Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Sheria za Kiislamu zina adhabu za ajabu kweli. Angalia mfano wa hizi hapa chini.

Serikali ya Tanzania haina dini. Ziko sheria za Kikristu (Canon Law) lakini si sawa serikali yetu izitumie. Ziko vile vile sheria za Kiislamu, SHARIA, na si sawa serikali izitumie.

JK acha kuzunguka zunguka. Unataka kutubandika Sharia Law? Hatutaki.


=======================================================
These are chronologically arranged articles:

1. From http://insidesomalia.org/20090509924/News/Human-Rights/Somalia-Al-Shabaab-cut-mans-hand-for-Robbery.html

Somalia: Al-Shabaab cut man’s hand for Robbery
Saturday, 09 May 2009 19:03

Mohamed Omar Ismaiil was found guilty of robbery by governing Islamic militants (Al-Shabaab) in port town of Kismayo. Under Sharia law, the Islamic court has sentenced Mohamed Omar Ismaiil to have his right hand cut off. The age of Mohamed is assumed to be around 35 years old.

It is alleged that Mr. Mohamed Omar entered a house in Kismayo and stole number of clothing items. Mr. Mohamed Omar has admitted to part of the crime. With large crowds, the judge, Sheikh Abdi Wali had read to the court the punishment.

This is not the first time the Islamic group known as Al Shabaab, who introduced strict form of Sharia, or Islamic Law, carried out this sort of incident, it was just last year when they amputated a young man named Yusuf.

Under strict Sharia law, theft is sentenced by severing their hand. The death penalty is meted out for murder, rape, armed robbery, apostasy and drug trafficking.


The sentence was carried out around 5 pm local time today. Prior to hand being cut off Mohamed looked nervous, but was under extreme pain as there was no medical support provided.

We have seen pictures, which we will not publish. It is truly horrific. The alleged crime and punishment does not balance in this day and age. It is extreme and barbaric. Despite the progress made over the last several hundred years, there are pockets in this world were medieval punishment is handed down without any compassion or weighing against alleged crime. Items stolen were valued around $90 US Dollars!

The future for Mohamed Omar does not look bright in a country with no medical support or welfare system. This is crime against humanity.


2. From http://insidesomalia.org/200906231338/News/Human-Rights/Somalia-robbers-sentenced-to-amputation.html

Somalia robbers sentenced to amputation
Tuesday, 23 June 2009 12:31


MOGADISHU — Four Somalis accused of theft were sentenced Monday by the Shebab insurgent group in Mogadishu to have their right hand and left leg amputated, the ad-hoc court's judge told AFP.
"The four men sentenced today by the court of the mujahedeen (holy warriors) were accused of robbing residents at night in several Mogadishu neighbourhoods," Sheikh Abdallah al-Haq said.
"Therefore, they face the punishment provided for by Sharia law," he added.
During the hearing, which took place in the open in northern Mogadishu in front of hundreds of local residents, Shebaab officials displayed three mobile phones and two assault rifles they charged had been stolen by the defendants.
"The defendants admitted the charges brought against them and were sentenced accordingly. Each one of them will have his right hand and left leg amputated publicly," Sheikh Abdallah said.
The Shebaab group, currently engaged in a deadly military offensive in Mogadishu and central Somalia against the fledgling administration of President Sheikh Sharif, explained the sentence could only be carried out on Tuesday.

"They will undergo their punishment early tomorrow because in such a hot climate they risk bleeding to death if they are amputated in the middle of the day," a Shebaab commander told AFP.
While most of the political players in Somalia recognise Islam as the main source of legislation, the Shebaab have always advocated a very strict interpretation of Sharia.
An alliance including the Shebaab and hardline Islamists already controls and administers large swathes of southern Somalia, where courts impose tough sentences that have been condemned by international rights groups.
In May, Amnesty International issued a statement condemning amputations and unlawful killings it said were being routinely carried out by the local authorities in and around the southern city of Kismayo.
In October, a 13-year-old girl was stoned to death in public by around 50 men on one of Kismayo's main squares. She was accused of adultery by local hardline Islamists after reporting that she had been raped by three men. (By Sharia "law" a woman is always guilty because she is... a woman. Sharia "law" was invented and implemented by... a man over 1400 years ago.)
In May Mohamed Omar Ismaiil was found guilty of robbery by governing Islamic militants (Al-Shabaab) in port of Kismayo, he also had his hand cut off as punishment, see story (above).

Source: AFP

3. From http://insidesomalia.org/200906251363/News/Human-Rights/Double-Amputation-by-Al-Shabaab-This-is-not-Islam.html:

Double amputation by Al-Shabaab: This is not Islam
Thursday, 25 June 2009 12:27


Mogadishu - (insidesomalia.org) - The al Shabaab group, which has foreign fighters in its ranks and is accused of close ties to al Qaeda, stepped up its attacks in early May. It now controls most of southern Somalia and all but a few blocks of the capital Mogadishu.
On Thursday, the insurgents used long knives to cut off a hand and a foot each from four young men in Mogadishu as punishment for theft, witnesses said.
It was the first double amputation in Somalia.
The men screamed in pain, and some spectators vomited.
Al Shabaab has carried out executions, floggings and single-limb amputations before, mainly in the southern port of Kismayu. Movies and soccer games are banned in areas it controls while men and women cannot travel together on public transport. Last month Mohamed Omar Ismaiil was found guilty of Robbery by governing Islamic militants (Al-Shabaab) in port of Kismayo and cut his hand, see story (above).

Al Shabaab's strict practices have shocked many Somalis, who are traditionally moderate Muslims, although residents give the insurgents credit for restoring order to regions they control.
"We have carried out this sentence under the Islamic religion and we will punish like this everyone who carries out these acts," said al Shabaab official Sheikh Ali Mohamud Fidow.
Security analysts and government officials say the rebels have been regularly supplied with weapons this year in spite of the U.N. arms embargo, while foreign fighters from Pakistan, Afghanistan and other nations have joined the battle.
Western governments and some of Somalia's neighbours fear that if the insurgents succeed in toppling the government, the country would then be used as a base to destabilise neighbors.
Source: Reuters
 
sheria zitakazojumuishwa hazitakuwa zaidi ya za madai kama mirathi na ndoa.

ni za kutetea haki za mwanamke mfano aloolewa mke wa nne, watoto wake alozaa, pia kuhakikisha mirathi inagawiwa kwa misingi ya kiislam kwa wale waislam watakaotaka ifanyike hivyo.

sioni tatizo liko wapi kwa kweli ...............sheria hizo haziwezi kumgusa mkiristo wala mtu asiyekuwa na dini
 
Mkuu mahakama ya madhehebu mengine tunayo.. Kila sheria ktk mahakama zetu ndogo zinafuata misingi ya Kikristu..Sema tu haikusemwa hivyo.
Haha haaaaa!!!! I like this. Kama vile kutambua ndoa ya mke mmoja tu.
 
Haha haaaaa!!!! I like this. Kama vile kutambua ndoa ya mke mmoja tu.

Mkuu hiyo nayo ni sheria? Ingekua ndiyo hivyo si basi Waislamu wangeshitakiwa kwa kuwa na mke zaidi ya mmoja? Polygamy is legal in Tanzania so sielewi point gani you are trying to make.
 
Hizo sheria za secular nani kakwambia ni zetu?, wacha ziwekwe sheria zihukumu waislamu wapendavyo wao kuhukumiwa nyinyi ambao si waislamu inauma nini?
Nakubaliana na watu kuwa hiyo ni danganya toto'

serikali isituchanganyie maji na mafuta lazima vitajitenga. kwa mtazamo wangu kuwa na zaidi ya chombo kimoja cha kusimamia sheria yaweza kuwa vurugu tupu hasa pasipokuwa na elimu ya kutosha kwa watumiaji na usimamizi wa kutosha. Aidha najiuliza mahakama ya kadhi ikishatoa hukumu yake watuhumiwa kama ni kufungwa waenda fungwa gereza la kadhi au serikali? na kama ni magereza ya serikali huku mfungwa atafuata kanuni za kadhi au serikali? au za kadhi ndio zile za kukata mikono watu na kupiga mawe?? katika tanzania hii ambako tuna mchanganyiko na mwingiliano mkubwa wa dini na kabila mahakama za dini au kabila moja zinaweza kuongeza matatizo zaidi kuliko kutatua kama hazitasimamiwa vema. Ila kwa suala la kuleta sheria za kiislamu kwenye zile za kiserikali mi naona ni kuzidi kujichanganya, ni either wakubali kadhi au kukataa na si kuchanganya!
😕🙄
 
Uamuzi mzuri wa serikali. Pia misamaha ya kodi inahusianaje na Mahakama ya Kadhi? Lipumba naye naona hajajifunza kuhusu chama chake kuwa na mrengo wa kidini na kwa namna hiyo kimepoteza umaarufu bara. Tusubiri tamko la ndugu zetu, inawezekana wakatishia kutokipigia kura ccm.
 
KAFIRI NA MSHENZI[/B]KAMA WEWE AUGUSTINE MOSHI NI KIPI CHA UISLAM UTAKIONA KIZURI.

hapo ndo ninapochoka na mambo haya! hata mahakamani itakuwa wewe khafiri, mshenzi n.k n.k mpendwa nungunungu usichomoze miiba ovyo, kama mtu hana uelewe mzuri mpe elimu tu ya nini dhamira ya sharia/ mahakama na sheria za kiislam badala ya kumtukana tu haitasaidia!!!😎
 
mbona mkuu umelenga kwenye ndoa tu hujaangalia mambo mengine kama adhabu kwa yoyote atakaeukashifu uislam,kuolewa kwa msichana kuanzia miaka tisa,hijab kwa wanawake wote.kumbuka makosa kama adultery,kukashifu dini ya mwenzio hapa kwetu is just morrow wrong lakini kwa sheria za kiislam hiyo ni criminal offence na adhabu yake ni kubwa tu.sasa huoni kutakuwa na contradiction kubwa kati ya sheria zilizopo sasa na hizo za kiislam.Sheria yetu inasema mtu akioa mtoto chini ya miaka 15 that is raping na waislam wanaruhusu hiyo sasa hapo nisaidie mkuu,labda wachukue vifungu kadhaa toka kwenye sharia ya kiislam ambavyo havipo kwenye sheria yetu
 
Naona JK kadhamiria kuingiza Dini ya Kiislamu serikalini. Kila kukicha anajaribu namna nyingine. Hatutaki sheria za dini yoyote serikalini. Unataka kuvuruga amani.

Acha kutuwekea mfumo wa SHARIA kwa kinyemela. Inasikitisha sana SHARIA inavyokata watu mikono huko Somalia. Tazama bandiko langu hapo juu. Hatutaki hayo Tanzania
 
sioni tatizo liko wapi kwa kweli ...............sheria hizo haziwezi kumgusa mkiristo wala mtu asiyekuwa na dini

Siku hizi watu wa dini tofauti wanaoana. Kwa mfano muislamu anaweza kuoa mke mkristo na mkristo anaweza kuoa mke muislamu.

Kumbuka pia watu wanabadili dini. Kwa mfano, mtoto wa muislamu anaweza kubadili dini na kuwa mkristo, nini itakuwa nafasi yake ya kurithi mali ya baba yake(muislamu) chini ya sharia?

Hivyo si kweli kwamba sheria hiyo haitagusa watu wengine wasio waislamu.
 
Naona JK kadhamiria kuingiza Dini ya Kiislamu serikalini. Kila kukicha anajaribu namna nyingine. Hatutaki sheria za dini yoyote serikalini. Unataka kuvuruga amani.

Acha kutuwekea mfumo wa SHARIA kwa kinyemela. Inasikitisha sana SHARIA inavyokata watu mikono huko Somalia. Tazama bandiko langu hapo juu. Hatutaki hayo Tanzania

Wewe Kafiri acha kuwapotosha watu. Ndio maana mimi nawashangaa hawa watu wanaojitahidi eti kukuelewesheni watu wenye chuki kama wewe juu ya kazi za mahkama ya kadhi.

Endeleza chuki zako kwa JK ila ujuwe hakuna Rais wa nchi atakayetoka huko kwenu.
 
Mimi nilidhani Serikali yetu ingeendelea kukaa mbali na hizi DINI zetu. Nilitarajia kwa mfano, BIBLIA na QURAN viondolewe pale IKULU yetu ili visitumike wakati wa viapo vya WATEULE wa Rais. Vitabu hivi VITAKATIFU/VITUKUFU ni kama vile tunavidhihaki tu kwani wateule hawa wakishamaliza kuapa wanakimbilia kwenye kusaini mikataba mibovu, kula rushwa, kufanya ubadhirifu,...
Matokeo yake Nchi inaonekana kama vile imelaaniwa.
 
sheria zitakazojumuishwa hazitakuwa zaidi ya za madai kama mirathi na ndoa.
Ni kweli kabisa na kuna baadhi ya watu wameanza kupatwa na woga usio na maana wakidhani kuwa sharia ndizo zitaingizwa kwenye mfumo wa sheria.
lakini hata hizo zitakazoingizwa zinaweza kuleta tatizo kutokana na misingi yake. Msingi mkubwa wa sheria za nchi ni usawa, lakini ukiangalia sheria za Kiislamu katika maneo kama mirathi, usawa unakosekana kabisa. nashangaa ni vipi wataweza kuoanisha sheria ya Kiislamu ya mirathi na suala la usawa
 
