Jf members wanao penda ku-flirt PM

Jf members wanao penda ku-flirt PM

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,388
Mara nyingi tunakutana na watu humu JF ambao tunapishana kwenye mada jamvini ghafla unaona wanaamua kukutumia PM, vile vile mtu (nje ya JF) mmebadilisha contacts kwa sababu moja au nyingine, alafu anakuanzia SMS/BBM/Skype, au njia zingine za kutuma ujumbe. Hakuna ubaya ila nivizuri kujua kua sometimes kuna dalili katika ujumbe zinaonesha kua mahusiano yanaweza kugeuka very flirty.

Moangezi ya ku-flirt PM/SMS ni mengi, depending on who is sending them. Nawaanzishia tu kumi ambazo naskia zinatumika sana humu JF

1.The Shy one : Nimependa ulivo jibu… Atafatisha kwa kusema kua anapenda members ambao wanafikiri tofauti na wengine, anakupa sifa alafu anaanza kukuuliza maswali ambayo hayana uhusiano na topic ulio jibu.

2. The Classic one : Nimeipenda avatar yako… Ataanza kujiulizisha maswali ya uhusiano kati ya avatar yako na wewe mwenyewe na angependa ajue zaidi kukuhusu.

3.The Childish… Unapenda chakula gani? na yeye atataka akwambie cha kwake, alafu aanze kukutafsiria maana ya kupenda chakula hichi au kile, na hatimae aanze kukwambia kua chakula Fulani kinaongeza nguvu za kiume na Fulani kinanyegesha …(also works with song, star, movie, drink BUT NOT books)

4.JF by night : Uko wapi sasa hivi ... Alternative ni unafanya nini sasa hivi, uko peke yako, umekaa pozi gani etc.

5.Fundi chereani : Umevaa nguo gani? Atataka ajue nguo za nje, ni ndefu au fupi, zimebana au zimepwaya, hazikupi joto? na ukimchekea atauliza hadi za ndani.

6. The executive: anakufanya secretary, (hasa kwa members wanao penda kuchangia kwa kizungu..). Nisaidie kutafsiri… Atakuanzia na maneno ya kawaida kama ‘kula na kunywa', alafu aanze maneno kama ‘kutamani, malavidavi,kilele' na kadhalika.

7. The naughty one: anapenda kuchanganya maana ya vitu ..(ex: wewe umesema jicho, yeye anajifanya kaelewa "jicho"). Unaongea utamaduni kasha rukia shanga…

8.The fake gentleman/Lady: anamaliza kwa kuandika "kiss" alafu anajifanya kuongeza (I hope you don't mind). Hii ni kwa wale ambao mmesha tumiana PM zingine muhimu alafu anataka akubadilishie gear.

9.The inquisitor : Una mpenzi? Hata kama unae atakuconvice kua huna sababu hayupo hapo next to you dakika hii, baada ya hapo atakuuliza unafanyaje kuvumilia? Mara atakuuliza kama matamanio ya mwili hayakusumbui na anaanza kukuuliza unadeal vipi...

10. Action man/woman : Ningekua hapo tungefanya nini? Hii kiboko! Nimehadithiwa asubuhi hii, na ndio imenifanya kuanzisha thread!

11. Suprize!: hamjawahi kukutana katika thread, humjui, hakujui, anakuanzia tu na PM... (Source: Excellent)

12. … we umekutana na yupi hapo juu? kama hayupo, endelea...

POST SCRIPTUM: Kuna members wameuliza (baada ya kusoma thread hii) kama MODS wanasoma PM, sio kweli, MOD hawana uwezo huo!
 
Mara nyingi tunakutana na watu humu JF ambao tunapishana kwenye mada jamvini ghafla unaona wanaamua kukutumia PM, vile vile mtu (nje ya JF) mmebadilisha contacts kwa sababu moja au nyingine, alafu anakuanzia SMS/BBM/Skype, au njia zingine za kutuma ujumbe. Hakuna ubaya ila unatakiwa kujua kua sometimes kuna alama katika ujumbe zinaonesha kua mahusiano yanaweza kugeuka very flirty.

Moangezi ya ku-flirt PM/SMS ni mengi, depending on who is sending them. Nawaanzishia tu kumi ambazo naskia zinatumika sana humu JF

1.The Shy one : Nimependa ulivo jibu… Atafatisha kwa kusema kua anapenda members ambao wanafikiri tofauti na wengine, anakupa sifa alafu anaanza kukuuliza maswali ambayo hayana uhusiano na topic ulio jibu.

2. The Classic one : Nimeipenda avatar yako… Ataanza kujiulizisha maswali ya uhusiano kati ya avatar yako na wewe mwenyewe na angependa ajue zaidi kukuhusu.

3.The Childish… Unapenda chakula gani? na yeye atataka akwambie cha kwake, alafu aanze kukutafsiria maana ya kupenda chakula hichi au kile, na hatimae aanze kukwambia kua chakula Fulani kinaongeza nguvu za kiume na Fulani kinanyegesha …(also works with song, star, movie, drink BUT NOT books)

4.JF by night : Uko wapi sasa hivi ... Alternative ni unafanya nini sasa hivi, uko peke yako, umekaa pozi gani etc.

5.Fundi chereani : Umevaa nguo gani? Atataka ajue nguo za nje, ni ndefu au fupi, zimebana au zimepwaya, hazikupi joto? na ukimchekea atauliza hadi za ndani.

6. The executive: anakufanya secretary, (hasa kwa members wanao penda kuchangia kwa kizungu..). Nisaidie kutafsiri… Atakuanzia na maneno ya kawaida kama ‘kula na kunywa', alafu aanze maneno kama ‘kutamani, malavidavi,kilele' na kadhalika.

7. The naughty one: anapenda kuchanganya maana ya vitu ..(ex: wewe umesema jicho, yeye anajifanya kaelewa "jicho"). Unaongea utamaduni kasha rukia shanga…

8.The fake gentleman/Lady: anamaliza kwa kuandika "kiss" alafu anajifanya kuongeza (I hope you don't mind). Hii ni kwa wale ambao mmesha tumiana PM zingine muhimu alafu anataka akubadilishie gear.

9.The inquisitor : Una mpenzi? Hata kama unae atakuconvice kua huna sababu hayupo hapo next to you dakika hii, baada ya hapo atakuuliza unafanyaje kuvumilia? Mara atakuuliza kama matamanio ya mwili hayakusumbui na anaanza kukuuliza unadeal vipi...

10. Action man/woman : Ningekua hapo tungefanya nini? Hii kiboko! Nimehadithiwa asubuhi hii, na ndio imenifanya kuanzisha thread!

11. … we umekutana na yupi hapo juu? kama hayupo, endelea...

Umemaliza zote nilizowahi kutana nazo, maana JF ni hao hao unaokutana nao.
 
mimi niko nazicategorize zipi ni zipi then nitakuja kuendelea
au niweke pm hapa uzichambue?
Wala usijaribu, utaleta msongamano mkubwa sana. there is a reason PM are personal. hahahahaha
 
Nimeipenda namba tano.

Nadhani kuna kundi sijaliona. Kuna jamaa alitoa ofa ya PC Game akasema ni bure anaehitaji am'PM. Mi nikam'PM tukabadilishana namba. Cha ajabu kila ninapomtafuta akawa ananizugusha kama namdai vile. Nilijisikia vibaya sana, nikaona nipotezee tu!
 
We Mrusi.........modereta Mkuuwa MMU.

Kwanini unasoma PM zetu?

Kwanini jamani?

Sie tuko busy kutongozana we uko busy kufanya utafiti! Khaa! Hujui MMU ni jukwaa la mapenzi? Na mapenzi si ni kutongozana?

You have been warned!
 
Unaposema "hakuna ubaya lakini unatakiwa kujua kadha wa kadha" unakusudiaje?

Mimi natakiwa kujua hayo na nani? Au niseme nani anaenitaka nijue hayo?
Well, I am still not sure about the question ila nadhani it is clear that I am sharing some funny information and itakua ni mimi nataka kukujuza about my findings... au?
 
Back
Top Bottom