hongera dada juliana bora umekimbia hilo genge la wahuni na wadini mapema ... karibu CCM
Mkuu Mtumishi WetuTambwe hakuwahi kupata ubunge Temeke.. Aligombea kwa tiketi ya Nccr Mageuzi Mwaka 1995 na akashindwa na na mgombea wa chama cha magereza Kihiyo.. Tambwe akakata rufaa mahakamani kwamba Kihiyo amegushi vyeti.. Mahakama ikamvua ubunge Kihiyo.. Uchaguzi wa marudio Tambwe akawekwa pembeni akagombea mwenyekiti wa Nccr Mageuzi Mrema.. Tambwe kwa hasira akahama chama na kuhamia Cuf.. akagombea lakini Mzee wa kiraracha akashinda kwa kishindo kikubwa.. Mwaka 2000 na 2005 Tambwe aligombea kwa tiketi hiyo hiyo ya Cuf lakini hakufua dafu (japo kulikuwa na tuhuma za kuchakachuliwa kura zake).. Baadae "alirudi" kwenye chama cha magereza ambako mwaka 2010 aliangushwa kwenye kura za ndani za kugombea ubunge za chama cha magereza..
Kitu pekee ambacho ninamsifu nacho ni kusaidia kumleta kwenye ramani mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Simba na timu ya taifa.. Marehemu Edward Chumila a.k.a Eddo Stua.. Smiling boy..
Mkuu hako kajina Dah nimekumbuka enzi za Ujana wangu kule kwetu.Masikini J. Nshonzi
Una uhakika hajaingiliwa kabla ya kuamua?.Hiyo ndio democrasia mtu ufanya maamuzi yake binafsi bila kuingiliwa. Hongera dada kwa uamuzi wako
Wamefanya Vizuri kuondoka sasa, ila wafaamu kuwa watavuma kwa muda usiozidi miezi mitatu alafu kwisha Habari yao..............afadhali wangehamia chama kingine cha upinzani kama kweli ni wapinzani.
Siasa za Bongo ni kama Mpira wa miguu, kuna usajili, kadi nyekundu, offsides n.k
Vyama vyote vya upinzani ni dhidi ya CCM inayotawala.Hiyo ndio democrasia mtu ufanya maamuzi yake binafsi bila kuingiliwa. Hongera dada kwa uamuzi wako
Una uhakika hajaingiliwa kabla ya kuamua?.
Katika uchaguzi mkuu uliopita Slaa alikuwa loser na Kikwete alikuwa winner. Mtela na Juliana wamekataliwa na loser Slaa ambaye ni jobless asiyekopesheka wakapokelewa na winner Rais Kikwete ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania.
Wamefanya maamuzi sahihi. Wanastahili pongezi...
Its a big day for CCM, its a big day for wazalendo...
Hatimaye wamekwenda kujiunga na kundi la magamba. Hii tunaweza ita vua gwanda, vua uzalendo vaa GAMBA