Tatizo si serikali tatizo ni kwa waislamu wenyewe kuwa wanafiki katika masuala ya dini yao.Ukweli upo palepale kuwa waislam wengi walio katika madaraka ya uongozi uwe wa kidini au serikali ni wanafiki wakubwa na ndio chanzo cha kuwafanya wenzao kuwa duni hata katika imani yao.Angalia jinsi mashujaa wa kikristo walivyokuwa imara katika kutetea mambo yao,serikali kutaka kufuta misamaa ya kodi tuu wakatishia kujitoa sisieeem,serikali kwa kulijua hilo haraka ikarudisha misamaha ya kodi ili wazee wafanye mambo yao, na kweli kama serikali isingerudisha huo ulaji hawa maaskofu wangejitoa na kujiunga chadema au chama chochote makini na sisieem ingekula wa chuya 2010.Ushauri kwa nyie mnaojiita mashehe kabla ya yote acheni unafiki wenu na kuwapumbaza waumini wenzenu kwa kufanya hivyo mnawapotosha,unganeni na jitoeni huko sisieeem na jiungeni katika chama makini,kwani sisiieem inawaletea chakula majumbani kwenu?Nyie vipi?
 
Siku hizi watu wa dini tofauti wanaoana. Kwa mfano muislamu anaweza kuoa mke mkristo na mkristo anaweza kuoa mke muislamu.

Kumbuka pia watu wanabadili dini. Kwa mfano, mtoto wa muislamu anaweza kubadili dini na kuwa mkristo, nini itakuwa nafasi yake ya kurithi mali ya baba yake(muislamu) chini ya sharia?

Hivyo si kweli kwamba sheria hiyo haitagusa watu wengine wasio waislamu.
Huu ndio ukweli ambao ndugu zetu waislamu wanauweka kando au kwa makusudi wanajifanya hawauoni ili watimize malengo yao.
Mie ni mke muislamu na mimi mkristo watatuhukumu vipi kwenye matatizo ya ndoa au watafanyaje masuala ya mirathi?
 
Wewe Kafiri acha kuwapotosha watu.
We nungunungu, jazba hizi ndizo zinawatisha watanzania kuwapa mahakama yenu ikiwa katika sheria za nchi yetu.
Mi nadhani wewe ndiye hasa unafaa kuitwa kafiri maana waonekana mbumbumbu hata maana ya neno hilo hulijui. Unaishia kulitamka tu.

Ndio maana mimi nawashangaa hawa watu wanaojitahidi eti kukuelewesheni watu wenye chuki kama wewe juu ya kazi za mahkama ya kadhi.
Kwani kazi za mahakama hizo ni kificho? kwamba hazijulikani? mbona uwezo wako wa kuelewa ni chini?
Sikiliza hata waislamu wenyewe hawaipendi maana ni dhuluma tupu. Bora muwe wapole tuendelee na sheia zetu za siku zote. Wote tunaridhika maana hazikutungwa na sheik wala askofu.

Endeleza chuki zako kwa JK ila ujuwe hakuna Rais wa nchi atakayetoka huko kwenu.
Na hizi ndoto za mchana umezipata lini?
Nadhani furaha yako ni kubonyeza key board yako na kuandika lolote toka kichwani mako hata kama halina mashiko.
Just for your information rais wa nchi hii ni wetu wote na anaweza kutoka popote na kwenye dini yoyote hata kama si ya kikristo wala kiislamu ili mradi awe muadilifu tu pamoja na serikali yake.
 
Endeleeni tu kupigia chapuo mahakama ya kadhi. Sisi wengine tunasubiri mkimaliza hilo tuombe mahakama za JADI kama Gacaca za kule Rwanda. Hizi za jadi zingekuwepo mauaji na wizi wa mifugo kule Tarime na Rorya vingemalizika kirahisi. Tuanzie hapa kuigawa NCHI yetu. Mambo haya ni UBAGUZI. Ukishayaanza hautayaacha, ni sawa na kula nyama ya mtu, alituasa MWALIMU.
 
Mchukia Mafisadi,

Mimi si mgeni humu. Wakristo wenye kutazama hoja pande zote tunawajua. Augustine Moshi Hayumo. Hao wasio na chuki tunawaambia kwamba tujuane na tukubali kujuana ndio amani itadumu. Lakini ikiwa na la Muislam ni Udini la Mkristo ni hekima, hatufiki.

Fanya utafiti kidogo tu humu JF; kwenye teuzi za viongozi uone ni zipi zinaitwa zina udini. Leo hii waislam wangeanzisha hicho mnachokiita Elimu kwa wapiga kura mngesemaje.

Any way kile kipindi cha akina Mzee Daudi Mwakawago cha kuficha Uislam wao kilishapita. Rugambwa na Nyerere si sawa na Pengo na Mkapa. Hakuna siri tena hata mtu akijitia anatumia lugha ya mafumbo. Fumbo mfumbie mjinga.

Tumejiandaa kwa lolote kwa wale wenye chuki na Uislam kama Augustine Moshi na Philemon Mikel.

Nchi hii yetu sote!
 
Back
Top Bottom