J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Mkuu wapi nimetamka maneno hayo?. By the way who cares if you are from TISS or State house?, Only slaves can scare them. You have to free your mind, fear them not!, respect them yes(for having authority only if they use it for pro bono) otherwise fear only Allah!
Wewe ni mwisilamu halafu unakwenda kinyume na BAKWATA?
 
napenda kujua kama kamanda lema ametoka leo kama 2livyo ahidiwa na mahakama wiki iliyopita
 
kikao kimemalizika saa moja iliyopita wamekubaliana kuto kumkamata Kutokana na hali ilivyo Arusha kwani wanaona italeta machafuko zaidi hasa ukizingatia polisi wengi wako huko makumira university ambako kunavurumai baada ya mwanafunzi mmoja kufariki kwa kugongwa na gari....na watu walioandamana na Lema tayari wamesha sambaa tena kwa amani....

sasa mimi najiuliza busara hizi huwa wanazificha kwnye masaburi kumbe wakibanwa wana busara....
 
napenda kujua kama kamanda lema ametoka leo kama 2livyo ahidiwa na mahakama wiki iliyopita
Asubuhi na akatembea kwamiguu umbali wa kilometa 4 na wanachama na wapenzi wa chadema mpaka kwenye ofisi za chadema na kisha kuwa hutubia.....
 
Heshima kwenu wajamvi.

Mheshimiwa G Lema anatarajiwa kutoka rumande leo tarehe 14/11/2011.

Mheshimiwa G Lema ni mbunge wa Arusha mjini alitarajiwa na wapiga kura wake wenye akili nzuri atimize wajibu wake wa kuhudhuria vikao vya bunge hasa kipindi hiki ambacho mchakato wa katiba mpya unajadiliwa mjengoni.

Sijui kama Mheshimiwa Lema alipokataa dhamana hakujua kikao cha bunge kingeanza wakati akiwa maabusu ?.Kama alijua hakika atakuwa amefanya kosa kubwa sana,atakuwa amewaangusha wapiga kura wake,atakuwa amewaangusha wapiganaji wenzake,atakuwa amewaangusha waTanzania wengi ambao walifurahia namba ya wabunge wa upinzani kuongezeka mara dufu mjengoni.

Binafsi nawalaumu sana wasaidizi/washauri wa mbunge,Viongozi wa CDM ngazi ya wilaya na mkoa ambao badala ya kumshauri mbunge wamemwacha pekee yake afanye atakavyo.Kitendo cha viongozi wa Taifa mwenyekiti,Katibu mkuu,Mwansheria wa CDM na viongozi wengine wengi kutaka kumtoa rumande Mbunge wa Arusha bila mafanikio.

Kitendo cha viongozi wa wa CDM ngazi ya taifa kushughulikia sakata la madiwani Arusha ilihali vingozi wa wilaya na mkoa wapo.Kitendo cha viongozi wa CDM taifa kulivalia njuga sakata la uchaguzi wa Meya Arusha utafikiri hawana shughuli nyingine za kufanya si tu kimezidi kushusha hadhi ya CDM na viongozi wake bali kimeacha maswali mengi miongoni mwa wananchi.

Viongozi wa CDM kwa maoni yangu wana wajibu mkubwa sana kwa taifa letu nilitegemea watajikita kwenye mambo ya maana kama katiba mpya,kukieneza chama vijijini [Rejea uchaguzi wa mwaka 2010 majimbo mangapi yalikosa wagombea ubunge na udiwani],kuhakikisha sera zake zinafahamika kuanzia mijini hadi vijijini.

Kupinga kwa nguvu zote kuingiza Tanzania katika siasa za udini,ukabila na ukanda hapa watatakiwa kuangalia upya sera yake ya majimbo.

kitendo cha viongozi wa CDM taifa kukesha uwanja wa NMC kwaajili ya kushinikiza mheshimiwa mbunge atolewe rumande huku wakijua wazi Mheshimiwa Lema alikataa mwenyewe dhamana kimenisononesha sana.Najiuliza mara mbili mbili kama viongozi wa CDM wanashindwa kuhandle suala dogo hivi je masuala makubwa na magumu wataweza ?.

Mbunge wako ambaye yupo bungeni amefanya nn zaidi ya kulala
 
Chadema kwa porojo bana Polisi wakifanya kazi yao utasikia polisi wametumia nguvu kubwa kwa raia wasiokuwa na silaha
Kwanini usitumie ID moja tu kutuma huu utumbo wako! Mara unakuja kama Ritz, mara Rejao! Hivi ID yako ya Malaria Sugu imepigwa Ban nini?
 
Mbunge wako ambaye yupo bungeni amefanya nn zaidi ya kulala

Leo nimemuona mwingine ameuchapa usingizi nusu saa tu baada ya Bunge kuanza.
Na kilichonisikitisha ni kuwa mpaka udenda ukawa unachuruzika
 
Duu! Wachangiaji wa humu wameingia mtego wa kujibiza na mambwiga badala ya kuelezea hali halisi ya mambo ilivyokua na ilivyo. Watu mnawajua kazi yao nn humu ila bado mnaingia nao kwenye marumbano kana kwamba na nyie ni wageni humu.

Wapuuzi wachache wapo humu kuin-attentive thread za cdm wapuuze. We hujiulizi mtu toka saa kumi alfajir mpaka saa saba yumo na kila jukwaa anachangia ila kwa hoja nyepesi tu. Kuna thread za kiintelligent huwez kuwaona hao wapuuzi. Wao wapo kwenye thread za cdm na zinazohusu udini na ukabila/ukanda. Ndugu zangu jitahidini kuwaepuka wapuuzi hawa.

Nikirudi kwenye hoja big up lema karibu kwenye mapambano pia tunakutarajia uungane bungeni tayari kupambana na wezi wagonga meza magamba.Usihangaike na shangazi; yeye sio mwenye kupitisha vigezo vya nani uoe nani usioe; bali wewe tu; so kama umeridhika hata kama ana sura kama yangu hapo kwenye avata.

Weye kula ile roho yako inachopenda


MS, FF, Ngongo, Ritz, Rejeo..........................................................................................................!!!!!!

 
Kwanini usitumie ID moja tu kutuma huu utumbo wako! Mara unakuja kama Ritz, mara Rejao! Hivi ID yako ya Malaria Sugu imepigwa Ban nini?

Na bado utamaliza maneno!
 
Kwanini usitumie ID moja tu kutuma huu utumbo wako! Mara unakuja kama Ritz, mara Rejao! Hivi ID yako ya Malaria Sugu imepigwa Ban nini?

au aweke wazi tu jina lake halisi. Huyu jamaa ni kijana anaechukiwa zaidi Tanzania, Riz1 mtoto wa Rais Jarcarhire. anadhani Internet ina siri, thubutuu....(nina hela ya kwenda india ndio maana nimemtaja)
 
Crashwise, upo wapi mbona umeikimbia thread yako..njoo utupe update za mahakamani

Yupo pale ktkt na dada yako! Hujui Crashwise ni shemejiyo? Dada yako anampa huduma ya muhimu kwake. Na hata wewe ikibidi mtafute.
 
Mbunge wa Jimbo tata la Arusha leo mda mfupi uliopita alikua akiongea
kupitia Redio sun rise akijaribu kuonyesha ujasiri mkubwa na upendo wake
kwa wananchi wa jimbo hili mwenye habari kamili atujuze .......................

nawasilisha
 
Halafu habari ikiwa na maneno upendo mkubwa kwa wananchi inabinya yale aliyoongea ambayo sisi tusikuwepo Arusha tunataka kuyajua kwa upana
 
Ameeleza maisha ya selo. Anasema anatamani kama angerudi tena ila Slaa na Mbowe wanambania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom