Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

wenye akili timamu tulishajua toka zamani
kwani kazi za magamba walianza kuzifanya toka wakiwa chadema
waende zao
mtela mwampamba sasa aende akagombee tena aone kama kura elfu 32 atazipata chini ya magamba
 
Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA Rais KIKWETE

Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.

Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.

Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!

543667_10200318953750526_1713528751_n.jpg

​

Mission failed,nnawaaminia Chadema kwa intelijensia.
 
Bora wamerudi nyumbani maana mama wa kambo siyo mama.kalibuni sana vijana wetu, with ccm your future in politics depends largely on cash and kabobo,with chadema it is full of intimidation and who know you why!!!!!!?
 
Yaani nafikiri sasa CHADEMA itakuwa safi na chama chenye nguvu. Huyu GAMBA lenye tamaa ya pesa lilikuwa linataka kuharibu chama.

NENDA MAMA, NENDA MAMA, NENDA HATA uKIPOKELEWA MBINGUNI KWENYE MAKAO YA RAHA, ni heri kuliko kuharibu chama CDM.

Na malaika watakupokea huko kaburini kwenye Ulimwengu wa Kisiasa.

View attachment 82907

MIZAMBWA
NABII MTARAJWIA!!!
 
bado kuna GAMBA lingine ndani ya Uongozi wa CDM. Wakifanikiwa kuliondoa tu. Mambo safi.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA
 
Taarifa zilizopatikana muda huu ni kwamba JUliana Shonza na Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mbozi mashariki(MTELA ALLAM MWAMPAMBA) wamehamia CCM NA KUPOKELEWA NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA RaisKIKWETE

UCHU wa madaraka na njaa ndiyo zinawasumbua hao, turiyatarajia haya kwa maana ndani ya CDM walikiuwa hawana nafasi tena. ushuhuda mara nyingi huwa wanaongezea na chumvi. MAKAPI MAKUBWA HAYO. Hayana aibu hata machoni mwao na yalitumwa na MAGAMABA kuharibu chama

Tukio la kuwapokea vijana hao limefanyika Dodoma mbele ya Rais wa nchi (MWENYEKITI WA CCM TAIFA) Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Vijana hao ambao wameteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa, Wamepewa nafasi ya kutoa ushuhuda wa kile kinachofanyika ndani ya CHADEMA. Kila mmoja ametoa ushuhuda wake kadri alivyotendewa na yanayotendeka ndani ya CHADEMA.

Mapokezi yao yamekuwa makubwa sana kutokana na kuunganishwa na shughuli zingine za kichama zinazomalizika muda si mrefu.

Taarifa zaidi itakujia nikifanikiwa kupata VIDEO nitaiweka, Dr J.Kikwete awapokea rasmi muda huu,,!!

543667_10200318953750526_1713528751_n.jpg

​

MAKAPI HAYO yaende huko huko kwenye MAGAMBA. Huku hatuhitaji WABABAISHAJI NA WALA RUSHWA wakubwa.
 
SIO ahamia CCM bali arejea ofisini kwake ccm, huyu mdada ni Ccm hajawahi kuwa upinzani, ni shushushu mbona tokea Mlimani anafahamika... Enewei kaishia pabaya

hivi huyu ni graduate, tena wa UDSM. alikuwa ana kariri madesa au? naona ubongo wake unaonekanana ,hata mtu wa form six kamzidi, Au ndiyo zile digriiii za Chapu... uwezo wake tumeshaujua hili janga, thats why nilisema hafai hata kuwa mke.
 
Wapewe huko uongozi watu wanafiki kama hawa na yale yote ya CHADEMA ni ya kweli kabisa
 
Anategemewa kupewa u-viti maalum, ili awe karibu na wakuu hasa kipindi cha baridi a.k.a upepo.
 
Back
Top Bottom