Jf members wanao penda ku-flirt PM

1.The Shy one : Nimependa ulivo jibu… Atafatisha kwa kusema kua anapenda members ambao wanafikiri tofauti na wengine, anakupa sifa alafu anaanza kukuuliza maswali ambayo hayana uhusiano na topic ulio jibu.

2. The Classic one : Nimeipenda avatar yako… Ataanza kujiulizisha maswali ya uhusiano kati ya avatar yako na wewe mwenyewe na angependa ajue zaidi kukuhusu.
Ha ha ha!Maswali ya kimapenzi?

Laiti watu wangekuwa wanaweka picha zao za ukweli...

Hizo mbili zinaangukia kwa wengi, ila nadhani wengi wako/tuko bored sometimes kama kweli tunatamani tusiowajua hata kwa kuwaona...!

Kupenda avatar na kumfananisha member na avatar ni just "a fantasy"
 
nayahitaji saaana Canta...kwa kuanzia, hebu niPM lile neno la siri...:A S-coffee:
Usijali Shem wangu,
Line neno,ni ile nick name yangu uliyoizoea ukiiweka pale utaaccess pm zangu zote,
Na naamin utakutana na upako ambao haupatikan kwa pasta yoyote,
msalimie my Big sisy hapo pemben yako.
 
aseee...na nlivokuwa naipenda, ngoja no do ze nidiful sasa hivi! nitasoma kati kati ya mistari

dadako hajambo, anadeka tu hapa kwa raha zake, naye anakusalimia na kukupongeza kwa upako huo....

baada ya kusema hayo, Hujambo? babu umemwona?:A S-coffee:
 
Ladies..

The Shy one – First lady
The Classic one – King’asti
The Childish one – twenty2
JF by night – Husnynyo
Fundi cherehani – Sweetlady
The executive - Lizzy
The naughty one – Smiles
Action woman – Kongosho
The fake lady – Cantalisia
The inquisitor – Nemo
Surprise – Eliza wa Tegeta
Haaaa haaa haaaa,
Heshima yako Big Sisy,
Km ulivyoona mp zangu zite zimejaa upako,
Na huwa nazionyeshea msisitizo,kwa kuwaambia waende kwa aman.
 
aseee...na nlivokuwa naipenda, ngoja no do ze nidiful sasa hivi! nitasoma kati kati ya mistari

dadako hajambo, anadeka tu hapa kwa raha zake, naye anakusalimia na kukupongeza kwa upako huo....

baada ya kusema hayo, Hujambo? babu umemwona?:A S-coffee:
Nashukuru km sisy wangu yuko poa,
Acha adeke ndio wakati wake,
Babu sijamuona atakuwa bado anamalizia maazimisho ya miaka 50 ya uhuru,nasikia ndio besi dai yake,
Alafu si unajua x-mas ishakaribia na maandalizi ya kwenda moshi yanahusika,babu atakuwa bize sn!
Hata mie nimemmis sana babu yangu,ukimwona huko mpe salam zangu.
 
Nimekuitika mjukuu.... kwa vitendo zaidi:A S kiss::A S kiss::A S kiss:
 
Hizi salamu ilikuwa nizifikishe mimi....ila ona sasa kilichotokea

Nimekuitika mjukuu.... kwa vitendo zaidi:A S kiss::A S kiss::A S kiss:

Hommie hapo umefanya tendo gani maana sijaelewa? si ungesubiri nikuletee salamu mwenyewe?:shock:

Nashukuru sana babu,
Nilikumiss sana,at least umetokea!

Orait...:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!

If I could turn back the hands of time to my days.... usingeandika hii comment.
 
to be honest mkuu umenifanya nicheke sana..dah na webcam kabisa..na microphone...for voice recognition

Mkuu nilikuwa naangalia na option ya kuweka WEBCAM kwenye inbox yangu...ukini-PM tunaenda sawa kabisa live
 
Back
Top Bottom