadhi ya vitu rahisi sana katika kumega umoja wa Taifa hili. Nchi hii haitaweza kusimama kama kila mtu ataanza kudai maslahi yake binafsi au yake na wenzake wachache yaingizwe kwenye Katiba na kuwa sheria. Nchi hii ni very wobbly kuhimili mitikisiko kama hiyo. Serikali ni lazima isimamie misingi ya umoja, mshikamano na upendo katika nchi, na njia ya kwanza ni kuimarisha misingi ya usawa.

Madai ya mahakama ya Kadhi yakiingizwa kwenye Katiba, ni lazima yawe wazi kwa taasisi nyingine za kidini kufanya vivyo hivyo na kudai haki sawa kwa serikali. Kwa uchumi wa wasiwasi na unaoyumba kama wetu nchi itaacha kulinda na kuimarisha maisha ya watu wake na kuanza kutumikia dini mbalimbali katika kukidhi mahitaji ya wanadini hao. Nchi itasimama (ita halt) kama haitaanguka. Hii iko wazi sana, na haitaishia kwenye kuomba mahakama za kidini. Itaendelea zaidi ya kutaka haki ya kujiunga na taasisi kama OIC kama ilivyoanza kushinikizwa. Baada ya hapo ndipo tutatakiwa kuwa na viongozi wa dini fulani tu kwa kuzingatia maslahi yao, kwani wengine wataonekana kutofaa kusimamia mikataba ya kujiunga na mashirika hayo.

Tunatakiwa kuwa wamoja zaidi ya kudhani maslahi yetu yako nje ya mazingira yetu wenyewe.
 
well said!

Na hakuna kitu kibaya katika taifa lolote kama kuinajisi katiba, katiba ni dira ni msingi wataifa lolote lile!
 
Haiwahusu sana CHADEMA kwani sio serikali. Halafu ukumbuke neno lolote au tamko lolote kuhusiana na MyK kutoka kwa CHADEMA basi litukuwa na negative impacts kwao kwenye uchaguzi wa mitaa na ule wa 2010
 
Hapana tena hapana mahakama ya kadhi isiingizwe kwenye katiba waache waislamu waanzishe wenyewe na waiendeshe wanavyotaka kama vile wakristo walivyo na taratibu zao za kusuluhisha migogoro yao ya familia zao inapobidi
 
Ufunguo wa machafuko nchini utatokana na kuingiza dini kwenye Katiba ya nchi hii.

Dini na ukabila ni baadhi ya vitu rahisi sana katika kumega umoja wa Taifa hili. Nchi hii haitaweza kusimama kama kila mtu ataanza kudai maslahi yake binafsi au yake na wenzake wachache yaingizwe kwenye Katiba na kuwa sheria. Nchi hii ni very wobbly kuhimili mitikisiko kama hiyo. Serikali ni lazima isimamie misingi ya umoja, mshikamano na upendo katika nchi, na njia ya kwanza ni kuimarisha misingi ya usawa.

Madai ya mahakama ya Kadhi yakiingizwa kwenye Katiba, ni lazima yawe wazi kwa taasisi nyingine za kidini kufanya vivyo hivyo na kudai haki sawa kwa serikali. Kwa uchumi wa wasiwasi na unaoyumba kama wetu nchi itaacha kulinda na kuimarisha maisha ya watu wake na kuanza kutumikia dini mbalimbali katika kukidhi mahitaji ya wanadini hao. Nchi itasimama (ita halt) kama haitaanguka. Hii iko wazi sana, na haitaishia kwenye kuomba mahakama za kidini. Itaendelea zaidi ya kutaka haki ya kujiunga na taasisi kama OIC kama ilivyoanza kushinikizwa. Baada ya hapo ndipo tutatakiwa kuwa na viongozi wa dini fulani tu kwa kuzingatia maslahi yao, kwani wengine wataonekana kutofaa kusimamia mikataba ya kujiunga na mashirika hayo.

Tunatakiwa kuwa wamoja zaidi ya kudhani maslahi yetu yako nje ya mazingira yetu wenyewe.
 
Re: Tamko la CHADEMA juu ya mahakama ya Kadhi

please mods the heading is misleading, maybe: "Msimamo wa Chadema juu ya mahakama ya kadhi ni upi?"
 
Hii hoja kwanza ni ya ubaguzi. Kwa nini jamaa anataka msimamo wa CHADEMA na si vyama vyote. Moderator, ondoa hii hoja inatupotezea muda.
 
Back
Top Bottom