JK kaacha kishindo Dar?

Kwa vile mwanzisha thread hii hataki kuweka wazi ni kishindo gani,basi mimi naweza ku-predict kishindo alichoacha Kiwete. Ni kwamba baada ya hutuba yake iliyoonyesha hofu kubwa kwa Chama Makini chenye watu waliokwenda shule. NAWEZA KUBASHIRI KATI YA MAMBO 2 ALIYOAACHA:
  1. KWAMBA ATAKUWA AMEAGIZA VIONGOZI WOTE WAANDAMIZI WA CHADEMA WAKAMATWE WAWEKWE NDANI KWA KUCHOCHEA MAPINDUZI YA KUIONDOA SERIKALI YA CCM ILIYOKO MADARAKANI.
  2. KUNA TAARIFA ZA KUAMINIKA KUWA SERIKALI IMEFULIA(HAINA PESA)MPAKA LEO 2/03/2011 KUNA WATUMISHI HAWAJAPATA MISHAHARA YA FEBRUARI HALI NI TETE JESHINI,POLISI NA KWENYE TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI.
Sidhani kama kunaweza kuwa na kishindo zaidi ya hi ninavyodhani kuachwa na JK.

Naona wewe inabidi uwe mganga wa kienyeji. Utafanikiwa sana:teeth:
 
Kuna taarifa kwamba Rais Kikwete ameacha kishindo ndani ya serikali kabla hajaondoka. Nalala usiku mwema kwa walio na usiku wengine hata sijui nisemeje, ila tukiamka tuttafuaatili, sitopokea simu hadi kesho saa 3 asubuhi

Hakuna lolote wala chochote AMANI INAZIDI KUTAWALA TU. Na Chadema wakileta za kuleta NGUVU ZA DOLA ZITAWAANGUKIA tena kwa kishindo kikubwa sana.
 
mbona mwanakijiji na halisi mmesepa?......ndio mambo gani haya, ya kukeshesha watu namna hii.....wekeni hata tetesi basi.
 
mbona mwanakijiji na halisi mmesepa?......ndio mambo gani haya, ya kukeshesha watu namna hii.....wekeni hata tetesi basi.

..Huoni kwamba thread iko ktk jukwaa la tetesi? Kama tetesi haijatiki si wanasepa tu?
 
...Hakuna Lolote. Mkwere hana Ubavu wa kuibua kishindo chochote sasa. Msimpe sifa asizostahili.
 
JK hana kishindo chochote; ni mkwara tu.

Wakati wa marehemu Amina (AC), JK alisikika kuwa ataangusha kishindo kwa wauza unga, lakini wapi. Hadi leo hakuna lolote.

Wakati aliponyimwa hela na wafadhili kwa ajili ya rushwa, aliahidi kuwa masifadi sasa wataipata. Akaunda TAKUKURU badala ya TAKURU na sheria mpya za kuwashughulikia; tangu hilo takola mkulu lianze, hatujaona lolote. Mafisadi wanayeya tu

JK hawezi kufanya lolote

JK ni kilaza asiyejua wajibu wa majukumu yake.

JK ni mtafuta sifa na ni mbinafsi sana. Kwake yeye urais wa nchi ni mradi wa ukoo wake wala haangalii maslahi ya nchi.


Hakuna cha kishindo wala cha nini kutoka kwa JK.

Nimesema!!!!!!


@#$@#$$%^&#^%%(*(&Y&*$&^*!!!!


Heshima kwako Kichuguu,

Kama yupo mtanzania hajkuelewa atakuwa mwehu.
 
HAKUNA HAKUNA :A S 13::A S 13:KITU NI POROJO POROJO:A S 100:, UDAKU UDAKU :yell::yell:NA UMBEA UMBEa:gossip::gossip::target::target::clap2::clap2:
 
ssm na vyombo vya dola ndio watakaomwaga damu,cdm wanaandamana kwa amani wala hawana fujo lets them play their part,serikali isiwachokoze.
 
Back
Top Bottom