Jukwaa la kutajana-tajana majina... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la kutajana-tajana majina...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mphamvu, Aug 13, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,586
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Kama wimbo wa Bwana Misosi, kila sredi utayofungua watu wanatajana majina.
  Kuna haja ya kuharakisha mchakato wa jukwaa la salamu, maanake hata anayepost mada ya tofauti mwisho lazima amalizie "..fulani upo?" au "...wapi mkuu fulani?".
  Uzuri uzi wangu haunilazimu kutajataja majina ili kuvutia coments, teh teh teh teh!
   
 2. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,302
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje wakutolee povu.
   
 3. Elviejo

  Elviejo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  na wewe c mmoja wapo,
  jct joking!!....
   
 4. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,302
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha hah kuna wadau watakuja hapa.
   
 5. Elviejo

  Elviejo JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  bt mbona powa tu kuatajana hamna tatizo kama una wakumtaja unamtaja tuuu...
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,586
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Wahenga walisema, "Ukitaka kuruka..."
  Nishajiandaa kuwakabili, teh teh teh teh!
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Naanza mimi, WAPI papaa Mphamvu, mutoto ya somalia!
   
 8. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wapi judgement my husband heheeh mtajibeba mbona hapo huyo hubby bado mashost mashem ma aunt zangu daada kaka babuu tena aspirin sa nseme uone kaa babu ajakunaniliu.asante sana elviejo, kwa kumuelewesha, ye hana wakumtaja basi ntaje mim kwa kibali maalumu kutoka kwa jg
   
 9. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wapi bro Bagah?? Nakupa mkono wa Idd bwana...
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,139
  Likes Received: 4,060
  Trophy Points: 280
  Ipycalypse povu la wapi.

   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanatajana mana ndio wanaonyeshana malavidavi :happy:
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,139
  Likes Received: 4,060
  Trophy Points: 280
  Mphamvu Ameenda Mwanza kuna zoezi linafanyika huko naye yuko kwenye foleni ili apate huduma.

   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,139
  Likes Received: 4,060
  Trophy Points: 280
  mtotowamjini,
  ni kwa kuwa tumeshakuwa kama familia moja.

   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,139
  Likes Received: 4,060
  Trophy Points: 280
  Mphamvu, wengine wana nguvu kama za kifaru, sijui kama utawamudu.

   
 15. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,438
  Likes Received: 3,233
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu beibe nasty upo?
  Mwambie mtoa mada thread bila kutajana majina hainogi,
  wapi Papaa Msofe,wapi kesi yako yaendaje,motema na ng'ai mithili ya washawasha,washawasha e,eee!
  Yebaa!!
  ruttashobolwa u wapi mutu ya watu,wakuache miaka mia moja,wapi Invisible mutu ya Jf,

  Wapi Paw mutu ya kucharaza bakora za ban kwa wabishi,japo ban inauma .

  Wapi Erickb52,wapi mwnfnz wng Kaizer,
  wapi charminglady mutu ya kuchimba biti ya kuondoka Jf,Jf hatoki mtu,
  wakati ndio sasa umefanikiwa?
  Asante ndugu mtangazaji.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haha haha!... Mtalingolo uko fresh chalii angu?
  mkono wa Idd siutaki!..labda kama huyo Idd ni DEAL...lol!

  likizo yako lini wewe jombaa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hahahaaaa Madame B umefunikaaa, ngoja nikaandae list, huu musred ni useful sana kwa kujitafutia promo, lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,438
  Likes Received: 3,233
  Trophy Points: 280
  Umeona ee?
  bombu,
  huu m-sredi ni wa kujipa maujiko pande hz,
  wapi wewe!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  khaaaaaaaa! kwani kutajana napo crime eee?? Mphamvu ckuoni nowdays, lol, my hubby Asprin marufuku kutajana kuanzia sasa, wake wenzangu Yummy na BADILI TABIA mi luv u! sweetlady nakumiss mno, vp kadogoo?? Kongosho asali ya hubby wetu we luv u! charminglady plizzzzzz come bak, already tunakumiss, mashemeji zangu, Kaizer, KARIA, Rejao, klorokwini, TANMO, wapekuzi maarufu Erickb52 na Young_Master salamu kwenu! CUTE u r also lost toka Ruhazwe JR akupende kisirisiri! gfsonwin my dada wa moyoni, mwahhhhh! Erotica na twins wako hope mpo sawa, mashostiso Kaunga, Zinduna, Smile, Chauro, Cantalisia, Mwali mi luv u loads! ili kufanikisha zoezi Madame B uwe kiranja! wadogo zangu Ronn M na Excellent muwe good boys plzzzzzz! Eiyer tunza ubikira wako unalipa sana! Roulette kuanzia sasa watakaotajana toa ban, lol! mwahhhhhhhh kwa chit chatters! morning to u guys!

  ujumbe no mo kutajana! lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  We Mamdenyi ina maana yupo kwenye ile operesheni dodosha mkono wa sweta au, teh teh teh! wapi Young Master alieporwa muke na kibabu Asprin
   
Loading...