utatuhakikishiaje mkuu mimi mwenyewe nina wasiwasi kwenye PM hakuna siri kabisa
Duh! Naona mada inakwenda mbali zaidi...
Funika kombe.....Iwe Paranoia isiwe, hivyo ndo itakavyochukuliwa na wengi hususan ukizingatia kuwa mara nyingi watu walishauliza usalama wa PM zao iwapo Moderators wanaweza kuzisoma na halikujibiwa na uongozi wa JF na badala yake members wakasema kuwa ndio wanaweza kuzisoma 'wakitaka'
Hizo sikuziskia... ila nadhani lazima kutakua na uhusiano umesha jengwa kati ya members, au? maana huwezi kuanza ghafla na ukaingia kama hivo... sijui lakini...RR:
Hujawahi kupata simulizi kuhusu PM zinazohitaji wenyeji? Na maana ya WaTZ waishio nje ya nchi kupm watu wa nyumbani kwenda kuwapokea uwanja wa ndege...
Iwe Paranoia isiwe, hivyo ndo itakavyochukuliwa na wengi hususan ukizingatia kuwa mara nyingi watu walishauliza usalama wa PM zao iwapo Moderators wanaweza kuzisoma na halikujibiwa na uongozi wa JF na badala yake members wakasema kuwa ndio wanaweza kuzisoma 'wakitaka'
Gaijin kama kuna watu walikua na wasiwasi na wakatunga thread bila kujibiwa basi watanisoma hapa (katika hii post) nikiwahakikishia kua as a MOD sina uwezo wa kusoma PM za mtu zaidi ya PM zangu mwenyewe au reported PM ambazo zinaripotiwa na mtu anae zipokea. vingine ni kati ya wanao tumiana PM.Kibs, haipiti hata wiki mbili zilizopita kulikuwa na thread iliyoanzishwa ambapo mtu aaliulizia usalama wa PM zake. Watu wengi walionekana kuwa na wasi wasi sana na PM zao na hilo suala la iwapo moderators wanaweza kuona halikujibiwa na uongozi.
Kwa hiyo hiii ya leo "itachukuliwa" kama ushahidi ulioletwa kuwa moderators wanasoma PM za watu.
Gaijin kama kuna watu walikua na wasiwasi na wakatunga thread bila kujibiwa basi watanisoma hapa (katika hii post) nikiwahakikishia kua as a MOD sina uwezo wa kusoma PM za mtu zaidi ya PM zangu mwenyewe au reported PM ambazo zinaripotiwa na mtu anae zipokea. vingine ni kati ya wanao tumiana PM.
Kumbe it was good we highlight this issue so everybody knows...
Hahahaha, fake gentleman, sio? hahahaha
Kibs, haipiti hata wiki mbili zilizopita kulikuwa na thread iliyoanzishwa ambapo mtu aaliulizia usalama wa PM zake. Watu wengi walionekana kuwa na wasi wasi sana na PM zao na hilo suala la iwapo moderators wanaweza kuona halikujibiwa na uongozi.
Kwa hiyo hiii ya leo "itachukuliwa" kama ushahidi ulioletwa kuwa moderators wanasoma PM za watu.
ngoja nianike zile pm zako hapawengine humo PM mambo tunayodiscuss ni mazito bhana,mtu akija kupaste humu jamvini sijui uso wangu nitauficha wapi
Aaah we zianike mi najua huwezi mana ukizianika utapata talaka kwa Rejaongoja nianike zile pm zako hapa
Basi wewe una bahati sana, hakuna members wanakutafuta kwa ku-flirt... ila naskia wapo humu JF...
na wewe utapata kwa kabakabana then we can join together umeona eeeh ngoja niziweke sasaAaah we zianike mi najua huwezi mana ukizianika utapata talaka kwa Rejao
unafit no 9 au umesahau?nimesoma hizo categories nikashindwa kujua na fit wapi aisee:A S 13:
lol!mbona kama inaleta ujanja flani,tusababishe nini halafu tujoin tugetherna wewe utapata kwa kabakabana then we can join together umeona eeeh ngoja niziweke sasa
you just wait.ndo naziweka vizurilol!mbona kama inaleta ujanja flani,tusababishe nini halafu tujoin tugether