Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,874
Topic ya aina hii kuanzishwa na Super Moderator inaashiria kuwa moderetors kazi yao ni kusoma PM za watu.
hahah...Mwalimu...mimi nadhani tusisahau kuwa Mods nao nim watu (afterall naona kumbe na wewe tayari, so hapa napeta tu)
I mean inabidi waishi kama watu ili waweze kuwaelewa watu!