Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Nikiwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, comrade mangula na juliana shonza (Mwampamba)

600447_332595483511198_1292812848_n.jpg

Hii imethibitisha kwamba hawa vijaana walikuwa chawa kwenye blanketi la chadema.

Najaribu kutathimin wanasiasa hawa wachanga wanavyoendelea kujichafua mbele ya macho ya watanzania.

Kuhama bila kuchafua chadema walishindwa nini? au ndio utabili wa Wasira uliegemea kutegemea sum hii, je wasira

taibuka na mkakati gani baada ya huu kugh'olewa mazimamazima? aibu yake!
 
Dhambi ya usaliti ni mbaya na hatari maana inadumu kwa kitambo kweoye maisha dhambi hii itaenea ktk maisha yao yote
 
Amevaa uzalendo! Lakini mbona kumejaa mafisadi? Mroho wa madaraka huyo! Kwakuwa alikuwa na jina cdm basi amefika na atapewa nafasi ili kuiangamiza cdm. Tungoje mabomu mengine yanayotokana na uozo au uvundo uliomo ndani ya cdm Shonza atakayodondosha. Siasa bwana! Full kuchafuana.

Hakuna jipya. Baada ya wiki moja CCM nao wataanza kumsahau.
 
dah aiseee yaaani makelele yote humu kumbe jambo linapikika aiseee. Kikwete anazurula sana ulaya lakini at least angetuletea tabia za democrasia ya huko sio ya kishenzi ya kumtumia vijana. in this way democracy in TZ is shenzi type. Guvu ya Umma will work.
 
Chezea njaa wewe!!!! hapo tu ndio siasa nisipoipenda inaendana na njaa njaa, ingekuwa mtumishi wa serikali kakosea kidogo!! hao wanasiasa wangepiga kelele!!!
Tatizo lichama lenu ruzuku wanakula wazee wa kaskazini tu.

 
Ninachojivunia na chama changu CDM ni kuwa anayekuja CHADEMA si yule aliyefukuzwa lakini kwa CCM ni tofauti wao wanapokea wale wanachama waliofukuzwa na hii ni dhahili CCM kumejaa uchafu na uozo haiwezekani mtu aliyefukuzwa ndo akaonekana shujaa eti anapokelewa na Mwenyekiti wa Chama hili limeonyesha Udhaifu mkubwa kwa CCM.
Nyie si mnawachukua wastaafu wa CCM kama Arcado Ntagazwa.
 
Hii imethibitisha kwamba hawa vijaana walikuwa chawa kwenye blanketi la chadema.

Najaribu kutathimin wanasiasa hawa wachanga wanavyoendelea kujichafua mbele ya macho ya watanzania.

Kuhama bila kuchafua chadema walishindwa nini? au ndio utabili wa Wasira uliegemea kutegemea sum hii, je wasira

taibuka na mkakati gani baada ya huu kugh'olewa mazimamazima? aibu yake!
I can imagine chawa nyingine zilizobakia huko CDM..Si watajikuna wakome...Bora wafanye usafi haraka iwezekanavyo
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Weninge katika picha ni Katibu mkuu wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni Makamu Mweyekiti wa CCM Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).

TUESDAY, FEBRUARY 12, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG


8E9U8493.JPG
 
Back
Top Bottom