Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
usihau kuleta up date na picha mkuu
Lema kaachiwa huru! watu wanaandamana kumsindikiza ofisi za CHADEMA Mkoa!
Vipi TLP wanasemaje?
Vipi TLP wanasemaje?
magamba at work!
Unajua kwanini alikataa mdhamana?
unajua kwanini tarehe 7 hakimu alikaaa kusaini removal order?...
Tatizo lako Ngongo unakurupuka sana hasa kwenye maswala ya lema yaani huwa unajifanya tahira wakati una akili timamu....
kukataa kudhaminiwa kwa Lema ni ujumbe tosha na ujumbe umefika..............
Jibu hoja acha ujinga wa kuabudi mtu na chama.Lema kachemka ile mbaya.
Wakuu wangu tuweke ushabiki pembeni wala hapana haja ya kuitana majina mabaya lakini ukweli utabakia ukweli na utatuweka huru viongozi wa CDM laiti wangejiuliza na kutafakari hali ya siasa Tanzania nina uhakika suaala la katiba lingekuwa ajenda yao ya kwanza.Ningekuwa na sababu ya kukesha NMC ikiwa kukesha huko kungekuwa ni kudai katiba ya waTanzania si kudai kuachiwa mbunge aliyekataa dhamana.
Hii ni njia nyepesi ya kutokea hasa maswali yanapokuwa magumu ahaaa aaa
Ngongo kimsingi anacho kilalamikia Godbless Lema ni unyanyasaji unaofanywa na jeshi la polisi zidi ya wananchi pamoja na chama chake...lakini ukiangalia kwa umakini utagundua tatizo ni katiba....viongozi wa polisi mahakama hawako huru ndiyo maana umeona juzi Mkuu wa Mkoa ana mwamru hakimu asimpe dhamana Lema ili kumsafishia njia boss wake kama angekuja Arusha tarehe 12.11.11Wakuu wangu tuweke ushabiki pembeni wala hapana haja ya kuitana majina mabaya lakini ukweli utabakia ukweli na utatuweka huru viongozi wa CDM laiti wangejiuliza na kutafakari hali ya siasa Tanzania nina uhakika suaala la katiba lingekuwa ajenda yao ya kwanza.Ningekuwa na sababu ya kukesha NMC ikiwa kukesha huko kungekuwa ni kudai katiba ya waTanzania si kudai kuachiwa mbunge aliyekataa dhamana.
Hii ni njia nyepesi ya kutokea hasa maswali yanapokuwa magumu ahaaa aaa
Kuna Hoja gani ya kujibu? jina lako tu linanitia kichefuchefu
Kwa mambo unayoandika inawezakana J3 umeamka na hangover za kutosha maana hapa hutumii akili yako
Ngongo kimsingi anacho kilalamikia Godbless Lema ni unyanyasaji unaofanywa na jeshi la polisi zidi ya wananchi pamoja na chama chake...lakini ukiangalia kwa umakini utagundua tatizo ni katiba....viongozi wa polisi mahakama hawako huru ndiyo maana umeona juzi Mkuu wa Mkoa ana mwamru hakimu asimpe dhamana Lema ili kumsafishia njia boss wake kama angekuja Arusha tarehe 12.11.11
Wakuu wangu tuweke ushabiki pembeni wala hapana haja ya kuitana majina mabaya lakini ukweli utabakia ukweli na utatuweka huru viongozi wa CDM laiti wangejiuliza na kutafakari hali ya siasa Tanzania nina uhakika suaala la katiba lingekuwa ajenda yao ya kwanza.Ningekuwa na sababu ya kukesha NMC ikiwa kukesha huko kungekuwa ni kudai katiba ya waTanzania si kudai kuachiwa mbunge aliyekataa dhamana.
Hii ni njia nyepesi ya kutokea hasa maswali yanapokuwa magumu ahaaa aaa
Mr green guard unastress. Mbunge wa jimbo lako ni nani???
Sasa alichokuwa anakitaka jela kaishakipata?
Matthew 10:28
.....And do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul; but rather be afraid of Him who can destroy both soul and body in hell (Jehanam).
Hili andiko linaingilianaje na mtu aliyekataa dhamana !.