Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Huyu Demu na huyo jamaa sijui Mtela--------wapumbavu sana, sasa kelele zilikuwa za nini kama waliona sehemu ya kwenda, maneno mengi ya nini? kisa kutafuta umaarufu. Fanya kazi ili upate umaarufu sio kuleta majungu tu.
 
TBC hawajatangaza tu. Habari kama hizi wanazichangamkia kweli.
 
Staili aliyohamia huko inataka kufanana kidoogo na ile ya Nakaaya Sumari.
Wanadhani kupokelewa na JK ndo umemaliza kila kitu.

kumbe umelijua ili yani Juliana kakosea sana maisha si ccm jamani maisha ni ukombozi wa mtanzania jamani mm ni mtaalam ninaona mapungufu yaliyopo.
 
Ile kazi ya kuichafua Chadema mliyotumwa mlikamatika pabaya Shonja na Mtela wako!!!! Hakika CDM si chama cha mamluki!!! Na wale ambao bado mpo CDM kwa ajili ya SSM jueni kuwa siku zenu zinahesabika na ni bora mkajiunge na wenzenu!!!! Na Engineer wenu wa Masalia anatakiwa kwa sasa awafuate!!!! Vikao vyako Juliana Shonza na wadau wa SSM viko wazi na kila kitu kilifika mezani!!! Poleni sana!! Kaendelezeni makundi maana SSM yenu ndiko makundi yalipoanzia na kukolea ili kumalizana nguvu!!
Kwa fursa hii ninampongeza sana Mr. Ben Saanane kwa kazi nzuri aliyofanikisha na leo hii tunashuhudia ukweli wa yale yote. Njaa zenu Juliana ana Mtela zinajidhihirisha wazi!!! Kajiungeni UVCCM mkasubiri vyeo!!! Vyama ni uzalendo si vyeo!! Vyeo vinapatikana kwa kazi njema ya kizalendo ndipo mwisho wa siku unatunukiwa tunu kwa kazi njema!!! Kila la heri masalia a.k.a Mamluki na mtafute ID kama yangu mje hapa mkaungane na marafiki zenu wasaliti ambao wako humu kutetea uozo!!! Maisha yamekuwa si maisha Tanzania, amani imekuwa fujo na uwanja wa kumwaga damu!! Nilitegemea leo hii hata huo mkutano wenu na utambulisho wa masalia ungesimama ili muende huko wanakouana na kuchinjana waislam na wakristu kwa sababu ya mabucha!!! What are your top priorities you SSM? So sad!! But I believe, a day will come when Uchakachuaji willi cease to be your Science!!
 
Najaribu kuunganisha kauli za huyu dada tangu mgogoro uanze CHEDEMA napata majibu ya kumjazia Shibuda anaporoka ovyo kumbe they hv similar goal.. kwa naomna hii Tz itaendelea kuwa maskini unless tupate wanasiasa wa kweli
 
Mungu mkubwa! Hawa hawakuwa wapinzani hata kidogo wangekuwa wapinzani wangeenda chama chochote cha upinzani! Hofu yangu ni juu ya aliyekuwa bosi wao prezzo now ni muda wa kuwakana live otherwise naye ni ccm
 
Hahahahahahaha
wewe si ulikuwa msatari wa mbele kuwatete kuwa sio wasaliti!
Alaf sishangazwi na maneno yako!

Hii issue kwa CHADEMA sio ya kupuuzia kwa sababu vijana wake wengi ni mfano wa hawa wawili walio jiunga na CCM.

Namaanisha, wanategemea siasa kuwaingizia kipato ilhali ni vijana wadogo wanaohitaji kujijenga kimaisha.

Kwa hiyo tegemea wengine kama si leo ni kesho kwa vile wanajua wakitoka CCM ipo itawapokea na kuwapa nafasi za ulaji.
 
Hii ni habari mbaya kwa wanaharakati wa ukweli ndani ya CCM; ni upuuzi mwingine kuwapokea kundini waapuuzi kutoka Chadema; hakika Shonza hutadumu kwenye chama cha wanyonge kwa umalaya wako wa kisiasa; Shonza rudi kwenu Cdm ukaendeleze upuuzi na utoto, Wanaharakati wa ukweli ndani ya CCM hatukutaki hata kama umepokelewa na Mwenyekiti wa Chama

ww jamaa nawe ni mwanaharakati? sasa ww humtaki wkt m.kiti wako kampokea ama chama ww sasa. ngoja awavuruge na nyie.
 
Hahahahaha huna jipya! Bora walivyo fukuzwa mazima. Hawakuwa na faida yeyote kwenye chama!
Uchafuuuuuuuuuuuuuu

Bwana mukubwa mlidhani mmetupa jalalani taka wenzio wameona almasi!!
Kuthibitisha hili cheki hii ni posti ya ngapi toka asubuhi(zaidi ya 430) na cheki hii:There are currently 755 users browsing this thread. (157 members and 598 guests)
 
Kama ni hivi hata Nyepesi ni wa kumweka kwenye Darubini kali sana kabla ya 2015..
 
Kadri siku na mda unavyozidi kwenda tutawajua tu Mamba ni akina nani na Kenge ni akina nani...nenda Shonza ulikuwa ujui unapigania nini CHADEMA moto chini toa virus wote tupa kule
 
Sasa tunasubiri Pumba zenu ili mzidi kujiabisha mbele ya Jamii, ila kumbukeni akimaliza kupiga picha na nyie atawachia kumbukumbu ya hiyo picha tu! atawasahau kabisaaaaaa.....subirini tuone!
 
Back
Top Bottom