Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,943
Hpn tumekufakimya sana,,,,
wazima huku.........
Hpn tumekufakimya sana,,,,
wazima huku.........
tehtehHpn tumekufa
Amelala ...tehteh
kumbe jf inapatikana huko kuzimu,,,
hebu tupie hata selfie ya shetani aisee.......
ndoto za kutisha tisha,,Hivi dawa ya usingizi ni gani watunguyaz?
acha hizo mkuu,,,,,Amelala ...
Labda kesho ...
Hafu mi nipo mbinguni ...
Unanchukulia poa et eehhhh...
Jamaa mgomvi sana Huyuacha hizo mkuu,,,,,
hebu muamushe mpige misele,,,,
askari wenu wengi wanadondoka usiku sana,,
Air Ungo Hali ya hewa ni mbaya ........
vipi hakuna nafasi za kazi hapo,,,,Jamaa mgomvi sana Huyu
Huwa akishiba ugali hakamatiki
Leo weekend
Mkuu
Hatuna kazi
hahaha...........Nafasi zipo
Ila lazma ufe
MALAIKA WA GIZAhahaha...........
barua za maombi tunatuma wapi?
hizi ndio fursa sasa,,MALAIKA WA GIZA
SLP 00
KUZIMU
Shetan mgomvi sana mkuuhizi ndio fursa sasa,,
hapo kwenye wadhamini nimekuweka mkuu,....experience yako si haba
vipi hawakagui vyeti feki?,,,
siku akizingua ,sema tu ,,,Shetan mgomvi sana mkuu
Nani sir Godsiku akizingua ,sema tu ,,,
kuna Mtaalamu mmoja alimchapa kipigo cha mbwa koko,na funguo akamnyang'anya..
Salama hivyo hivyo..Umepotea sana bro.Salama?
tupoNani hajalala