JK na wabunge wa CCM Dodoma kimenuka

napenda msemo wa kiswahili unasema njia ya Mwongo nifupi.................mtu sahihi wa kutueleza nini kinaendela ni hamadi rashidi ndio waliongea airstrip ya dom
 
Kikwete usiangalie nyuma, hawa wabunge wa ccm wamezoea kudeka. Kama kweli vidume wapige kura ya kutokuwa na imani. Beatrice Shellukindo alianza kwa kutoa 'message' toka kwa nabii Joshua, akaja Jairo na sasa naona amekuja na hoja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais. Mama haya yote ni mawazo yako au unawakilisha mtu/watu?
Huyu mama Shelukindo nadhani hajitambui tena. Nilimwona alivyojichanganya na kupanic kwa kuwasilisha barua ya jairo bungeni na kesho yake akawa wa kwanza kuwatetea kina ngeleja. Ni mnafiki wahedi.
 
Mkuu,
hakuna mbunge aliye tayari kurudi jimboni kuanza kampeni upya dhidi ya Chadema, CUF, CCK, NCCR, kwa tiketi ya CCM ambayo imelemewa kwa hoja katika kila kitu cha msingi ndani ya nchi hii. Ikitokea uchaguzi mpya, sana sana wengi watagombea kupitia vyama vya upinzani. Vinginevyo, wabunge wengi sana kwa sasa wapo katika harakati za kulipa madeni yao kutokana na mikopo ya kampeni za 2010, ndio maana wanapigania sana posho. Kwa wastani, mbunge ambae hana kipato cha pembeni, huwa anabakia na shillingi zisizozidi laki mbili kwenye account baada ya makato ya madeni haya, pamoja na makato ya madeni ya magari yao (mashangingi), kwahiyo wana survive kwa posho na ndio maana wanakuwa wakali kama mbogo juu ya hilo.

Rais akiweka msimamo na kuwaambia wakitaka wapige kura ya kutokuwa na imani na Rais, wengi watasononeka chini kwa chini lakini hawata piga kura ya namna hiyo kutokana na sababu hizi. Lakini tujiandae kwa wao kufanya utawala wa Kikwete kuwa mgumu sana kuelekea 2015, hasa kuikwamisha serikali kwa makusudi katika mambo mbalimbali, bila ya wao kujua kwamba kufanya hivyo ndio kukimaliza CCM na kuvijenga Chadema, CCK, NCCR....

Men,..
am proud of you dude.
Ingawa uko CCM,haubebwi na zimwi la ushabiki.
You air the reality na sio kutoa sifa pasipo sifa.

Natamani Jk angekua na washauri kama wewe (kama ana tabia ya kusikiliza washauri
anyway,yawezekana wapo kweli lakini hafuati ushauri wao).

Tufikie mahali sasa tuangalie uhalisia wa mambo,...
huu ushabiki ushabiki wa kichadema na kiccm ufe na tuwe na
ushabiki wa kitanzania.

Big up bro.
 
Kwa mara ya kwanza naskia wim bo wa ukombozi toka TOT
ni zama zake mabadiliko
ni zamu zao mahangaiko
ni hamu ya kuu anguko
watanganyika watachukua nchi yao.

sokoine wa sasa atarudi
kuchapa makuhadi
ufisadi hata nadi
jasho damu wanaililia nchi yao

nyerere yuko wapi
wanafunzi wake wako wapi
dira watanganyika hawawapi
nchi yao rasilimali zao zatokomezwa.

mandela njoo sasa
mkuruma rudi sasa
naser fufuka sasa
michael satta njoo huku

uchungu wa masikini hawana
machozi ya wajane hayana maana
ujinga mtoto mtanzania si manana
raha zao kero zetu kero zetu raha zao
 
napenda msemo wa kiswahili unasema njia ya mwongo nifupi.................mtu sahihi wa kutueleza nini kinaendela ni hamadi rashidi ndio waliongea airstrip ya dom
labda ndio baija bolobi mwenyewe
 
