BIG X
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 777
- 212
Pamoja na kuwa huu ni umbeya - Ila hapo kwenye red - unachotaka kutuambia ni kuwa vurugu za Arusha huletwa na Polisi. Asante sana kwa kuukiri ukweli.
hii thred imelenga kudanganya umma hasa wana jf wanaofuatilia ishu ya kuachiwa kwa lema.......mwenye akili atasoma na kutafakari.
hivi wewe unafahamu sheria za Jamiiforums?Loh!! unamaanisha Rejao = FaizaFoxy!!!!
You are in a diffrent paradigm,maongezi yako hayaendani na wengi wetu humu kwasababu hiyo, that you are thinking and acting is different from many Tanzanians.Kufanya matembezi siyo tatizo, tatizo linakuja pale mtu anaamua kufanya kitu ambacho hakina tija yoyote, ambacho hakina mbele wala nyuma.
kumbuka kupewa dhamana ni haki ya kila mtanzania kikatiba. Lakini kwanini akatae? kwanini aliamua kujipeleka gerezani mwenyewe?
Umaarufu aliokuwa anautafuta umemtokea puani
Sio Jk, Huyu Jamaa anapumuliwa nza mzee Wassira.
...hii thred imelenga kudanganya umma hasa wana jf wanaofuatilia ishu ya kuachiwa kwa lema.......mwenye akili atasoma na kutafakari.
Wewe huna kazi ya kufanya ndio maana una uwezo wa kukaa humu jamvini 24/7, wanaume wa ukweli wametenga muda wa kuingia kwenye hizi forum na muda wa kutafuta mkate wa kila siku, sasa wewe kwa sababu unalipwa per post unashindwa kuelewa kwamba kuna muda wanawaume wa ukweli wapo kazini.Crashwise, upo wapi mbona umeikimbia thread yako..njoo utupe update za mahakamani
Tuacheni uongo jamani,lema alikuwa juu ya cruiser na si kwamba alitembea kwa miguu,nipo arushaMbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakamatwa muda si mrefu kuanzia sasa ni baada ya kutembea kwa miguu kutoka mahakamani mpaka Ngarenaro zilipo ofisi za CHADEMA..
Habari nilizo zipata kutoka polisi makao makuu Arusha ni kuwa kuna kikao kinaendelea cha jinsi ya kumkamata...tayari jeshi la polisi limesha peleka vijana wao wakiwa wamejichanganya na wana CHADEMA waliokuwa wamefulika kumsindikiza nakufanya shughuli zilizoko uhuru road zisimame kwa mda..
Lema mjanja kweli kapewa dhamana kaamua kutembea kwa miguu kuanzia mahakamani hadi levolosi kilometa 4 huku akisindikizwa na vijana machalii wa ungalimited anataka akamatwe tena nalipongeza jeshi la polisi safahi hii wamemwacha afanya atakavyo.
Lema anapenda sifa kila siku anataka heading za magazeti zimwongelee yeye polisi wamestuka hawana habari na Lema akipendaa atembee mpaka KIA.
Crashwise, upo wapi mbona umeikimbia thread yako..njoo utupe update za mahakamani
Tuacheni uongo jamani,lema alikuwa juu ya cruiser na si kwamba alitembea kwa miguu,nipo arusha