Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

si tulishasema hapa jamvini kuwa hawa wameahiwa vyeo kule ccm wakiweza kukichafua cdm. sasa kwa utaratibu huu nchi hii itatoka kama watu wanawaza tu kushibisha matumbo yao? ni hatari sana hii.
 
Ni wakati muafaka sasa kwa Juliana kuweka mambo hadharani kwa vielelezo sio maneno matupu, aanze kwa kufafanua ni vipi cdm inavizia demokrasia, pili ukanda anaouzungumzia ni upi maana yeye pia alikuwa kwenye safu, tatu ni kwa vipi cdm imekuwa saccos na katibu mkuu kajikopesha 140mil za chama. Weka vielelezo kujijengea heshima vinginevyo unazidi kudidimia badala ya kujijenga kisiasa.
Siasa za ndani ya Chadema ni siasa zilizogubikwa na uviziaji wa demokrasia, ubaguzi wa ukanda na ukabila. Hili ni tatizo ambalo siku Watanzania na wanachama wa Chadema wakiligundua, chama hiki kitaporomoka na kuwa kama vingine vilivyopata kuwa maarufu halafu vikaporomoka kwa kasi ya ajabu.

Mfumo wa sasa wa uendeshwaji wa chama wa mfano wa Saccos haufai. Ni lazima uachwe. Katibu Mkuu, Dk. Willbrod Slaa, kajikopesha Sh. milioni 140 ambayo ni michango ya wanachama na wakati huo huo analipwa donge nono la mshahara wa zaidi ya Sh. milioni saba kwa mwezi pamoja na marupurupu mengine. Hili haliwezekani kunyamaziwa kwa sababu fedha hizi ni za wanachama.
 
Hizi siasa za hawa maCCM SIJUI ataziweza kama mwanamke?

Bhanji+1.jpg

Ana hela za kupambana na hawa, muache apeleke njaa ya yake tu, sanasana ataishia kuwa chakla ya mwigulu na kampteeeeeeeeeeeeni komba.
 
Tunawatakia kila jema huko warudiko baada ya kupakimbia. Ushauri wa bure ni wajaribu kusoma kitabu cha 'The Prince' by Machiavelli na kimetafsiriwa na J.K Nyerere kinaitwa 'Mtawala' watajua kinachoendelea kwa sasa ndani ya chama walikohamia na sababu yao kupokelewa. Pili wajifunze kwa historia hai ya majitu yaliyokuwa na sifa kedekede lakini leo hii hatuoni hata herufi inayoanza na jina lao katika nyanja za siasa baada ya kufanya kama wao. Na kutaja wachache ni Dr. Masumbuko LAMWAI (Mhadhiri wa sheria Udsm, Wakili na diwani maarufu wa kata ya Manzese 1995), Dr. Walid Kabourou (Mb) na aliyewafanya akina Premji kuweweseka na kupewa uraia baada ya siku moja kinyume na matakwa ya katiba na sheria, Nsanzugwanko na jinsi alivyopewa ujumbe wa NEC kinyemela na ubunge wa kipindi kimoja na sasa sikilizia aliko! n.k tunawatakia sisi safari njema na maisha mema na waende wakiwa tayari na aina ya kijisanduku cha .... kisiasa. Historia inasema na iko hai na kesho na keshokutwa tutakuja kuyaona.
Mkuu umemsahau Mhe Tambwe Hiza aliyekuwa mbunge wa Temeke, yuko wapi??? CHADEMA chama cha ukombozi wa Tanzania, lazima vijana wajue hilo nchi yetu imetekwa na majambazi wanakula wapendavyo, lazima kuikomboa, CDM ndilo jibu letu!!!!

 
Kujiunga na ccm siyo oil chafu............ usishangae Nape kuja kuropoka kuwa wamelamba dume kutoka chadema.
Nakubaliana mkuu, ila wamelamba JIKE!
Tunasubiri CCM wafanye postmortem ya yanyoendelea CDM kwa mtaji wa Shonza!
Kweli waswahiili walisema , hasira hasara!

Kwa munkari huo huo CDM wafukuzeni Zitto na Shibuda, tukale mpunga siye Lumumba!!!
 
Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA RaisKIKWETE

Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.

Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.

Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!



543667_10200318953750526_1713528751_n.jpg

​
Asipewe cheo chochote maake kashindwa kazi aliyotumwa kuisambaratisha CDM! alijulikana kizembe mno!! Hafai tena CCmagamba msimtume tena pengine!!
 
Ukimaliza fungate lako na CCM,uje hapa JF utuambie katika mahojiano yako na gazeti la mtanzania kuna maneno uliyasema kuwa wewe kama kamanda huwezi kuhama CHADEMA maana kwa kufanya hivyo ni sawa na kukimbia vita,hebu tuambie kilichojili kwenye uwanja wa mapambano vipi??majeshi yako yalikuwa yanatumia silaha duni za '47 mkasambaratishwa???teh,teh teh kwi,kwi.chezea vita wewe.
 
Taswira,

Naona watu wamezila kukugonga LIKE wanaombeleza. Umeanzisha UZI huu umewaulimiza mioyo.

ingekuwa kuhama huko ni kutoka CCM ( MBONI MHITA - makamu UVCCC) kwenda Chadema LIKE zingekuwa hazina kipimo.

Tatizo watu wenyewe waliohamia CCM walikua hawana chama kwa sababu CHADEMA walishafukuzwa muda mrefu!! Tungegonga LIKE kama wangekua wamehama kutoka chama kimoja kwenda chama kingine...!!
 
nawapongeza CDM kwa kung'amua mapandikizi mapema endeleeni kung'amua wengine
 
natofautiana na wana jf waliyochangia. isiwe "sizitaki mbichi hizi!" juliana alikua kiongozi bavicha. alikua na msimamo wa kuwakosoa viongozi wa juu hasa slaa na mbowe. sidhani kama hili ni kosa. inapotokea mwanachama anahoji jambo asiloridhika nalo asikilizwe.

baada ya kumkosoa slaa alionekana ni mhalifu, mtovu wa nidhamu, msaliti, kibaraka wa ccm......... siasa haiendi hivyo! kwa upande wangu naona kuwa ni pigo kubwa kwa chdm juliana kujiunga na ccm. chdm ijenge utamaduni wa kuwasikiliza wanachama wote. utukufu wa slaa na mbowe uhojiwe. tukiendelea kuwaacha watukufu, chama kitakufa
 
Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA RaisKIKWETE

Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.

Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.

Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!



543667_10200318953750526_1713528751_n.jpg

​
Mwigulu mwigulu mwigulu!! pokea Shakula walahi! jishindie mwana wazi wazi manake nyakati zile ilikuwa siri!!
 
Nakubaliana mkuu, ila wamelamba JIKE!
Tunasubiri CCM wafanye postmortem ya yanyoendelea CDM kwa mtaji wa Shonza!
Kweli waswahiili walisema , hasira hasara!

Kwa munkari huo huo CDM wafukuzeni Zitto na Shibuda, tukale mpunga siye Lumumba!!!
Unategemea huyo binti ataleta jipya zaidi ya zile blahblah za mitandaoni. Na huo ndio mwisho wake. Yeye si wa kwanza.

Zitto hatuna haja ya kumfukuza kwa sababu ameshajirudi na sasa amekaa kwenye mstari mnyoofu anakimbiza M4C. Nawasikitikia vijana hao kuingizwa mkenge. Mwenzao kawaruka maili 500. Na ndio maana akawaambia wafuate misingi wasimfuate mtu. Wameharibikiwa masikini vijana bado wadogo sana.

Kuhusu Shibuda huyo hatuna wasiwasi naye. Ni mfu tu huyo ndani ya chadema, na ndio maana amekaa ndani ya chadema kwa miaka karibu mitatu sasa huku akiwa hana madhara yoyote. Hana anachokijua inside out ndani ya chadema.
 
nakumbuka aliwahi kusema hatohama CDM na ataendeleza harakati zake humo humo CDM vp tena mdada katongozwa kaingia line mwenyewe hahaha Shonzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kama nitakumbuka vizuri, wiki kama 3 hivi kuna uzi ulibandikwa humu ukimtuhumu Nape na Shibuda kwamba watumishi wao (juliana na Mwampamba) hawajafanya na hawafanyi kile walichotumwa na ccm, kazi ilikua kumkashfu Dr. Slaa na Mbowe then ifuate CDM kwa ujumla, wao wakawa na Ligi na mwenyekiti wa BAVICHA, taarifa ile iliendelea kuwa, wakija ccm wasipewe madaraka walioahidiwa kabla cause wamevunja mkataba, Juliana na Mwampamba wote ni members hapa, tunaomba mwongozo wenu, mmeisha chukua chenu, sawa, lakini wakumbukeni akina Warid Kaburu n.k, sahauni siasa kwasasa.
 
Natarajia kusikia ziara ya Mkuu wa kaya nje ya nchi siku si nyingi. Usiniulize itahusu nini!.
 
Vitoweo hao wamekwisha poteana. Sasa wako mezani kwa ajili ya kuliwa. Teh teh teh.....
 
Wanaona (CCM) kazi waliyowatuma haikufanikiwa na kuwaacha hivihivi ni aibu basi wakaamua tu wawachukue hata kama hawaja maliza kazi hiyo. Wakafie mbali......
 
Back
Top Bottom