Jukwaa la kutajana-tajana majina...

Nimeogopa msije mkalogwa bure...

attachment.php




Tobaaaaaaa,kwa mtindo huu erick52 harudi tena JF.......
 
Last edited by a moderator:
Nipemo kitendawili Madame B! khaaa Nani Kanuna? siye tujitege tu na kujitegua.....lol
cacico my shem where are you maana my sweetlo gfsonwin tangu mgomo namwona mahudhurio yake sio ki viiile halafu huyu Asprin ameshamaliza msiba maana nasikia hajaonekana nyumbani tokea wakati huo! Na Erickb52 kakumbwa na nini?
shemeji Kaizer nimefurahi kuuona mwandiko wako! am humbled, lol!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer wangu,
gfsonwin nahs atakuwa amebanwa na mfungo.
cacico kaenda Tanga kumroga Babu,
Babu Asprin kaenda kuoa mke wa tatu kwao na Erickb52 anamsaidia mkewe likizo ya Uzazi.

Nikupatiemo Kitendawil??

Kitendawiliii..!!!
Nina mwanangu akiwa katikati ya wenzake hatambuliki
khaaaaaaa mbavu zangu! lol, nimechekajeeeeee?? lol! babu Asprin mwenyewe analogeka???
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu beibe nasty upo?
Mwambie mtoa mada thread bila kutajana majina hainogi,
wapi Papaa Msofe,wapi kesi yako yaendaje,motema na ng'ai mithili ya washawasha,washawasha e,eee!
Yebaa!!
ruttashobolwa u wapi mutu ya watu,wakuache miaka mia moja,wapi Invisible mutu ya Jf,

Wapi Paw mutu ya kucharaza bakora za ban kwa wabishi,japo ban inauma .

Wapi Erickb52,wapi mwnfnz wng Kaizer,
wapi charminglady mutu ya kuchimba biti ya kuondoka Jf,Jf hatoki mtu,
wakati ndio sasa umefanikiwa?
Asante ndugu mtangazaji.
Ahsante kwa kutufungia mjadala.
Mh thupika unaweza kuahirisha bunge.
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaa! kwani kutajana napo crime eee?? Mphamvu ckuoni nowdays, lol, my hubby Asprin marufuku kutajana kuanzia sasa, wake wenzangu Yummy na BADILI TABIA mi luv u! sweetlady nakumiss mno, vp kadogoo?? Kongosho asali ya hubby wetu we luv u! charminglady plizzzzzz come bak, already tunakumiss, mashemeji zangu, Kaizer, KARIA, Rejao, klorokwini, TANMO, wapekuzi maarufu Erickb52 na Young_Master salamu kwenu! CUTE u r also lost toka Ruhazwe JR akupende kisirisiri! gfsonwin my dada wa moyoni, mwahhhhh! Erotica na twins wako hope mpo sawa, mashostiso Kaunga, Zinduna, Smile, Chauro, Cantalisia, Mwali mi luv u loads! ili kufanikisha zoezi Madame B uwe kiranja! wadogo zangu Ronn M na Excellent muwe good boys plzzzzzz! Eiyer tunza ubikira wako unalipa sana! Roulette kuanzia sasa watakaotajana toa ban, lol! mwahhhhhhhh kwa chit chatters! morning to u guys!

ujumbe no mo kutajana! lol!
cacico u made ma day khaa! binti ww sikuwezi...nimechekaje sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom