J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Hawawezi mdaka wenyewe wanajua game ya leo wanaihanya.
 
Wewe Crashwise mbona unapotosha watu kwa hiyo wewe ndio RPC wa Arusha?
huyo si ndio my wife wake Lema, kwani ulikuwa hujui siku hizi CDM wamekubali masharti ya waziri wa uingereza?
 
huyo si ndio my wife wake Lema, kwani ulikuwa hujui siku hizi CDM wamekubali masharti ya waziri wa uingereza?
Lete hoja acha kuharibu lengo la thread! Hata Angekuwa ni mkewe ww inakuhusu? Ndio maana mnaishia kuingiziwa vijiti kwa nyuma!
 
Lete hoja acha kuharibu lengo la thread! Hata Angekuwa ni mkewe ww inakuhusu? Ndio maana mnaishia kuingiziwa vijiti kwa nyuma!
Kweli wewe unaakili ya nyani, thread ina lengo gani hii? Kijana wa Lema anamuogopea basha wake halafu anatuletea stori za jikoni.
 
Akamatwe tu...hana msaada wowote kwa watanzania!
Wewe hata uitishwe uchaguzi ndani ya familia yako huwezi kupigiwa kura wala huwezi kushinda, wewe utaishia kuongea upupu tu humu kwenye forum, huwezi kufikia mafanikio ya kimaisha aliyofikia Lema mpaka unaingia kaburini.
Wewe kiwango chako ni cha kwenye keyboard tu na sio kwenda front kupigania kile unachoamini. ur just a loser kid. na kama unaona Lema hana msaada nenda kwa Cameroun anatoa misaada ya kumwaga tu, lakini chupi uache nyumbani.
 
Ni kweli hana msaada Tanzania ila ana msaada na umuhimu hapa arusha, arusha ni nchi na Lema ndo raisi, wasalimie huko tanzania muulize mbunge wako Majimarefu maendeleo ya kukamata wanga yanaendelea??

Nakumbusha leo ndio tarehe 14 ulisema Panya atamfukuza Paka..
Ndio itakuwa siku ya mapinduzi Arusha..

Zilikuwa story za mbege au Vodka...
 
si wamkamate waone,
mbeya wameshatoa fundisho la kutosha.
 
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
 
Ni kweli hana msaada Tanzania ila ana msaada na umuhimu hapa arusha, arusha ni nchi na Lema ndo raisi, wasalimie huko tanzania muulize mbunge wako Majimarefu maendeleo ya kukamata wanga yanaendelea??
Kama anamsaada...mbona mmemtelekeza gerezani? mnajua yaliyompata huko? alikaa wiki moja tu akazidiwa ikabidi amuombe Mbowe amnusuru lakini kwa bahati mbaya akatoswa!
 
si wamkamate waone,
mbeya wameshatoa fundisho la kutosha.

Chadema kwa porojo bana Polisi wakifanya kazi yao utasikia polisi wametumia nguvu kubwa kwa raia wasiokuwa na silaha
 
Nakumbusha leo ndio tarehe 14 ulisema Panya atamfukuza Paka..
Ndio itakuwa siku ya mapinduzi Arusha..

Zilikuwa story za mbege au Vodka...
Polisi wamemgusa muandamanaji hata mmoja??????? paka kanywea, panya wametawala.
 
kwahiyo unataka kuniambia waaandamanaji wa mbeya ni PANYA? dah...amakweli akutukanaye hakuchagulii tusi
Halafu walisema Zuberi amewatukana wakati wao wenyewe wanajiona ni mapanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom