Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

natofautiana na wana jf waliyochangia kuhusu kuhama kwa juliana. isiwe "sizitaki mbichi hizi!" juliana alikua kiongozi bavicha. alikua na msimamo wa kuwakosoa viongozi wa juu hasa slaa na mbowe. sidhani kama hili ni kosa. inapotokea mwanachama anahoji jambo asiloridhika nalo asikilizwe.

baada ya kumkosoa slaa alionekana ni mhalifu, mtovu wa nidhamu, msaliti, kibaraka wa ccm......... siasa haiendi hivyo! kwa upande wangu naona kuwa ni pigo kubwa kwa chdm juliana kujiunga na ccm. chdm ijenge utamaduni wa kuwasikiliza wanachama wote. utukufu wa slaa na mbowe uhojiwe. tukiendelea kuwaacha watukufu, chama kitakufa

Siku zote nasema kuwa uchafu ni kitu chochote ambacho kipo mahali pasipostahili...haijalishi hata kama chenyewe ni kisafi na mahali hapo ni pasafi...
 
natofautiana na wana jf waliyochangia kuhusu kuhama kwa juliana. isiwe "sizitaki mbichi hizi!" juliana alikua kiongozi bavicha. alikua na msimamo wa kuwakosoa viongozi wa juu hasa slaa na mbowe. sidhani kama hili ni kosa. inapotokea mwanachama anahoji jambo asiloridhika nalo asikilizwe.

baada ya kumkosoa slaa alionekana ni mhalifu, mtovu wa nidhamu, msaliti, kibaraka wa ccm......... siasa haiendi hivyo! kwa upande wangu naona kuwa ni pigo kubwa kwa chdm juliana kujiunga na ccm. chdm ijenge utamaduni wa kuwasikiliza wanachama wote. utukufu wa slaa na mbowe uhojiwe. tukiendelea kuwaacha watukufu, chama kitakufa

Mkuu, asante sana kwa kuwafungua macho waliopofushwa...
 
Juliana Shonza uenyekiti wa bavicha ndio imekuaje tena jembe langu la ukweeeli!?

Ila nakupa taadhari yale mambo ya TUNGURI achana nayo, huko ccm ndio kuna mabingwa wa mambo hayo kina maji marefu n.k so be careful all the best
 
Last edited by a moderator:
Nimekosa nguvu siasa ni hatari ngoja niendele kuwatumikia watanzania kama mtendaji bali nategemea mapinduzi makini ya haki kwa watanzania mungu bariki yaliyo mema.
 
wamekosa maslahi binafsi.

chadema siyo chama cha maslahi.

waende wakafie mbele huko.
 
Yote tisa kumi pamoja na kurudi nyumbani,sura yako kwenye hiyo picha inaonyesha unamawazo mengi sana,unajua fika kuwa kwa sasa nyumba imeingiwa na kidudu mtu,kuna mtu mwenye moyo wa chuma kwa tamaa za wake za watu huwaga hasikiagi cha mtu aisee!!!!anaona sawa na inzi kufia kwenye kidonda.sina hakika kama umeolewa au la kwake haijalishi That is the great mwigulu.
 
Back to Cinderella Province,the music,the tune and the rhyme is uncontrollable!
 
Ndio raha ya chama cha wasomi...mbaya wanamjua siku ya kwanza...Kwa heri mama ukaendeleze ndoa yako na magamba.
 
Utabiri wa mzee wa Gombe kuwa Chadema kitasambaratika ndani ya mwaka mmoja unazidi kufifia, waliowategemea kufanya kazi hiyo wameanza kusalimu amri mmoja baada ya mwingine na waliomo wamedhibitiwa vibaya sana na makamanda, chezea Chadema.

Unayoyasema ni kweli!, tena kweli Tupu! Unajuwa huyo CHIPANZEE [Wassira] alipokuwa akitoa tamko kwamba Chadema kitakufa ndani ya mwaka mmoja,alijuwa nini wao CCM,wamepanga juu ya CDM!

Lakini ule Usemi usemao Muanga usiku! Huumbuka Mchana, ni wa kweli kabisa!
sasa ni wakati wa Chadema kutofanyia Masihara Matamko yanayotolewa na hawa Wanajimu wa CCM.!
Lakini sio hivyo tu wajaribu pia kuwa Makini na Mwenendo mzima wa baadhi ya Vijana ndani ya Chama.

Kwa hawa walioondoka hawatakua na Madhara tena kwa Chama kwa kuwa wameshajulikana,kwamba nini lililokuwa lengo lao. ADUI yako ukisha mjua hakupi shida.!
Ni vema kuendelea kuwa na Msimamo hata na kwa Misukule (Mamluki) wengine wote wanaotumiwa na Mwenyekiti wa Taifa CCM, Katibu Mwenezi Nape, Mzee wa Mwituni [CHIPANZEE] Wassira, na MWIGULU MZINZI kukivuruga Chadema kwa maslahi ya CCM!!
Nina imani kuwa bado wako wengine ambao wanatumika ndani ya Chadema ila wakati wao utafika tu.
CHADEMA ni chama Makini,USIPOIKIRI na KUIKUBALI KWA KINYWA, basi UTAIKUBALI MOYONI!!
Hii ndio chadema, chama kikuu cha Upinzani kinachoinyima Viongozi wa CCM, kulala.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
natofautiana na wana jf waliyochangia kuhusu kuhama kwa juliana. Isiwe "sizitaki mbichi hizi!" juliana alikua kiongozi bavicha. Alikua na msimamo wa kuwakosoa viongozi wa juu hasa slaa na mbowe. Sidhani kama hili ni kosa. Inapotokea mwanachama anahoji jambo asiloridhika nalo asikilizwe.

Baada ya kumkosoa slaa alionekana ni mhalifu, mtovu wa nidhamu, msaliti, kibaraka wa ccm......... Siasa haiendi hivyo! Kwa upande wangu naona kuwa ni pigo kubwa kwa chdm juliana kujiunga na ccm. Chdm ijenge utamaduni wa kuwasikiliza wanachama wote. Utukufu wa slaa na mbowe uhojiwe. Tukiendelea kuwaacha watukufu, chama kitakufa

Maelezo yako matamu sana kwa masikio ya asiyeelewa:

  1. je huyo juliana alikosoa uongozi kwa kutumia medium gani?
  2. huko ccm umeshasikia wakitumia njia alizotumia huyu mtoto? Au unataka kusema wao hawana tofauti zao?
  3. ​huu uharaka wa kuhama wewe huoni kwamba ulitanguliwa na hizo chokochoko zake na kutuaminisha wengine kuwa alikuwa anatumwa kama sio kutumika?
 
Eight oclock amesema chochote? Ndo alikuwa kuadi wao!!!!
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kiko wapi sasa mdogo wangu Mwampamba , utaendelea kuwa mtumwa wa yule uliyekuwa unamtukana wakati wa Kampeni , maana sasa ni M/kiti wa Ccm Mkoa .
 
Mkuu umemsahau Mhe Tambwe Hiza aliyekuwa mbunge wa Temeke, yuko wapi??? CHADEMA chama cha ukombozi wa Tanzania, lazima vijana wajue hilo nchi yetu imetekwa na majambazi wanakula wapendavyo, lazima kuikomboa, CDM ndilo jibu letu!!!!


Mkuu Mtumishi WetuTambwe hakuwahi kupata ubunge Temeke.. Aligombea kwa tiketi ya Nccr Mageuzi Mwaka 1995 na akashindwa na na mgombea wa chama cha magereza Kihiyo.. Tambwe akakata rufaa mahakamani kwamba Kihiyo amegushi vyeti.. Mahakama ikamvua ubunge Kihiyo.. Uchaguzi wa marudio Tambwe akawekwa pembeni akagombea mwenyekiti wa Nccr Mageuzi Mrema.. Tambwe kwa hasira akahama chama na kuhamia Cuf.. akagombea lakini Mzee wa kiraracha akashinda kwa kishindo kikubwa.. Mwaka 2000 na 2005 Tambwe aligombea kwa tiketi hiyo hiyo ya Cuf lakini hakufua dafu (japo kulikuwa na tuhuma za kuchakachuliwa kura zake).. Baadae "alirudi" kwenye chama cha magereza ambako mwaka 2010 aliangushwa kwenye kura za ndani za kugombea ubunge za chama cha magereza..

Kitu pekee ambacho ninamsifu nacho ni kusaidia kumleta kwenye ramani mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Simba na timu ya taifa.. Marehemu Edward Chumila a.k.a Eddo Stua.. Smiling boy..
 
Unaijua katiba ya chadema vizuri?
Unajua taratibu za mwanachama kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya viongozi?

Kutumia mitandao ya kijamii ndio njia sahihi?

Muulize kama huko chichiem wanawasilisha malalamiko namna hii....Ingekuwa wao leo dogo angeokotwa Magwepande.
 
Kumbe huu ndo ulikua mwisho wake........ansanten sana,sasa 2mewajua ni akina nani!!!!!!
 
Back
Top Bottom