jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,477
Achani maneno ya upotoshaji, hatutawaruhusu!Imekuaje tena akubali dhamana. Au aliwamis washkaji zake selo, amepata fursa ya kukutana nao.
Mkamateni tena ndo mtajuwa kama amekubali ama kukataa dhamana.