Jk hayuko tayari kuvunja katiba ya nchi kwa ajili ya kuwafavour waislamu wenzake. Serikali kulazimishwa kuunda mahakama ya kadhi ni kutowatendea haki wananchi wengine ambao si waislamu,umuhimu wa waislamu kuwa na mahakama yao hakuna anayepinga kinachopingwa ni kwa mahakama hiyo kuundwa kwa sheria za nchi wakati nchi yetu haina dini,sheria ni lazima iwe na saini ya president hivyo ndio kusema inakuwa ni sheria ya nchi,suala la kuwa mashehe au wahudumuaji mahakama hizo watagharimiwa na BAKWATA si hoja kwa kuwa hoja ya msingi ni mahakama hiyo kuwa kwenye sheria za nchi,gharama za serikali mfano kuchapisha muswada na hatimaye kuchapisha sheria zenyewe kwa ajili ya kusomwa na waislamu au wanasheria for that matter ni kodi za wananchi wote. Ni kweli kuwa waislamu hawawezi kuunda mahakama yao isiyokuwa na nguvu za kisheria ndio maana wanataka iwe sheria ya nchi,pamoja na kudai kuwa ni haki yao lakini haki gani ambayo haitambuliwi kisheria? kwani waislamu wamekatazwa kusali?Sheria tayari inatambua kuwepo kwa misikiti na makanisa pamoja na suala zima la uhuru wa kuabudu kwanini basi waislamu wasiendelee na uhuru wao huo ikiwa ni pamoja na kuunda mabaraza yao ya kutatua migogoro ambayo yataheshimiwa na waumini wote? Ingawa kuna barukta na Bakwata? misimamo inaweza tofautiana lakini hilo ni juu yao kwa nini serikali iwe moved kufanya kwa niaba ya dini fulani? Ni haibu kwa waislamu kutoelewa hilo
Kwahiyo unataka kusema nchi ambazo zinamahakama hii ya ki-islam kama vile kenya wananyanyasa raia wengine wasio kua waislam? nawakati wanaaihidi kuanzisha mahakama wakati wa uchaguzi, hawakuiona katiba ya nchi? Hebutoweni blabla zenu, wakati umefika we need changes