Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

swalikwa the so called GREAT THINKERS

where are te so called arguments kwa nini its wrong ku incorporate sharia laws kwenye sheria za kawaida

Kwa sababu hatufugi ngamia - sasa zitatekelezwaje ?
 
Kwenye ilani yao CCM hawakuahidi kuwapatia, bali kuangalia uawezekano wa kuwapatia...
Ili kuondoa mikanganyiko, in future hii inatupa fundisho kuwa si busara hata kidogo kujaribu kufanya jambo bila kwanza kufanya utafiti wa athari zake. Tumeshafanya mengi yenye mafunzo tele...historia itatuhukumu tukiendelea kuyadharau mafunzo hayo maana kwa vyovyote vile hii si habari njema sana kwa waliotaka mahakama hiyo kuanzishwa.
 
Kweli hapo mkanganyiko kwani serikali isema kuiweka sheria ya kiislam katika mahakama za inchi ?????????? To me it means hiyo ni tayari mahakama ya kadhi ambayo itakua inasimamiwa na----------------------------???????????
 
Jamani suala hilo lipelekwe kwa umakini yasije yakatukuta yanayotokea nchi zenye mivutano ya kidiniiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mimi, ambaye nimetokea katika jamii yenye waislam wengi, nimeshuhudia na nina mifano mingi ya waislam waliokataa maamuzi (hasa ya mirathi) kutumia sheria za kiislam. Wengi hukimbilia mahakamani kupinga mgawanyo unaofanyika kufuata sheria za kiislam. Sasa ajabu ya hapa jf eti hizo sheria ambazo waislam wanazikataa huko mitaani, eti zinatakiwa imma faima. Najua Mashekhe wengi huchukia pale mgawanyo wa urithi uliotolewa kwa misingi ya kidini unapopingwa mahakamani na mahakama kutengua na kutumia sheria za nchi. Swali langu ni kuwa hivi wanaopinga huwa si ni waislam?? Sasa hao hao ndo tunawasemea eti wanataka mambo yao yaamuliwe kwa mujibu wa sheria zao!!

Kuna kitu zaidi kinatakiwa. Si haya mambo ya mirathi na kesi za madai kama wengi wanavyotaka tuamini. Vinginevyo, tungekusanya takwimu za ni waislam wangapi wamekataa migawanyo ya urithi inayotumia sheria za kidini, wala tusingefikiria hata kuzileta sheria hizo. Ikiwa wanaikataa hiyo migawanyo, tunataka tuipe nguvu za kidola ili wasikatae?? Haya yana reflect zaidi sentiments za mashekhe kuliko waislam wenyewe!

Si suala la madai tu, hapa kuna zaidi. Vinginevyo tungeona hoja zenye nguvu. Badala ya hizi za kuwa tunatumia canon law ndo maana waislam wanataka sheria zao!!
Mkuu ili kufanisha mjadala huu ningekuomba utuambie ni maamuzi gani waliyokataa hao waislaam ktk urithi ikiwa hakuna sheria wala mahakama ya kadhi na wakaenda ktk mahakamani..
Kwa sababu najua fika urithi wa watoto kwanza ni solution ya Kiislaam.. sasa yawezekana huyo jamaa alitaka kumrithisha Baba, mama, kaka, dada mjomba na kadhlika... badio unafikiri maamuzi ya kiislaam hayafai?
 
Mkuu,
Mimi tena, sintachoka kukufahamisha..
Nikupe mfano mzuri sana..
Marekani, Uingereza na nchi nyingi za magharibi - Polygamy ni haramu, sii ruksa, haitakiwi ni MAKOSA, hivyo HUKUMU (solution) yake - Ndoa ya pili, tatu na kadhalika hazitambuliwi, kisheria umevunja sheria na katiba ya nchi hiyo, kuna uwezekano wa watoto pia kupoteza Urithi..

Tofauti na wao, sisi Tanzania Polygamy ni Ruksa! hivyo hukumu (Solution) yake haiwezi kuwa sawa na nchi za Magharibi kwa sababu sisi ni nchi isiyokuwa na dini - Kikatiba.. Ruksa hiyo tunayopewa ni lazima iambatane na hukumu (ningependelea zaidi kutumia neno suluhu = Solution badala ya hukumu) ktk matatizo yao.
Kama hatuna dini ndio maana sheria ktk ndoa zetu hazina msimamo mmoja, kikatiba hatukatazi moja na kukubali jingine kama vile Polygamy ni mafuruku huko Marekani. Sheria yetu imewapa nafasi Waislaam na Asilia ku practice ibada zao ktk ndoa Kikatiba, na solution ktk matatizo ya ndoa hizi (mahakama) haiwezi kuwa sawa na Marekani ambayo sheria ni moja tu ktk katiba yao.. Polygamy ni kufur..
Kukiuka katiba ni pale tutakapo taka kutunga sheria za mahakama kufuata amri moja kwa wote wakati sote tumepewa ruksa kufuata ibada zetu tofauti..Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba Waislaam hawataki kubadilisha katiba isipokuwa sheria za mahakama zifuate katiba inayowapa waislaam ruksa ya kuoa na kupractice ndoa ktk misingi ya kiislaam... Huko Marekani mnakoishi na sheria zao, Waislaam hawaruhusiwi ni makosa makubwa unaweza fungwa kwa kitendo cha kuoa tu zaidi ya mke mmoja...
 
where are te so called arguments kwa nini its wrong ku incorporate sharia laws kwenye sheria za kawaida

It would set a dangerous precedent to take a law of one of the religions and force it on all citizens.

The Chinese say that a journey of a thousand miles starts with one step. Imposing one part of SHARIA LAW on Tanzania would be the first step in imposing the whole SHARIA LAW on us.
 
That's a damn lie my brother.. who forced U!
What Sharia law! - Hivi kweli wewe unaijua Sharia law ama kwa kuwasikiliza Mapadre na hizo NGO zenu makanisani?
Mnaudhi sana Wagala!
 
Augustine Moshi,
Mkuu wewe ndiye una force Waislaam.. sheria unayotaka kuitumia ni ya Kikristu ambapo Polygamy ni haramu wakati katiba inasema nina ruksa ku practise dini yangu ktk ndoa. Ndio haya yanafanyika huku Marekani na Canada ati Muislaam anaruhusiwa ku practise dini yake lakini akioa mke wa pili hatambuliwi.. hii ruksa gani kama sii ku impose ukristu kwake..Tena afadhali ya wao Uhuru wa nchi yao zimepatikana kwa Ukristu,sii Tanzania ambayo wewe unataka kunihukumu mimi kwa Biblia inavyosema (kuiga nchi za magharibi)..Na wala kinachoombwa si kikubwa hivyo ni faida kwa wanawake na watoto wetu. Pengine sheria nyingine nje ya Uislaam zinaweza kutumika yote kwa faidi ya kizazi chetu.. Maadam umesikia neno Uislaam basi kanisa halitaki kusikia.. Magaidi, wauaji na kadhalika sii ndivyo mlivyofundishwa! ikiwa matusi tu mkuu hata sisi tunayaweza sana... sii wajinga hivyo bob.
halafu unakuja hapa na kudai ati tuna force sheria Laww kwao hiyo yako unavyowahukumu waislaam ni kitu gani?..
 
It would set a dangerous precedent to take a law of one of the religions and force it on all citizens.
The Chinese say that a journey of a thousand miles starts with one step. Imposing one part of SHARIA LAW on Tanzania would be the first step in imposing the whole SHARIA LAW on us.

That's a damn lie my brother.. who forced U!
What Sharia law! - Hivi kweli wewe unaijua Sharia law ama kwa kuwasikiliza Mapadre na hizo NGO zenu makanisani?
Mnaudhi sana Wagala!

Mkuu Mkandara nafikiri sasa na wewe unaanza kushindwa kufikiri outside the box kama unavyodai siku zote. Sharia Law ikiingiza tu mguu Bongo itawaadhibu waliomo na wasiokuwamo. Hebu shuhudia yanayotokea Nigeria kwenye zile states zinazopractice sharia law.

Sharia law is not supposed to apply to Christians and other non-Muslims. In theory, the Penal Code for Northern Nigeria remains in effect for non-Muslims. However, Zamfara state requires its female employees to meet Muslim standards of dress regardless of religion. Christians and women of other non-Muslim faiths cannot ride motorcycle taxis or share mass transportation with men. Smaller buses are provided for women, but they are few in number and run infrequently.
Kazi kwako Mkuu. Zanzibar wamewahi kukamata watu wasio Waislamu majumbani mwao kwa kula mchana wakati wa Ramadhani au mpaka nitoe/nitafute ushahidi.
 
Mag3,
Kazi kwako Mkuu. Zanzibar wamewahi kukamata watu wasio Waislamu majumbani mwao kwa kula mchana wakati wa Ramadhani au mpaka nitoe/nitafute ushahidi.
Sijashindwa kufikiri kwa sababu mahakama ya kadhi sii Sharia law unayozungumzia ndio maana nasema kama hamjui kitu ulizeni kwanza. Nani kasema tunataka kuingiza Sharia law..najua nini mnachotaka kujaribu kusema hapa.. hili neno Sharia law kwa jinsi mnavyofundishwa makanisa basi mahakama ya kadhi ndio inatuletea habari za kupiga mawe, kukata mikono na kadhalika.,. unafikiri mkuu wangu sijafahamu malengo yenu kuwavuruga wananchi akili zao wakatae kata kata hoja za kiislaam..

Je, unajua uzito wa sharia law nenda nchi za Kiarabu zinazo practice kisha rudi unambie kama kweli mahakama ya kadhi inawakilisha mambo hayo..kwanza hujui wala hujawahi kuona mahakama ya kadhi lakini mnabisha kama vile mnajua kitu..mkuu mwaga hoja kujibu hoja na sio kuzua yale yasiyokuwepo!

Yaonyesha wazi hamjui mahakama ya kadhi inahusiana na vitu gani ndio maana napata taabu kubwa kuwaelimisha na kibaya zaidi hamtaki kuelimika isipokuwa kubisha tuuuu maadam mnabeba msalaba. Ama mnafanya makusudi kuvuruga mjadala kwa sababu ya udini na kutoangalia nje ya kabati..Kama kweli mahakama ya Kadhi inawazuia watu kula mchana mwezi wa Ramadhan mbona Kenya wanakula, Uganda wanakula, Msumbiji wanakula,.. haya mengine wewe umeyatoa wapi?
 
Last edited:
Tulia Mkandara. Si kawaida yako kuandika kwa hasira.

Kuna wakati Waislamu walitaka Dar tusiruhusiwe kula nguruwe. Na walipita mitaani wakivunja mabucha ya nguruwe. Kama tungekubali kukatazwa kula nguruwe wakati ule huoni sasa hata wake zetu wangelazimishwa kuvaa hijab?

If you ignore a principle once then it ceasesto be a principle. And for us, it is a principle that we separate church from state.

Sheria za sasa sio za Kanisa. Tungetumia sheria za Kanisa si tungefunga serikali yote kwa makosa ya uzinzi! Kuna overlap kati ya sheria za nchi na zile za dini za Kiislamu na za Kikristu, lakini sio sheria za dini moja au nyingine. We want to leave it that way.

Mwanzo wa matatizo haya ni uchaguzi mkuu ujao. JK anatutakia vurugu.
 
It would set a dangerous precedent to take a law of one of the religions and force it on all citizens.

The Chinese say that a journey of a thousand miles starts with one step. Imposing one part of SHARIA LAW on Tanzania would be the first step in imposing the whole SHARIA LAW on us.

First of all i see "no reason" why a devout Muslim, provided he or she was "acting voluntarily and without coercion", should not choose to submit a family dispute to a Muslim cleric.

That would be no different from a Christian family submitting their dispute to be decided by a priest or marriage counsellor.
 
Nyie endeleeni kuchokonoa na kujiona wababe ikiwa Raisi amelipuliwa kibao na ana ulinzi wa kila kona itakuwa nyie hohe hahe mnaosubili hesabu kutoka kwa pope.
 
Wazee Mkandara na GT,

Nawaona mnajitahidi sana kuelimisha ila naomba niwapeni angalizo moja. Ni kweli mwl mzuri anapaswa asichoke lakini ni muhimu ukajua unayemfundisha. Huyo Daktari wa hesabu sio kwamba haelewi juu ya aina ya sheria itakayotumika bali anataka kuwafanya muda wote muwe defensive. Unaweza kumuelewesha asiyeelewa sio asiyetaka kuelewa kwa chuki.
 
Tulia Mkandara. Si kawaida yako kuandika kwa hasira.

