Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Kuna ile njemba ya kibaha picha ya ndege. Yenyewe vipi? Inaitwaje vile? Kubenea anaisogelea, bora kuongeza watu wenye makamo kuliko kuwa na vijana waroho wa kutawala
 
Siasa za Bongo ni kama Mpira wa miguu, kuna usajili, kadi nyekundu, offsides n.k
 
Aibu ya mwaka kwa Masalia. Kumbe mikiki yote na kuifanyia kazi ccm. Bora umejianika wale waliowagumu wa kuelewa sasa hawana maswali.
 
mkulu wa ccm anavyopenda vidosho na jinsi kalivyo simple sijui kama katasalimika, chezea mtandao wewe.....ahahahaa nenda salama
 
Watch out CHADEMA; sio kila tatizo na misuguano yenu inatokana na CCM. Kuna baadhi ya watu wa DINI flani wanadhani madhila na matatizo yao yanatokana na DINI nyingine. Hawataki kabisa kujitazama wao wenyewe kwanza na dini yao.

Wala msijidanganye kuwa kuondoka kwa vijana hawa hakujawaathiri chochote.
 
Ameamua kula matapishi yake, huko ameenda kujizika
Hivi ni ufinyu wa akili au ndo kuchanganyikiwa?Ni bora Shonza ungeenda kurelax kidogo kijijini ukiwasaidia wazazi wako huku taratibu ukajitathmini na kuomba ushauri!Huko dada umechemka ile mbaya na nafikiri mda si mrefu haohao watakubeza!!
 

Maelezo yako matamu sana kwa masikio ya asiyeelewa:

  1. je huyo juliana alikosoa uongozi kwa kutumia medium gani?
  2. huko ccm umeshasikia wakitumia njia alizotumia huyu mtoto? Au unataka kusema wao hawana tofauti zao?
  3. ​huu uharaka wa kuhama wewe huoni kwamba ulitanguliwa na hizo chokochoko zake na kutuaminisha wengine kuwa alikuwa anatumwa kama sio kutumika?


sikatai hoja zako lkn tuache kuchukulia siasa kama vile kitabu kitakatifu! napenda mageuzi na mabadiliko. nachukia umaskini na ufisadi unaotukandamiza. LAKINI sipendi kuwa mtumwa wa kuficha makosa ya kiongozi wangu wa kisiasa. akikosea asemwe. hapo ndipo tunapo tofautiana. tatizo la siasa yetu ni kwamba ukishampenda kiongozi fulani. say zitto, au mbowe au slaa ua lissu, basi unakua hutaki akosolewe. hiyo ni siasa ya maji taka. nasikitika kuona vijana wengi ktk vyama vyetu kila kijana ana kiongozi wake na hataki akosolewe
 
Akagombee Uenyekiti Bavicha Basi kama alivodai wiki za Nyuma.Hivi Huyo Juliana Mwalimu Wake wa Chuo alikuwa nani?Mwalimu Mtela nae kuandika Shika dah yaache Masalia yaende.
 
Hiyo ndio democrasia mtu ufanya maamuzi yake binafsi bila kuingiliwa. Hongera dada kwa uamuzi wako
 
Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA Rais KIKWETE

Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.

Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.

Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!



543667_10200318953750526_1713528751_n.jpg

​

taswira aka taswira thread kama episode vile
 
Hivi ni ufinyu wa akili au ndo kuchanganyikiwa?Ni bora Shonza ungeenda kurelax kidogo kijijini ukiwasaidia wazazi wako huku taratibu ukajitathmini na kuomba ushauri!Huko dada umechemka ile mbaya na nafikiri mda si mrefu haohao watakubeza!!

Akumuulize Gamba Tambwe Hiza.
 
Nimemuona Mwigulu Pharmacy akinunua Dhana kwaajili ya kumshughulikia kada wake Mpya Shoza
Mama toto, umenichekesha kweli. Huyo si tumeambiwa ni wake siku nyingi? Au hamwamini maana yule mzee Wsr naye nasikia alipokuwa anaanda mkakati wake "ua CDM kabla ya 2015" alikuwa anajipumzisha hapo.
 
hongera dada juliana bora umekimbia hilo genge la wahuni na wadini mapema ... karibu CCM
 
Watch out CHADEMA; sio kila tatizo na misuguano yenu inatokana na CCM. Kuna baadhi ya watu wa DINI flani wanadhani madhila na matatizo yao yanatokana na DINI nyingine. Hawataki kabisa kujitazama wao wenyewe kwanza na dini yao.

Wala msijidanganye kuwa kuondoka kwa vijana hawa hakujawaathiri chochote.

Umeathirika wewe CDM ina Vijana wengi hadi wazee
 
Back
Top Bottom