Nimekuja kufata misukule yanguMh humu leo naona kumenoga si mchezo,hadi Mrs Mganga kaachiwa kuja duh..
Hb my x upoooNa hii baridi lazima nije
Koh! Koh! Khoooo......nimepaliwaNa hii baridi lazima nije
Nakuomba pm
Nimekuja kufata misukule yangu
Kwikwikwikwi vp imetoroka shamba nn?Nimekuja kufata misukule yangu
Nilikuwa nakuwaza muda si mrefuKoh! Koh! Khoooo......nimepaliwa
Na hii baridi lazima nije
Kumbe ndio maana nimepaliwaNilikuwa nakuwaza muda si mrefu
karibuuuHodi jamani..
MP yangu nilisha ifunga mkuu... tehteehhhNakuomba pm
Asante ila una tabia mbaya kwann umeniacha na kutangulia peke yako?Karibu
Hongera kwa kumchosha
Anjelo wako nimekuja piakaribuuu
Lini na wapi?Asante ila una tabia mbaya kwann umeniacha na kutangulia peke yako?
Sawa
Wakufunga prime minister uwe wewe?MP yangu nilisha ifunga mkuu... tehteehhh
Kaka yupo kazin anageuza geuza maiti nipo aloneWifi wangu kuna baridi kwani kaka ameenda zamu kule mortuary leo?
Nilimtuma Thad akuiteAsante ..mbona ulikua huniiti ukija?