Kuna wakati Waislamu walitaka Dar tusiruhusiwe kula nguruwe. Na walipita mitaani wakivunja mabucha ya nguruwe. Kama tungekubali kukatazwa kula nguruwe wakati ule huoni sasa hata wake zetu wangelazimishwa kuvaa hijab?

If you ignore a principle once then it ceasesto be a principle. And for us, it is a principle that we separate church from state.

Sheria za sasa sio za Kanisa. Tungetumia sheria za Kanisa si tungefunga serikali yote kwa makosa ya uzinzi! Kuna overlap kati ya sheria za nchi na zile za dini za Kiislamu na za Kikristu, lakini sio sheria za dini moja au nyingine. We want to leave it that way.

Mwanzo wa matatizo haya ni uchaguzi mkuu ujao. JK anatutakia vurugu.

Now you really are showing your ignorance.

Sharia is not for you or anyone who doesnt want it. Its for those who wish to use it to solve their "personal" dilemmas.

Example, the divorce process according to the Tanzanian law - it is lengthy for both male and female - also the issue of assets and liabilites need sorting... Under islamic law the husband becomes liable for all debts, sharia determines what belongs to the whom - the emphasis being on what the woman gets not what the man keeps.... So you see divorce in islam looks at the bigger picture....Also man becomes financially responsible for any children...

How about you think outside the box for a while before making ill judged sweeping statements?
 
Wazee Mkandara na GT,

Nawaona mnajitahidi sana kuelimisha ila naomba niwapeni angalizo moja. Ni kweli mwl mzuri anapaswa asichoke lakini ni muhimu ukajua unayemfundisha. Huyo Daktari wa hesabu sio kwamba haelewi juu ya aina ya sheria itakayotumika bali anataka kuwafanya muda wote muwe defensive. Unaweza kumuelewesha asiyeelewa sio asiyetaka kuelewa kwa chuki.

Ukitaka kujua kama humu ndani watu wanapenda kuzungumzia ushabiki then soma wangapi wamejibu hii thread:

wanaogopa zaidi sheria za ku accomodate waislam kwenye divorce matters kuliko sheria zilizotunguwa kuchua civil liberties zao

welcome to JF home of "GREAT THINKERS" who cant think beyond ushabiki
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...rism-act-yetu-inavunja-katiba.html#post509000

wanaogopa zaidi sheria za ku accomodate waislam kwenye divorce matters kuliko sheria zilizotunguwa kuchua civil liberties zao

welcome to JF home of "GREAT THINKERS" who cant think beyond ushabiki
 
Hivi misamaha ya kodi inatolewa kwa taasisi za kikristo tu au ni taasisi za dini zote?
 
Mi ninachoshangaa ni mambo mawili, kwanza kwa hawa ndugu zetu wanajiita wkristo kutoonesha kuhisi uchungu wa ndugu zao Waislamu, kwa kuwa dhana ya Waislamu itakuwa kukme hawa wakristo sio wema kwao, sa tukifikia hapo... tujue tunaiingiza nchi katika matatizo makubwa, maana watakachoona waislamu ni wao wajipange wapate haki yao ya kimsingi ya kuabuadu. Wengine wanafikiri haki ya kuabudu kuswali nakuhiji makka, hapana ni pamoja na mambo mengine ya sheria ya kuhukumiwa kwa mujibu wa dini yao, haitawezekana kwa Wakristo kama nao wangekuwa na sheria za kuendesha mambo yao, achana na zile za kanisani!!! Sheria zingine kama walizonazo wailslam... halafu sheia hizo ziingizwe kwenye sheria za watu halafu hata muislamu amuhukumu huyo mkrsto, hawa wakristo watakubali?? au wanashangiria tu bila ya kupima.
Lakini pili naishangaa serikali kwa kulifuta hili kwa vigezo visivyokuwa na mshiko, wanajua madhara yake kwa taifa?? au hii amani wameshaichoka?? hawajifunzi kutoka nchi za wenzetu ambapo vita haviishi... ni kutokana na mambo kama haya ya kudharau hisia za baadhi ya makundi katika jamii na kupendelea za wengine. Sio siri serikali imetaka kuwaridhisha maaskofu na wakristo wengine pale walipokuja juu pale serikali kufikiria kuanzisha mahakama za kadhi, na kudharau hisia za waislamu ambao wao ndo wanaathirika zaidi pindi mahakama hizo zinapokuwa hazipo.
 
Back
Top Bottom