Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
Ana majibu magumu @Yaani kweli huyu mtu wa medani hata majibu tu anataka tupige kwata
Ana majibu magumu @Yaani kweli huyu mtu wa medani hata majibu tu anataka tupige kwata
hizo medani wallah mnavyonipamba najichekea na wanajumuiya wenzangu, mimi nipo kwa jafo napanda miti tu dodoma😂😂😂Yaani kweli huyu mtu wa medani hata majibu tu anataka tupige kwata
Hahahahaha..km tuko military academyAna majibu magumu @
😝 Eti una majibu ya kinyota nyotaSifa zangu wataziona wapi, wakat watu wangu wa karibu mmeanza kunitilia mashaka😂😂😂
Nyota njema huwaza mapemahizo medani wallah mnavyonipamba najichekea na wanajumuiya wenzangu, mimi nipo kwa jafo napanda miti tu dodoma😂😂😂
Zitafikishwa usihofu kamandaSifa zangu wataziona wapi, wakat watu wangu wa karibu mmeanza kunitilia mashaka😂😂😂
Wewe ni mtu mkubwa sanahizo medani wallah mnavyonipamba najichekea na wanajumuiya wenzangu, mimi nipo kwa jafo napanda miti tu dodoma😂😂😂
Tena sana..sio wakumuacha na kumuweka mbali
Please mfikishieni haraka nataka mrare mapemaZitafikishwa usihofu kamanda
Hahahahaa si mchezo CDF wa kikeKulikua na major general zawadi madawili..sasa tunaenda kuwa na cdf Fake P
Ni wa kuwa NAE karibu mnoTena sana..sio wakumuacha na kumuweka mbali
Mimi ndiyo nawajua wenyeweSi unaona mnajuana kabisa
Oyaa 😁😂😂Mimi ndiyo nawajua wenyewe
unaona mimi nikwambie nitaendeleza alipoishia madawili mnipokee, mujibu tulikua hatujui dawili lilitokea wapi kumbe ni huyu mamaKulikua na major general zawadi madawili..sasa tunaenda kuwa na cdf Fake P
Sawa mrembo CDF ajae....Mimi ndiyo nawajua wenyewe
Hahahahaha ulianzia kwa mujibu kumbe? Utafika mbali kila la kheri ..huyo mama ,sasa kamrithi weweunaona mimi nikwambie nitaendeleza alipoishia madawili mnipokee, mujibu tulikua hatujui dawili lilitokea wapi kumbe ni huyu mama