Jf members wanao penda ku-flirt PM

Jf members wanao penda ku-flirt PM

Hivi kweli MOD's hawasomi PM za watu?
Hii ngumu kuamini....

PMs are not accessible to Moderators. The fact that Russian Roulette has posted this thread is evidence enough. If Moderators had access as commonly assumed by most, Great Thinkers would realize Russian Roulette would not have dared post such a thread for fear of members response on disclosing the impeachment of the rights of privacy of each member. Rest assured.

JF Daima.
 
Una akili kama mchwa
Ungekuwa karibu tungegonga chiaz ya masaburi

Watu hawaelewi nini?
Si aibu kutongozana kati ya mwanamke na mwanamme
Ni uhuru wa akili zenu na miili yenu
I've got some other better things to worry than worrying about PM's
 
If Moderators had access as commonly assumed by most, Great Thinkers would realize Russian Roulette would not have dared post such a thread for fear of members response on disclosing the impeachment of the rights of privacy of each member.

Kama sisi si 'Great Thinkers' jee?

P.S; Hivi Mods hamjui Kiswahili?
 
Hii kitu niliiona kwenye udaku asubuhi imeandikwa na deshi deshi
Hata simu za mikononi hazina privacy lakini tunatemeana madini
Tatzi naloliona watu hawapendi characters zao za ukweli kujulikana
Wanajiogopa or they are ashamed of themselves

Paranoia tu Gaijin. Mi nimesema wazi kua nimeambiwa na members.
 
PMs are not accessible to Moderators. The fact that Russian Roulette has posted this thread is evidence enough. If Moderators had access as commonly assumed by most, Great Thinkers would realize Russian Roulette would not have dared post such a thread for fear of members response on disclosing the impeachment of the rights of privacy of each member. Rest assured.

JF Daima.

Mfano mngekua na uwezo huo, maneno gani mengine mazuri ungeandika ya kukubali, bila kutaathiri kisaikolojia?
 
PMs are not accessible to Moderators. The fact that Russian Roulette has posted this thread is evidence enough. If Moderators had access as commonly assumed by most, Great Thinkers would realize Russian Roulette would not have dared post such a thread for fear of members response on disclosing the impeachment of the rights of privacy of each member. Rest assured.

JF Daima.

Na mimi undercover mod nimeona nitoe tamko langu.
Ni kweli kabisa sisi mods hatuwezi kabisa kusoma PMs zenu endeleeni kutongozana tu, mkiwa na wasiwasi zaidi tongozaneni kwa kizaramo, mods wengi wanatoka Arusha
 
hao raia kwenye avatar yako mbona wanapiga makofi kila siku hawachoki?
 
Kuna anayekujua live
Hata wakikujua kwani umeiba
Unajua mie mnaniuzi nyie waoga waoga

Mwanajeshi kufia vitani ni ushujaa, grow up.
Huwezi ukawa samaki ukataka watu wakuite chura
Kama ni mtongozaji usijali watu wakikufahamu hivyo

wengine humo PM mambo tunayodiscuss ni mazito bhana,mtu akija kupaste humu jamvini sijui uso wangu nitauficha wapi
 
Kuna anayekujua live
Hata wakikujua kwani umeiba
Unajua mie mnaniuzi nyie waoga waoga

Mwanajeshi kufia vitani ni ushujaa, grow up.
Huwezi ukawa samaki ukataka watu wakuite chura
Kama ni mtongozaji usijali watu wakikufahamu hivyo
Hii ID niya mbunge,msije kuniaibisha bandugu
 
Na mimi undercover mod nimeona nitoe tamko langu.Ni kweli kabisa sisi mods hatuwezi kabisa kusoma PMs zenu endeleeni kutongozana tu, mkiwa na wasiwasi zaidi tongozaneni kwa kizaramo, mods wengi wanatoka Arusha
mmm! eti mods wengi wanatoka arusha!!
 
Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!

Mi mwenyewe, mara ya mwisho kupata PM ni 2008 mwanzoni....hii kitu kwani ni nini? si tunamalizana hapa hapa

All in all walau nimepata knowledge.....naanza kumonitor PM zoote za babe AshaDii
 
hao raia kwenye avatar yako mbona wanapiga makofi kila siku hawachoki?
Wameajiriwa kushangilia ma post yangu, sasa mswahili akigonga like au asigonge mzembe wala simind, makaburu yanafunga kazi
 
Back
Top Bottom