Jf members wanao penda ku-flirt PM

Hivi tunaweza kuelimishana kwa kuwataja mabingwa wa kuflirt???


Mie nilikuwa na nafanya hiyo kitu miaka ya 1957.......Kwa hiyo wanaofanya sasa nao wajipime wenyewe ama waamue kujitaja au tuwataje!!
Mimi siwajui. Na kama unawajua ole wako ukiwataja. that is 'name calling'+'kuleta mambo ya PM jamvini'!
 
mwingine hujawahi kumwona kwenye thread au jukwaa lolote wala hujui kama yupo JF but mara unakuta PM,heri hata wale wanaokutana jamvini unakuwa umeshamzoea kiasi
Hahahahaha, sasa anaingiaje hapo? au anakua amesha kutaafiru kwa kukugongea likes kadhaa?
 
Nasikitika sijawahi tumiwa PM sijui nagundu????
Naona kumbe wengi hatupokei PM, wale wachache wanao pokea ndio wanapokea toka kwa categories zote! maana so far zimeongezeka mbili tu.
 
RR leo umeamkia upande gani? manake huu uzi si mchezo.

Napenda kuwa mkweli katika hili, Hiyo namba nane ndiyo zangu hizo!! Ukijichanganya kidogo tu, umeumia.

Hata babu yao ODM ananikubali katika eneo hilo. kha!
 
RR leo umeamkia upoande gani? manake huu uzi si mchezo.

Napenda kuwa mkweli katika hili, Hiyo namba nane ndiyo zangu hizo!! Ukijichanganya kidogo tu, umeumia.

Hata babu yao ODM ananikubali katika eneo hilo. kha!
Hahahaha, fake gentleman, sio? hahahaha
 
Paranoia tu Gaijin. Mi nimesema wazi kua nimeambiwa na members.



Iwe Paranoia isiwe, hivyo ndo itakavyochukuliwa na wengi hususan ukizingatia kuwa mara nyingi watu walishauliza usalama wa PM zao iwapo Moderators wanaweza kuzisoma na halikujibiwa na uongozi wa JF na badala yake members wakasema kuwa ndio wanaweza kuzisoma 'wakitaka'
 
Nah no worries on my side but I just don't understand why people are so freaked out
Kwa kweli pamoja na kua mi sipokei PM zile chache zilizopo siwezi kupenda mtu azisome, that is why. ila nashangaa kitu kmoja, kwa nini wanaamini kuna watu wanasoma PM zao? maybe source yangu ilinipa details sana na wanaji-recognize?
 
Back
Top Bottom