Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Uhuru wa kuchagua na kwenda popote na si uhuru wa kuvuruga na kufanya lolote.Na mkatumike ipasavyo mandumi la kuwili.Kila kheri!
 
Only kichaa tu anaweza kuwa na kauli kama yako na maneno ya mkosaji anayeganga njaa. Dr Slaa ni Katibu Mkuu wa CDM na anapata mshahara halali kila mwezi ambao unawaumiza roho kila siku. Hata huko CCM ulikokimbilia na elimu yako ya Ualimu utarudi tu kule ulikokuwa unapaepuka ili uishi maisha ya ujanja kwenye siasa. Utarudi KUSHIKA CHAKI TU.

Hata wana CCM walioifanyia kazi CCM na wamevumilia kutukanwa kwa ufisadi wa chama chao tuko nao wanakula MBOGA MOJA so msitegemee kupata MBOGA SABA huko. Mtalipwa kwa miezi hii michache wakati wamoto then mtapoa kama akina Shitambala

Dr. Slaa a.k.a Babu mwenyewe amekiri kuwa HAKOPESHEKI ndio maana alijikopesha sh. milioni 140 za michango ya wanachama.
 
Chezea njaa wewe!!!! hapo tu ndio siasa nisipoipenda inaendana na njaa njaa, ingekuwa mtumishi wa serikali kakosea kidogo!! hao wanasiasa wangepiga kelele!!!
 
Do, ndo maana mimi napenda sana Siasa za Kenya, Huku ni Njaa kuanzia wanasaisa, wanadishi wa habari na wapambe wenyewe, Na hao jamaa ndo wamezikwa rasimi, wakati Watanzania wako kwenye mapamabano ya kuondoa mkoloni mweusi wengine ndo wako bize kuwasapoti,

Huyo sijui ndo Mwpamba si alidai atakua Mbunge? Kwa CCM asahau kabisa na huyo mwenzake Katiba ijayo haina Vitu Maalumu na kwa sababau CHADEMA ndo itakuwa madarakani kwa kifupi ndo wanasahaulika hivyo,
 
CHADEMA kiukweli kabisa ni kama tawi la CCM, maana ukiwasoma wanachama wanakwambia almost kila mtu ni pandikizi la CCM.

1) Naibu katibu mkuu 2) Kitila Nkumbo 3) Shibuda 4) Morogoro majuzi wamefunga ofisi na viongozi kukimbia kwa kudhaniwa wanatumiwa na CCM.

Sasa ukiangalia utaona CHADEMA ni kama CCM B vile!

du jaribu kufikiria aisee kabla hujasema.
 
Ndicho walichokuwa wanataka,, hata Shitambala alipitia mlango huo huo wasitegemee kama vijana ambao wamekuwa kwenye chama mda mrefu na wanajituma watafuraishwa na wao kupewa vyeo vya bure.
 
Ninachojivunia na chama changu CDM ni kuwa anayekuja CHADEMA si yule aliyefukuzwa lakini kwa CCM ni tofauti wao wanapokea wale wanachama waliofukuzwa na hii ni dhahili CCM kumejaa uchafu na uozo haiwezekani mtu aliyefukuzwa ndo akaonekana shujaa eti anapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hili limeonyesha Udhaifu mkubwa kwa CCM.
 
sasa wamethibitisha kwamba walitumwa na ccm,,,chochote walichokuwa wanasema ni uzushi,,,poleni sana,,,ni aibu sana mtu umesoma halafu unashindwa kutumia akili zako,,,,,unatumika..shame of u
 
Nadhani JK ataanzisha Wilaya mpya huko Mbeya ili awape ukuu wa Wilaya.
 
heshima yako imeisha.hata ukiwa tajiri vp watu wakikuchukia utaiona dunia chungu
 
Bado wabunge 15 wawachie wenyewe saccos yao.
 
uwiiii, kuna wanadamu hawana aibu kabisa hapa duniani,
Tunasubiri sherehe za kuwapokea mbeya.
All in all i can see the guilt mind through their face.
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Back
Top Bottom