Kumpigia Rais kura ya kutokuwa na imani naye maana yake na wao watakaoma kuwa wabunge ambapo kwa katiba ya sasa Rais atalazimika kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi mkuu. Chadema mko tayari kwa tukio hili? mnaweza kurudi msiwe chama kikuu cha upinzani bali chama kidogo cha upinzani

Ushabiki mwingine bwana wa kitoto sana! umejuaje kama CHADEMA wanaweza kuwa chama kidogo cha upinzani? hudhani kuwa hata CCM for that matter wanaweza kutokuwa chama dola?? Lolote linawezekana katika mazingira ya sasa ya siasa lakini kubwa zaidi mazingira ya sasa yanaonyesha nyota inang'ara upande gani.
 
Kama una maana JK kawaambia wabunge wampigie kura ya kutokuwa na imani nae, hap namuunga mkono JK, kwani hizo kura hazitatosha na wabunge watajifunza kwa viboko sasa, kwani pamoja na mapungufu aliyonayo Rais, kama alivyo binadamu mwingine, Rais katika hili kasimamia upande sahhihi, na ni upande wa walio wengi nchi hii.

yOU HAVE ALWAYS EARNED MY VOTE, AND FOR THIS ONE... I ADD ONE MORE!!!
 
In your humble opinion, what should the statesman do at this juncture in order to resolve this political impasse.

We haven't come to a political impasse in the first place. Country's current woes are hugely attributed to failure by the head of state to accomplish his portfolio. Ironically, he is yet attempting to camouflage his own incapabilities with a surprise reshuffle. Changing of ministers will only temporarily smother people's noise but won't permanently solve the problem. In my view, source of problem remains entirely in himself for lacking leadership qualities and missing demanded intelligence necessary for his duty.
 
tiss hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ro hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tumesikia vitu vyenu dodoma

too early to say anything, unajua tiss ni nani???? Hebu mcheki ra na el ujue nguvu yao huko unakokupigia vigelegele
 
reshuffle inayohitajika ni ya serkali nzima yaani ikulu, wizara, bunge na mahakama pamoja na usalama wa taifa aka usalama wa ccm.
reshuffle is not going to improve anything kwani teh whole system is fooked up
 
Mkuu,
hakuna mbunge aliye tayari kurudi jimboni kuanza kampeni upya dhidi ya Chadema, CUF, CCK, NCCR, kwa tiketi ya CCM ambayo imelemewa kwa hoja katika kila kitu cha msingi ndani ya nchi hii. Ikitokea uchaguzi mpya, sana sana wengi watagombea kupitia vyama vya upinzani. Vinginevyo, wabunge wengi sana kwa sasa wapo katika harakati za kulipa madeni yao kutokana na mikopo ya kampeni za 2010, ndio maana wanapigania sana posho. Kwa wastani, mbunge ambae hana kipato cha pembeni, huwa anabakia na shillingi zisizozidi laki mbili kwenye account baada ya makato ya madeni haya, pamoja na makato ya madeni ya magari yao (mashangingi), kwahiyo wana survive kwa posho na ndio maana wanakuwa wakali kama mbogo juu ya hilo.

Rais akiweka msimamo na kuwaambia wakitaka wapige kura ya kutokuwa na imani na Rais, wengi watasononeka chini kwa chini lakini hawata piga kura ya namna hiyo kutokana na sababu hizi. Lakini tujiandae kwa wao kufanya utawala wa Kikwete kuwa mgumu sana kuelekea 2015, hasa kuikwamisha serikali kwa makusudi katika mambo mbalimbali, bila ya wao kujua kwamba kufanya hivyo ndio kukimaliza CCM na kuvijenga Chadema, CCK, NCCR....

