SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 458
Mkuu, "Preventive Detention Act" ni sheria ambayo constitutionality yake can pass a litmus test internationally. Hata US constitution.Chini ya katiba ya sasa, mkuu wa wilaya ana mamlaka ya kumweka mtu ndani kwa masaa 24 bila sababu yoyote. Kwa maana hii, ukikutana bar na mkuu wa wilaya halafu yeye awe na hisia kwamba umemnunulia bia kimada wake, hiyo ni tosha kukuweka ndani nakuamuru utolewe kesho yake. Sasa hawa ni wa kuwapa usimamizi wa shughuli hii kweli?
Kuhusu wewe kutatizwa na suala la posho, inabidi uelewe the entire politics evolving;
Kwa hiyo hakuna mchakato ambao unaweza kuondoa vitu hivi, hii inaweza kuwa repealed hata kesho kama kina Lissu wataanza kuipigia kelele, but it's the kind of law that is reserved when major ish is about to happen. Hata wapinzani wanaminya in case wakitwaa madaraka itawafaa mbeleni.
Kuhusu posho, naelewa nini kinachoendelea, ila natatizwa nacho. Lakini sikubaliani na wewe unapomsafisha JK kwenye jambo hili, both the executive and the legislature(hata wapinzani) wanacheza mazingaombwe ambayo wananchi wa kawaida kama sisi yatatuletea umasikini. I can explain more if you didn't get my point.
It's lunch time here, be back in 30.