J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakamatwa muda si mrefu kuanzia sasa ni baada ya kutembea kwa miguu kutoka mahakamani mpaka Ngarenaro zilipo ofisi za CHADEMA..

Habari nilizo zipata kutoka polisi makao makuu Arusha ni kuwa kuna kikao kinaendelea cha jinsi ya kumkamata...tayari jeshi la polisi limesha peleka vijana wao wakiwa wamejichanganya na wana CHADEMA waliokuwa wamefulika kumsindikiza nakufanya shughuli zilizoko uhuru road zisimame kwa mda..
 
HAWAWEZI KUMKAMATA TENA MOTO UTAWAKA KULIKO MBEYA,MAGAMBA YAMEKWISHA SASA YANAONA HAYA

wakati wa ukombozi ni sasa
 
Polisi hawajui watendalo,ila ipo siku wataungana na sisi wananchi kuipinga serikali legelege ya CCM Iliyofanya vijana wasiwe na kazi na maisha magumu,polisi wenyewe wamepigika kama sisi wanaishi kota zilizochoka hata rafiki kumpeleka hawezi kumpeleka kupajua unaipoishi.
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakamatwa muda si mrefu kuanzia sasa ni baada ya kutembea kwa miguu kutoka mahakamani mpaka Ngarenaro zilipo ofisi za CHADEMA..

Habari nilizo zipata kutoka polisi makao makuu Arusha ni kuwa kuna kikao kinaendelea cha jinsi ya kumkamata...tayari jeshi la polisi limesha peleka vijana wao wakiwa wamejichanganya na wana CHADEMA waliokuwa wamefulika kumsindikiza nakufanya shughuli zilizoko uhuru road zisimame kwa mda..
.......kwani walimpelekea gari la kupanda akakataa kama dhamana?
 
Kwahiyo sasa Lema marufuku kutembea kwa miguu?Wanataka apae angani amekuwa ndege?
 
hii thred imelenga kudanganya umma hasa wana jf wanaofuatilia ishu ya kuachiwa kwa lema.......mwenye akili atasoma na kutafakari.
 
yani wakifanya hivyo hata ambaye alikuwa hampendi Lema basi ataona anaonewa! na will be a big blow kwa polisi na serikali kwa ujumla
 
Hao Polisi sasa wanataka kuleta vurugu za kudumu huko Arusha. Hawana akiri za kufikiri..............
 
amefanya makusudi si walimwambia aitembee kwa miguu, wamkamate tena ili waione arusha kama vile ilivyokuwa mbeya
 
Wewe Crashwise mbona unapotosha watu kwa hiyo wewe ndio RPC wa Arusha?
 
Akamatwe tu...hana msaada wowote kwa watanzania!
 
Kweli moto wa kifuu unatokota nchi hii, Lema big up waongoze wanaATown katika enzi mpya za kutetea haki hadi kieleweke. You are the hero
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom