Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Nenda world CIA facts za Tanzania utaona kama siyo kweli. Kusema ukweli Waislamu ni wengi sana Tanzania ndio maana kunakuwa na tension kubwa sana Tanzania

Takwimu za CIA ni za kukisia..sasa kwa sisi tulofuta ujinga remark tuwezayo itoa ni FAILED!! NEEEEEEXXXTTT PLZ!
 
Waislamu wanaomba mahakama ya kadhi serikalini,(baba yetu wote) hawajapeleka maombi kanisani kwanini wakristo watoe majibu
Ni kama kisa cha mtu wenye watoto wawili (A and B) "A anaomba anunuliwe shati kwa babake, B anasema kumwambia baba usimnunulie A shati" wapi na wapi?
Kinachotakiwa B afanye aombe naye anunuliwe shati siyo kukutaa A asinunuliwe na Baba yetu ...so kama kwa maaskofu wanataka mahakama go ahead put your case to goverment kuna tatizo gani hapo??? kwanini maaskofu washinikize serikali kwa jambo ambalo wao hawajaliomba?? wivu,chuki ujinga mkubwa kabisa kama wa huyo mtoto.

Mfano BOMBA SANA.

Tatizo si kuwa mtoto B hataki mtoto A anunuliwe shati.
Tatizo hapa ni kuwa pesa za kununulia shati la mtoto A lazima zitoke kwa baba, mtoto A na B. Pia baadaye sabuni za kufulia lazima zitoke kwa baba, mtoto A & B. Gharama za maji, umeme katika kufua na kunyoosha, lazima zitoke kwa baba, mtoto A & B.

Kama mtoto A anataka kununua shati, na yeye ni mtu wa makamu (naogopa kuandika mzima maana jando lilishafanya kazi yake) si aende tu Kariakoo au Posta akanunue hilo shati? Kuna mtu kamkataza?
Nauli ya kwenda na kurudi na ghalama ya kununua na kutunza, iwe kwake mtoto A. Kwani nyie watoto A hamna akili? Hamna mikono? Nyie ni viwete hadi kuwa mnasaidiwa kila siku na baba na mtoto B? Mbona usiku ukifika kwenye uwanja wa fundi seremala mwafaidi peke yenu na Abdallah bin Kichwa wazi wenu? Hapo hamjui baba au mtoto B.

Time is up. Kuweni na muache kulialia kama Wahindi kwenye film zao za Love in Goa au Kuchi kuchi hota hai.............
 
I dont think cia will look the intrest of muslim in tanzania or any where dunaini soma historia ya tanzania kabla ya uhuru na vita vya waislamu kilosa kulazimishwa kujengwa bucha za nguruwe na vurugu iliotokea kilosa before uhuru under british rule.
 
Principle hazipo kwa ajili ya kukwepa matatizo. Principle zipo kwa ajili ya kutatua matatizo kwa njia ambazo hazitazaa matatizo mengine. Nadhani unaona hiyo misamaha ya kodi inavyotufanya omba omba! Je ni vizuri tuwe omba omba?

Kutofuata principle kwa madai eti unatatua tatizo ni kisingizio. Tunaostick kwenye principle tunajua hizi principle ndo njia bora ya kutatua matatizo bila kuzaa mengine. Sasa kwa kuwa tumesha compromise principle kwenye kodi, na huku vile vile tucompromise tu?
Tun-compromise ili kupata harmony katika jamii (ku-solve the problem) nafikiri huwezi ku-stick kwenye principles...principles keep changing kutegemeana na wakati, mahitaji na watu...nakadahlika
Na kwa hili la MyK hakuna principle inayovunjwa tunachohitaji nafikiri serikali inatakiwa iandae debate (masheikh, maaskofu na serikali) kwa siku kadhaa wa debate wee wataeleweshana vizuri hii itatoa mis-understanding (fursa ya open dabete) kila mtu analobby inaleta shida ya kutokuelewana katika jamii.
 
IKiwa waislamu ni majority Tanzania nafikiri kuna umuhimu wa kulipigia kura suala hili kwani Kenya Waislamu ni Minority ila serikali imewapa Kadhi court , Zanzibar kuna Kadhi court as well. Vipi ndugu zetu wa Bara muwakatilie haki yao ya kiroho watanzania wenzenu wanaomini kuwa Mahkama ya sasa imeanzishwa kwa sysstem ya mkoloni ambayo haitoshelezi haki ya kiiimani ya Waislamu hasa kwenye suala la Urithi.
Jee Muislamu akifikishwa Mahakamani kwa Suala la Urithi akisema haitambui Mahkama ya sasa kwa vile haikubaliani na msahafu wa Kurani mutasema nini mtu huyu mutamlazimisha kukubali Mahkama ya sasa ambayo inaenda kinyume na imani yake ?
Watanzania ni matured people waulizeni ndugu zenu waislamu kwa nini munataka Kadhi court sio museme waislamu wanaleta udini ukweli ni kuwa sheria nyingi za nchi yetu tumerithi mkoloni na mkristo jee suala hili si bora watanzania wakalipigia kura ya ballot box ? Munasemaje waungwana.

Swadakta maneno yako.

Na vile vile Tanzania sio mara ya kwanza au itakuwa ajabu kuwa na mahakama maalum kama hizo. Kwani tayari kuna mahakama maalum za Biashara, Ardhi na kazi.
 
It added, "Kadhis' courts, however, are 'subordinate' courts, meaning that the secular High Court has jurisdiction to supervise any civil or criminal proceedings. And any party involved in the proceedings may refer a question involving interpretation, or directly appeal a decision, to the High Court."

Hiki ndo nakiona itakuwa tatizo. Waislam wa Kenya wamekubali mahakama zao kuwa sabordinate kwa mahakama za kisekulali. Manake ni kuwa maamuzi ya mahakama zao yanaweza kutenguliwa na mahakama za kawaida. Mazingira ya kenya pengine yanafanya hili liwezekana (lakini vile vile si bila ulalamishi).

Tanzania hatuoni kuwa tuanaiingiza serikali matatizoni? Kuna sentiment Kenya vile vile kuwa serikali ni ya wakristo ndo maana wakapewa waislam kadhi courts ili kupunguza baadhi ya lawama, jambo ambalo haliapply Tanzania.
 
UKWELI NI KUWA TANZANIA LIPO NDIO KINA KIGOMA MALIMA WAKATOA HATA DATA ZA UBAGUZI ZA WAISLAMU . KUNA RESERCH NYINGI HATA ZA ABOUD JUMBE ALIEKUWA MAKAMO WA RAIS JUU YA UBAGUZI WA WAISLAMU HUKO TANGANYIKA

http://www.redet.udsm.ac.tz/documents_storage/2008-3-28-10-42-30_working%20paper%203%20-%20kadhi%20courts%20paper%202007.pdf

Mazee mboni unakwepa maswali ya msingi? Nimekuuliza hizi references zako ziko peer-reviwed ? naona unakwepesha tu..Sasa kama huna jipya ni bora ukae kimya MAANA THIS IS ZERO INPUT.
 
Nenda world CIA facts za Tanzania utaona kama siyo kweli. Kusema ukweli Waislamu ni wengi sana Tanzania ndio maana kunakuwa na tension kubwa sana Tanzania

Uzuri ni kuwa JWTZ wengi wao ni au hawana dini (Wakurya) au Wakristo. Sasa hata kama Waislaam ni wengi, mbele ya AK47 (Alexander Kalashnikov 47) Wakristo wanakuwa wengi. Pia Waislaam wenyewe ndiyo hao watu wa Pwani. Zenji wamekaa kama mashogashoga hivi ukiacha wanaume wachache ambao nao wamechoka kinoma kwani kuwaridhisha wanawake 4 is mchezo bwana.
Ukija wanaume wa Pwani ya Tanganyika ndiyo kabisaa. "Mkwere" wetu hata mtubwi aliugomea pamoja na kupewa lifebag ili ukipinduka basi aogelee. Ukiona Mzenji kajaza misuli basi huyo Mnyamwezi.

Heheeee, nasikia watu Mwenyeyanga walichapwa hadi wakawa wanaingia chini ya vitanda kwenye nyumba za watu na watu wakarusha kanzu zao na vibarakashia. Nyie anzeni tu mtakiona.............

Wiki lijalo natuma maombi nijiunge na JWTZ, naona hivi karibuni kutakuwa na kazi nzuri ya kufanya na tena wapinzani wetu watakuwa na mawe tu.
 
Tun-compromise ili kupata harmony katika jamii (ku-solve the problem) nafikiri huwezi ku-stick kwenye principles...principles keep changing kutegemeana na wakati, mahitaji na watu...nakadahlika
Na kwa hili la MyK hakuna principle inayovunjwa tunachohitaji nafikiri serikali inatakiwa iandae debate (masheikh, maaskofu na serikali) kwa siku kadhaa wa debate wee wataeleweshana vizuri hii itatoa mis-understanding (fursa ya open dabete) kila mtu analobby inaleta shida ya kutokuelewana katika jamii.

Ku-compromise hakuwezi kuleta hamony hata siku moja kwani unatatua tatizo moja na kuzua lingine. Ndo maaana nchi zetu zinaishia kwenye failed state status kwa sababu tunafanya mambo reactionary.

Ku compromise principle ya kodi, kumetatua tatizo gani? Kuwafeed mashark wa ukwepaji kodi na kuwaangamiza raia wengi wasio na sauti? Serikali ingekusanya hiyo asilimia 30 inayopotea kwenye misamaha ya kodi ingeweza kutoa huduma maeneo ambayo NGO zinazotoa huduma hiyo kama zingejitoa kwa sababu ya kodi.

Ni sawa na kuuza nyumba za serikali eti unatatua tatizo la gharama ya kutunza nyumba, halafu kesho unaingia kwenye gharama mara mbili ya kukodi.

Principle zipo na zimewekwa baada ya kuona njia za mkato hazitatui matatizo zina yazidisha. Sasa hata kwenye hili ni kutafuta njia ya mkato tu. Waislam wa Tanzania hawalalamikii mahakama ya kadhi peke yake. Utatuzi tunaoutumia kwenye suala hilo hatutaweza kuutumia kwenye matatizo mengine. In addition tutakuwa tumesha create loophole ya imani zingine kudai mambo yao serikalini!! Tutakuwa na basis gani za kuwakatalia wengine?
 
Mfano BOMBA SANA.

Tatizo si kuwa mtoto B hataki mtoto A anunuliwe shati.
Tatizo hapa ni kuwa pesa za kununulia shati la mtoto A lazima zitoke kwa baba, mtoto A na B. Pia baadaye sabuni za kufulia lazima zitoke kwa baba, mtoto A & B. Gharama za maji, umeme katika kufua na kunyoosha, lazima zitoke kwa baba, mtoto A & B.

Kama mtoto A anataka kununua shati, na yeye ni mtu wa makamu (naogopa kuandika mzima maana jando lilishafanya kazi yake) si aende tu Kariakoo au Posta akanunue hilo shati? Kuna mtu kamkataza?
Nauli ya kwenda na kurudi na ghalama ya kununua na kutunza, iwe kwake mtoto A. Kwani nyie watoto A hamna akili? Hamna mikono? Nyie ni viwete hadi kuwa mnasaidiwa kila siku na baba na mtoto B? Mbona usiku ukifika kwenye uwanja wa fundi seremala mwafaidi peke yenu na Abdallah bin Kichwa wazi wenu? Hapo hamjui baba au mtoto B.

Time is up. Kuweni na muache kulialia kama Wahindi kwenye film zao za Love in Goa au Kuchi kuchi hota hai.............
Taratibu usianze kashfa..anayelalamika hapa ni mtoto B? (Wakristo) muslims hawataji upendeleo ndugu (Uliza MoU, Misamaha ya Kodi) ilivyowatoa maaskofu kwa kupenda vya bure!!!!)kwasababu mtoto A amepeleka argument zake kwa baba (A&B).. ilitegemewa B ajenge hoja kama anahitaji shati anunuliwe au kwakuwa hahitaji shati labda anahitaji gauni apeleke argument zake kwa baba?? siyo kuhoji uhalali wa maombi ya A?
Hoja yako ya cost! nilishaeleza sehemu nyingi kwenye kwa ufupi "ikiwa sasa hivi kuna kesi zaidi ya 100 za mirathi, ndoa za kiislamu ziko mahakama ya kawaida bila shaka zinatumia pesa za wananchi wote" ikianzishwa mahakama za kadhi 80% ya kesi hizo kama si zote zitaenda MyK" je huoni kwamba kuna pesa hapo? ambayo serikali inatakiwa kuzitoa kwa kusaidiwa na MyK huku wanaohukumiwa wakipata haki zao kwa mujibu wa sheria za dini yao??" (nakufurahi kwa kutimiza hukumu ya mungu)
 
Uzuri ni kuwa JWTZ wengi wao ni au hawana dini (Wakurya) au Wakristo. Sasa hata kama Waislaam ni wengi, mbele ya AK47 (Alexander Kalashnikov 47) Wakristo wanakuwa wengi. Pia Waislaam wenyewe ndiyo hao watu wa Pwani. Zenji wamekaa kama mashogashoga hivi ukiacha wanaume wachache ambao nao wamechoka kinoma kwani kuwaridhisha wanawake 4 is mchezo bwana.
Ukija wanaume wa Pwani ya Tanganyika ndiyo kabisaa. "Mkwere" wetu hata mtubwi aliugomea pamoja na kupewa lifebag ili ukipinduka basi aogelee. Ukiona Mzenji kajaza misuli basi huyo Mnyamwezi.

Heheeee, nasikia watu Mwenyeyanga walichapwa hadi wakawa wanaingia chini ya vitanda kwenye nyumba za watu na watu wakarusha kanzu zao na vibarakashia. Nyie anzeni tu mtakiona.............

Wiki lijalo natuma maombi nijiunge na JWTZ, naona hivi karibuni kutakuwa na kazi nzuri ya kufanya na tena wapinzani wetu watakuwa na mawe tu.
No bullet can fight Islam and Muslim, 10 christians is equavailent to 1 muslims when it comes to real war" kwahiyo swala la vita we sahau hamtuwezi...kwasababu tunahitaji ratio 100:10 100 christians to fight with 10 muslims inatosha...
Ndugu usiongelee vita maana hizo si anga zenu...tuongelee issues na namna ya ku-solve kistaarabu bila kufika huko.....christian will be great lossers when it comes to war!
 
u guys are starting to cross a certain line.. a line that is not worthy crossing. So stand down.
 
Waislamu wanaomba mahakama ya kadhi serikalini,(baba yetu wote) hawajapeleka maombi kanisani kwanini wakristo watoe majibu
Ni kama kisa cha mtu wenye watoto wawili (A and B) "A anaomba anunuliwe shati kwa babake, B anasema kumwambia baba usimnunulie A shati" wapi na wapi?
Kinachotakiwa B afanye aombe naye anunuliwe shati siyo kukutaa A asinunuliwe na Baba yetu ...so kama kwa maaskofu wanataka mahakama go ahead put your case to goverment kuna tatizo gani hapo??? kwanini maaskofu washinikize serikali kwa jambo ambalo wao hawajaliomba?? wivu,chuki ujinga mkubwa kabisa kama wa huyo mtoto.

Mkuu hiyo serikali ni nani? Si ipo kikatiba? au ni kikundicha watu kimeshuka from above?

Tunaposema ni suala la kikatiba tunamaanisha ni katiba kweli....ndiyo inayosema masuala ya uwepo wa serikali na muundo wake.

Huo mfano wako kuwa serikali ni baba kwa hapa sidhani kama unafaa.
 
Hoja yako ya cost! nilishaeleza sehemu nyingi kwenye kwa ufupi "ikiwa sasa hivi kuna kesi zaidi ya 100 za mirathi, ndoa za kiislamu ziko mahakama ya kawaida bila shaka zinatumia pesa za wananchi wote" ikianzishwa mahakama za kadhi 80% ya kesi hizo kama si zote zitaenda MyK" je huoni kwamba kuna pesa hapo? ambayo serikali inatakiwa kuzitoa kwa kusaidiwa na MyK huku wanaohukumiwa wakipata haki zao kwa mujibu wa sheria za dini yao??" (nakufurahi kwa kutimiza hukumu ya mungu)

Ya mwanzo nimeshaandika vya kutosha na naona tutofautiane tu.

Nakuja kwenye suala la gharama:-

Ni rahisi sana kuandika kuwa ukianzisha hiki chombo basi kesi zitapungua. Ila unasahau kuwa tatizo ni PESA siku zote. Kama pesa ingelikuwepo basi kitivo cha sheria kingelipanuliwa, mahakimu wakasomeshwa wengi, mahakama zikajengwa..... naama jengo kubwa kuliko yote Tanzania linakuwa ni mahakama tu. Na haya yanakuwa kila mkoa. Huoni tatizo lingeliisha? Ila kumbuka Tanzania kwanza lazima wale mafisadi, lije jeshi likombe, Polisi, wizara ya afya, maji na umeme, wizara ya elimu, wanafunzi, nauli ya Muungwana kwenda nje, Washa, kongamano, ndege, shangingiS, misafara mikubwa ya Pinda na Muungwana na ................
Unafikiri hiyo pesa ya kuanza kulipia hao KADHI itatoka wapi?

Ndiyo maana Mwanakijiji akashangaa mwanzo kabisa kuwa wakati wengine tunalia na MAFISADI, wenzetu mwalilia KADHI. Haki ya nani, siku moja tukawaondoa MAFISADI na CCM yao, nione mtu anakuja kulialia hapa kuwa "ni sisi tulipigania uhuru..... sasa twadai pesa ya kadhi...." Tungeliungana Waislaam kwa Wakristo na kuwashughulikia MAFISADI na UCHUMI wa Tanzania ukisharudi mikononi mwetu, tukae chini tujadili juu ya hili maadamu pesa zipo, why not? So longer watu watapa ajirra.
 
No bullet can fight Islam and Muslim, 10 christians is equavailent to 1 muslims when it comes to real war" kwahiyo swala la vita we sahau hamtuwezi...kwasababu tunahitaji ratio 100:10 100 christians to fight with 10 muslims inatosha...
Ndugu usiongelee vita maana hizo si anga zenu...tuongelee issues na namna ya ku-solve kistaarabu bila kufika huko.....christian will be great lossers when it comes to war!

Priceless.
 
Miaka kadhaa iliyopita serikali iliwasaidia waislam kuanzisha BAKWATA ili kuwa na single point of contact kati ya serikali na waislam hasa kwenye mambo ya muhimu kama public hokidays za kiislam, n.k. Leo hii bakwata haisemwi vizuri na waislam na walio wengi wanaiona kama chombo cha kuendeleza mkono wa utawala kwa waislam. Itakuwaje kwa mahakama itakayokuwa funded na kuendeshwa na serikali? Ndo maana nasema serikali haina utaalam wa kushughulika na mambo ya dini na CCM wanajua. Ila wanayapachika mambo haya ili ku-score maxi za wakati huu.
 
Back
Top Bottom