KUDOS.... and i am sure ndani ya CCM hasa jimboni kwako una maadui wengi because most of your party cheerleaders are almost imbeciles

:poa
 
Hatupaswi kutarajia miujiza kutoka kwa Rais unless watu mlio wacha Mungu watajinyenyekeza na kuomba mbele za Mungu ili Mungu aweze kuiponya nchi yetu.Hili tatizo la nchi hii haliwezi kupata majibu ya binadamu bali Mungu mwenyewe inabidi aingilie kati ili kuitoa nchi aliyoibariki kwa kila kitu kutoka kwenye giza zito.
 
Na hao kina shellukindo tayari kwa siku nyingi agenda yao inafahamika ni nini. Wapo tayari hata kusogeza tarehe za 2015 zirudi nyuma zaidi ili ziendane na maneno matamu ya bishop joshua.

wanamramba miguu yule mtu wetu
 
Wana jamvi
Hapa Dodoma kimenuka. JK kafika kutoka MWZ ili kuonana na wabunge. Wabunge wa CCM wakaitwa na kuingizwa ukumbini ili kumsubiri. Awali Katibu wao Jenester Mhagama alitoa tangazo kupitia Naibu Spika kuwa wabunge wote waache simu zao wazi ili kuitwa wakihitajika.
JK aliendelea kupata briefings na kuambiwa hali ni mbaya. Akashauriwa afanye reshuffle upesi ili kupoza moto. Kama kawaida akawa mbishi, lakini pia akasita kuingia ukumbini kuonana na wabunge. Mwishowe wabunge wameambiwa waende kulala kwa sababu JK bado ana kikao na watendaji.
Kuna hatari kesho ya reshufle. Mawaziri wote matumbo moto hususan Afya, Nishati, Fedha na Ujenzi. Vijana wa TISS wamemweleza kuwa baraza zima ni kama haliko kazini isipokuwa wizara moja tu- Ya Pombe Magufuli.
Vijana wa TISS wameingia kazini kwa kasi sana usiku huu kujaribu kubadili upepo miongoni mwa wabunge.

Chanzo: Mimi mwenyewe nikiwa Dodoma mjengoni.

What a holy crap... What happened with JF ? Is this a home of Great Thinkers? How ?
Its just unbelievable.

Mamluki wamekuwa lukuki.
 
Changing of ministers will only temporarily smother people's noise but won't permanently solve the problem. In my view, source of problem remains entirely in himself for lacking leadership qualities and missing demanded intelligence necessary for his duty.
If anything all this proves we are a stupid lot according to the government, maana sielewi kiongozi wa chama na serikali anaweza vipi pitwa na muswada muhimu kama huu kabla aujafika bungeni na kujadiliwa. Or this emphasizes the argument of those who'd be warning us raisi wetu ana muda, yeye sasa anafuata upepo kutokana na kutokuwa makini na siasa za ndani na wasaidizi wake kujianizia bila ya izini yake yake regardless ana mlango wa kutokea, Mr President is useless to say the least.
 
Hakika MUNGU atajibu tu maombi ya Watanganyika wapatao 47milioni wanaoteseka ingali walioamini wawaongoze wameamua kujichumia matumbo yao na femilia zao!

MUNGU WETU KASIMAME NA KUWAIBISHA WOTE WALE KADRI UJUAVYO MWENYE!

Ni IMANI MUNGU wetu upo na utaonekana!

kamanda umeongeza na warundi na warwanda na wamalawi nini?
 
We haven't come to a political impasse in the first place. Country's current woes are hugely attributed to failure by the head of state to accomplish his portfolio. Ironically, he is yet attempting to camouflage his own incapabilities with a surprise reshuffle. Changing of ministers will only temporarily smother people's noise but won't permanently solve the problem. In my view, source of problem remains entirely in himself for lacking leadership qualities and missing demanded intelligence necessary for his duty.

Ikiwa gender ndio issue basi ungetakiwa uwe wewe madame Speaker sio Anne Makinda... coz you reason well! No rumbling around the bush, you call a spade a spade! We all know the problem is JK but we rumble around!
 
Back
Top Bottom