The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,382
- 8,437
Kikao Cha Bunge la 12,Mkutano wa 9 umemalizika Jijini Dodoma..
Watanzania wote wamejionea jinsi wabunge wa chama Tawala walivyomudu kuisimamia Serikali,kuikosoa na kuja na maazimia mazito ili kuhakikisha Viongozi wanawajibika kadiri na nafsi zao..
Wameibua hoja nzito,wamejenga hoja murua za ushauri ikiwemo kuzuia mswaada wa Bima ya Afya Hadi Serikali ije na mswaada wenye tija..
Sasa.Ndugu zangu ikiwa Chama Tawala kimeweza kujikosoa na kuisimamia Serikali Kuna haha gani ya kuwa na Vyama vingi?..
Ukiacha kwamba hivyo Vyama vinaongeza mzigo kwa walipakodi lakini vinashadisia vurugu,matusi na uzushi badala ya kujenga hoja na kuja na njia mbadala..
Miaka ya zamani Mwl.Nyerere aliwahi kuwauliza Watz Kama wanataka Vyama vingi ,majibu Ni hapana ila yeye akalazimisha ili apate kuwafurahisha wazungu..
Kwa maoni yangu,demokrasia sio lazima kuwa westernised Kama Rais wa China alivyoshauri..Demokrasia ya ndani ya Chama Cha CCM inafanya kazi vizuri kwa Nini tulazimishe Vyama vya kuleta vurugu Nchini?