Ndiyo siasa za kibogo zilivyo nyie mnaondoka Chadema Dr Slaa na Mbowe wameondoka CCM.
Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!Started by Juliana Shonza, 15th January 2013 12:0130 Pages •1 2 3 4 5... 30
Hiki ndio kile chama cha kitunguu swaumu? Na huyu ndio Mwenyekiti wake ? Na huyo mwingine ndio makamu mwenyekiti wake? Naulizia tuu jamani.......
mkuu, hata sisi wenye upeo mdogo wa kufikiri na uelewa naona tunaanza kuelewa ni kwa nini hii nchi haiendi mbele!CCM bwana, yaani mwenyekiti wa chama kikongwe, raisi wa nchi, amiri jeshi mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama vya anga, inch kavu na majini, na polisi jamii ambayo ndiyo TISS siku hizi, Mh, Dar Jakaya Mrisho Kikwete anakwenda kupokea hawa watu? Hii ni kubwa kuliko
Hongereni CCM kwa kupata makanda wapya wenye nidhamu, nguvu na maarifa.
Mbona huyo wa LHS ameng'ang'aniwa sana.
Only kichaa tu anaweza kuwa na kauli kama yako na maneno ya mkosaji anayeganga njaa. Dr Slaa ni Katibu Mkuu wa CDM na anapata mshahara halali kila mwezi ambao unawaumiza roho kila siku. Hata huko CCM ulikokimbilia na elimu yako ya Ualimu utarudi tu kule ulikokuwa unapaepuka ili uishi maisha ya ujanja kwenye siasa. Utarudi KUSHIKA CHAKI TU.Katika uchaguzi mkuu uliopita Slaa alikuwa loser na Kikwete alikuwa winner. Mtela na Juliana wamekataliwa na loser Slaa ambaye ni jobless asiyekopesheka wakapokelewa na winner Rais Kikwete ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wamefanya maamuzi sahihi. Wanastahili pongezi...
Its a big day for CCM, its a big day for wazalendo...