Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA RaisKIKWETE
Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.
Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.
Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!
Na wewe kabila la wachamba wima bure kabisa.Zambi ni MSAFWA, Juliana MNYIHA, Mwampamba ni MMALILA wote ni zero blain. Wachumia tumbn tu hao! There is no permanent enemy, mwampamba na zambi leo ni mtu na mwenyekiti wake. Wakafie mbali.
Tuache ubishi, hii issue ni SCUD kwa CHADEMA.
Ni pigo la shoka.
Vumilieni , pengine CHADEMA wamrubuni Nape ku-even the score!!!!
Bwana mukubwa mlidhani mmetupa jalalani taka wenzio wameona almasi!!Sidhani kuwa ni pigo la shoka mtu akiibiwa takataka jalalani kwake!
Hwa wamethiilisha kwamba walikuwa wanatumwa na CCM kuchafua Chadema. Mtu yeyote mpinzani na mwenye machungu na nchi hii hawezi kurudi CCM. Si wangeenda NCCR au CUF kama hawakuwa mapandikizi wa CCM. Big up Chadema kuwaona hawa mapema na kuwatoa nje mapema.
"Oil chafu" goes back to NAPE