R_Breazy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 265
- 541
Hii ni kauli dume sana, rafiki yangu kanitamkia, sikujua kama anafahamu hilo..
Habari za majukumu wakuu.
Nimeona niandike au kushare kidogo juu ya wema rafiki yangu amenifanyia na anaendelea kunifanyia.
Ni rafiki yangu tulikutana Advance chuo kila mmoja alisoma tofauti: niseme jamaa angu ananiamini na kunikubali sana same to me, haya yote tuliyajenga miaka ya nyuma tulipo Kutana skuli.
Masomo tumemaliza na alitangulia kuja mjini kupambana Mungu kamjalia si haba kodi, chakula na basic needs za kawaida si shida kwake; niseme tu jamaa hana njaa kama hapo nyuma kipindi tunasoma canteen mnaenda na jero mandazi manne chai mnagawana nusu kikombe au hata kushare ilitosha kabisa kuonyesha kuwa sote kubwa hali ya nyumbani si nzuri kwani-japo darasani tulikuwa vizuri kwenye masomo(kipanga wanaita siku hizi-nature haikosei sijui ilikuwaje ila tulijikuta tu marafiki tena kigroup flan cha watu la wanne watano wote shule imelala) wanaume mnaelewa izi mbanga💪💪.
Baada ya masomo kurudi nyumbani niliona si kweli nikapitia kwa mama mtu ajira mpya tukaishia kugombana ndo kuamua nije mjini, jamaa ndio alinipokea since day one till today Kwa lengo nitafute kibarua/ fursa kuhusu kula kulala uhakika.
Kweli nilitia team mjini, mshikaji kapanga room ina 2 rooms na sebule, baada ya siku chache mtu wake akaja same time na apply na kutafuta sana vibarua kila kona, na hadi sasa natafuta.
ASEE niseme tu watu wema wapo, lakini pia urafiki una nguvu pengine kuzidi hata ndugu (unaweza usielewe nachomaanisha hapa) ila amini hivyo na kama huamini stolazimisha uamini.
Nimesaka michongo sijapata kuna muda nili give up ila mshikaji alikuwa ananipa moyo nisichoke kumbuka hata nauli tu kuna muda niliishiwa hivyo yeye akawa anatoa nauli ya sehemu mimi nataka niende au kufanya.
Imeenda hivyo mpaka siku mtu wake amejifungua, ugeni ukawa mwingi familia ikaongezeka-na katika familia mimi ndio sina kazi na siingizi chochote(nipo nipo tu, nikitoka nasaka vibarua/mchongo siku zingine nashinda tu ndani-SITOKI KABISA), niliumiza kichwa cha kufanya option niliyopata ni kurudi kwa mama mtu ambaye tulivurugana na niseme nilimtolea shit sana ila ndio mtu kila akipata mshahara alikuwa hakosi kunishikia hata 30k ya vocha ila baada ya kumtolea shit milango akafunga.
Niliwaza option iliyokuja ni mimi kuomba radhi kwa mtu wangu najua ananikubali ila ishu ni kujishusha-kwa wakati huu ilibidi nijishushe niombe radhi then nimweleze nia yangu.
Kila kitu kikienda sawa kama nilivyoplan alisumbua nami nkatishia kama unasemehe samehe kama htaki niambie nijue-msamaha nilikuwa nauhtaji ila niliomba kibabe nsionekane desparate sana, japo kweli angekaza 😁😁😁🙌sijui ingekuaje- niseme tu nilifanikiwa.
Plan kubwa ikabaki kurudi kwa mshikaji ili nimweleze plan yangu ya kuondoka ili nipunguze jam- familia ya watu saba town si mchezo🔥
Nilitafuta time nkamueleza nia yangu ya kutaka nitoke, nikamweleza mipango nkagusia pia the way nmepambana kutafuta hivyo bora nirudi kwa mtu wangu, kama kutakuwa na fursa basi nitarejea.
Hapa jamaa alitema maneno hadi machozi yalinilenga:
"TANGU UMEKUJA HAPA KUNA MTU KAKUULIZA AU KUKUKOROMEA CHOCHOTE, KUNA SHIDA YOYOTE? MIMI NDO NILIKULETA HAPA NA HAKUNA MTU ATAKUULIZA, KAMA NI SWALA LA WEWE KUTOKA MIMI NDO NITAAMUA, HAKUNA HAJA YA WEWE KUTOKA, akaendelea...UNAONDOKA MJINI PENYE FURSA UNAENDA KIJIJINI, UNAKOENDA ULIONDOKA KWA SHARI MWANAMKE HAWEZI KUKUHUDUMIA MIEZI MIWILI ATACHOKA MTAGOMBANA TENA...ALIONGEA MENGI SANA-AKAKAZIA UTAPATA TU KAZI USICHOKE KUTAFUTA HAPA NI MJINI..
MWISHO WA SIKU ALITAMKA KAULI AMBAYO SIKUJUA KAMA ANAIJUA KWAMBA "Urafiki ni Gharama" aliendelea nipambane kujijenga Mimi kwanza kuhusu mwanamke ibaki mawasiliano ya kawaida sababu nimezaa nae. Mwisho jamaa alinisisitiza nisiondoke, kiukweli maneno alikuwa anayatoa nikua nahisi kama ndoto.
Aloo nina marafiki wengi wazuri wa material haya ila huyu kaenda extra miles mpaka najiuliza kwanini ananitendea yote haya, ni urafiki tu. MUNGU ampe maisha marefu sana na abariki kila hatua njema rafiki yangu.
Nimeandika hapa sabu hata nikishukuru haitoshi nimeandika Kwa ajili Yako na Kwa ajili ya Dunia-naamini hili andiko litabaki milele kuelezea shukrani zangu kwako na Kwa muumba wetu na watu wote watakaoona na KUSOMA thread hii.
Najua hutumii hii platform ila shukrani zangu za dhati zitakuwa baraka na neema siku zote za maisha Yako, Asante haitoshi ila naamini katika hili andiko Asante yangu itadumu hata pale ntakaposhindwa kujisogeza. MUNGU akitunze kichanga chako, abariki familia na vizazi vyako rafiki.🙏🙏
ASANTE