Jukwaa la kutajana-tajana majina...

Kama wimbo wa Bwana Misosi, kila sredi utayofungua watu wanatajana majina.
Kuna haja ya kuharakisha mchakato wa jukwaa la salamu, maanake hata anayepost mada ya tofauti mwisho lazima amalizie "..fulani upo?" au "...wapi mkuu fulani?".
Uzuri uzi wangu haunilazimu kutajataja majina ili kuvutia coments, teh teh teh teh!

Hii tabia ipo chit chat zaidi, jukwaa zingine wanatajana pale tu kunapo kua na umuhimu wa kumwita m tu kwenye thread. But you can deactivate the option in your settings ili usipate notifications toka kwa watu fulani fulani ambao wanatajana sana hadi wanakafirisha mention tag.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom