Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,370
lol halafu wao wakitumia huo ujanja sisi hatujali ila tutazidi kupendana more and moreyou just wait.ndo naziweka vizuri
lol halafu wao wakitumia huo ujanja sisi hatujali ila tutazidi kupendana more and moreyou just wait.ndo naziweka vizuri
jamani kuna wanaoona pm za watu nini,mbona mnatushtua hivo
Really??
karibu tena!! Naiogopa hiyo bastola yakolooooooo!!!!
kumbe nilivunja ukimya eeeeh, wale vishankupe waliolkuwa busy kunitukana wako wapi?
kumbe mnapenda kuambiwa mambo kwa kuremba, tabia za kitanzania hizi, hamtaki kuambiwa mambo machungu kwa uchungu.
kila la kheri waungwana, na kutongozana kwema.
Nshakutumia, nijibu basi.Nasikitika sijawahi tumiwa PM sijui nagundu????
Hahaha! Namba 3 kwenye kutuma au kutumiwa?imekugusa eeh? Halafu wewe nahisi uko namba tatu lol
Simaanishi ushawahi kuni-PM, najitetea, lol
lol!Pm zingine za mahabaHizi Pm ni kama email za Outlook ambazo kunakuwa na Moderator or administrator ambao wana uwezo wa kufanya lolote kwenye Inbox and outbox zako..so ...hawajani convice bwana kama ni salama kule,
Lakini kama hakuna msg zenye njama za kuua ,au zilizo against na haki za binadamu hakuna noma
looooooo!!!!
kumbe nilivunja ukimya eeeeh, wale vishankupe waliolkuwa busy kunitukana wako wapi?
kumbe mnapenda kuambiwa mambo kwa kuremba, tabia za kitanzania hizi, hamtaki kuambiwa mambo machungu kwa uchungu.
kila la kheri waungwana, na kutongozana kwema.
tatizo una bastola mpaka PM zinagomalooooooo!!!!
kumbe nilivunja ukimya eeeeh, wale vishankupe waliolkuwa busy kunitukana wako wapi?
kumbe mnapenda kuambiwa mambo kwa kuremba, tabia za kitanzania hizi, hamtaki kuambiwa mambo machungu kwa uchungu.
kila la kheri waungwana, na kutongozana kwema.
Nimeipenda namba tano.
Nadhani kuna kundi sijaliona. Kuna jamaa alitoa ofa ya PC Game akasema ni bure anaehitaji am'PM. Mi nikam'PM tukabadilishana namba. Cha ajabu kila ninapomtafuta akawa ananizugusha kama namdai vile. Nilijisikia vibaya sana, nikaona nipotezee tu!
Asprin
JF Premium Member
This message has been deleted by INNOVATOR
Rejao
JF Premium Member
This message has been deleted by INNOVATOR
Huyu Innovator nani kampa mamlaka ya kufuta posts za magreat thinkers kama sisi?
Anajua nguvu, akili na muda tuliotumia kuandika hizo yuziful posts?
Wapa PAW anipigie hii mtu BAN kulaaleki...
Really. . . . . .?As you say ni kheri sisi tusio pata. Nakumbuka kuna thread Lizzy alianza, ya kuuliza utaratibu wa ku-ignore maana kuna mtu alimweka kwenye ignore list ila jamaa akawa anaendelea ku-PM
Mimi siwajui. Na kama unawajua ole wako ukiwataja. that is 'name calling'+'kuleta mambo ya PM jamvini'!