Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
BADILI TABIA mi nipo sana,mbona nakusaka sikuonimkemwenza cacico miss u n love u, hubby Asprin mwaahhhhh, leo zamu ya Yummy kuwa nawe.... Cantalisia mama ya Rejao hujambo? Buchanan nikinywa maji nakuona kwenye glass, Fang naomba unifundishe kiinglish,
TANMO mbona hunipi jibu langu? au mpaka nikuandame kama Wakati ni sasa alivyomuandama charminglady?
Bishanga, bepari la kihaya ushamaliza mkopo? au nikukopeshe ukalipe benki? Kongosho my dear kesho usisahau kumuandalia hubby chai ya tangawizi, Erotica twins wanaendeleaje?
Judgement kipenzi cha beibe nasty hujambo?
Kaizer my shem wewe na mkeo gfsonwin na mwanenu Ronn M hamjambo?
@figanigga mzee wa mia ushajitoa jf?
Kaunga na Eiyer mpo? Excellent umepotea sana mkuu, Zinduna vipi mambo? Erickb52 haujarudi tu huko uliko au Amyner kakupiga biti?
cutie habari yako, Madame B na madame X mnanimix mjue..
Mamndenyi ulishakubali ombi la Arusha one?
DaJane na robrt naniliu vipi?
yoyo jukwaa la mabongo lala limekumiss halafu mtoa mada acha uzushi...
Last edited by a moderator: