Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Maskini, Prezoo aliwaingiza mkenge ngoma ilipokolea yeye aliyehamasisha wenzake kuwa wasicheze akaingia na kuwa wa kwanza kuonyesha ufundi sasa watoto wa watu hawa wafanye nini ????

Ila naona kama Zambi Godfrey kapewa ujumbe kuwa jimbo linaondoka
 
Jamani SHIBUDA nae anasubiri nini nyumbani kwetu au tumemdhibiti kisayansi.
 
Maskini, Prezoo aliwaingiza mkenge ngoma ilipokolea yeye aliyehamasisha wenzake kuwa wasicheze akaingia na kuwa wa kwanza kuonyesha ufundi sasa watoto wa watu hawa wafanye nini ????

Ila naona kama Zambi Godfrey kapewa ujumbe kuwa jimbo linaondoka
Hivi wewe ungekuwa mpigakura huko ungempigia huyu kilaza? Hata kabla ya kutoka CDM, sidhani kama wangefanya kosa kumsimamisha kama mgombea.
 
labda hii habari iendelee kuwa tetesi na mwishowe isiwe kweli!
Ni umbumbumbu wa hali ya juu kutoka CHADEMA na kwenda CCM na ukichukulia alitaka kugombea uenyekiti wa taasisi muhimu ndani ya CHADEMA.
Hilo ni kosa kubwa kisiasa maana ukishajipambanua kama mtu aliye na mtazamo tofauti juu ya utatuzi wa matatizo tuliyonayo ambayo kimsingi yamesababishwa na ccm then mwishowe unarejea huko huko ni aibu kubwa. Ina maana hizo NCCR, CUF, ADC, umd nk hazioni ambazo zinaamini kinachoaminiwa na CHADEMA?

Kweli vijana walio wengi wa nchi hii ni bure kabisa, na ndio maana wamepoteza muda kutengeneza migogoro ambayo hata hivyo imeshindwa badala ya kutatua matatizo yanayotumaliza!
 
Kizunguzungu cha siasa
Hekaheka zooote zile mwisho wake ulikuwa ni huo.
Sasa amehamia vipi huko wakati yeye ni Makamu Mwenyekiti wa Bavicha na ana mpango wa kugombea uenyekiti wa Bavicha uchaguzi ujao?
 
Hekaheka zooote zile mwisho wake ulikuwa ni huo.
Sasa amehamia vipi huko wakati yeye ni Makamu Mwenyekiti wa Bavicha na ana mpango wa kugombea uenyekiti wa Bavicha uchaguzi ujao?

Labda katiba ya sisiemu inaruhusu teh teh teh, yule mwenzie GANZI aliyesema atagombea ubunge wa Mbozi kupitia chama cha kitunguu swaumu yeye hajahamia...!??? yako wapi..!??
 
​Mh! Sitegemei JK kufanya kosa la kiufundi kama hilo!
Hakuna kosa la kiufundi kuzidi hili la kilaza huyu kupokelewa na mwenyekiti wa taifa. Huyu binti ana umuhimu gani kisiasa? Tazama kosa lingine walilofanya NCCR, yule mhuni wa Tanga (Deo Kisandu) kapokelewa na kupewa cheo vijana NCCR. Huu udhaifu upo kwa viongozi wote. CHADEMA, CCM...
 
Kuhama kwake pia ni uthibitisho kwamba kumbe Ben Saanane alikuwa mkweli kwamba Juliana na wenzake walikuwa mapandikizi ndani ya CHADEMA.
Pili, walikuwa wanatunga kashfa za uwongo dhidi ya Dr Slaa, Mbowe na CHADEMA kwa ujumla. Mbio za sakafuni......
 
She has gone to her home where she belongs... A home of people with corruption traits like hers!
 
Sasa ile nafasi aliyotaka kugombea imekuwaje tena, ameenda na akina Mwampamba? This is a political suicide mission!
 
SIO ahamia CCM bali arejea ofisini kwake CCM, huyu mdada ni CcCM hajawahi kuwa upinzani, ni shushushu mbona tokea Mlimani anafahamika... Enewei kaishia pabaya
 
Back
Top Bottom