JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Can I say Thank You? and would you kindly give me my favourite? On behalf of Sweetie, nasema asante kwa kumnominate...najua atafurahia hii from her niece...:tongue:
Shakamoo Uncle...
cup-of-tea.gif
 
NN acha kutokusema ukweli. Hatujawahi kuendesha shindano na JF Man of all years!

Unaona ulivyo? Kwani wewe nani kakupa mamlaka ya kuendesha kila mchakato humu jamvini hadi iwe bila wewe isiwezekane?

Mimi ndiyo JF Man of All Years...na habari ndo hiyo! Hutaki sasa?
 
Nampendekeza Katavi kwa upande wa wanaume,, King'asti kwa upande wa wanawake...
 
Halafu wewe ndo mwanga wewe....kwenda zako kule.

Bado nimekumaindi ujue
NN, kuna swali nimeuliza katika ile thread yako ya kuchagua watu
Nataka kuzibuka sasa, bonge la breaking news!!!
Tena nakupa exclusivity ya information, but jibu swali langu kwanza.
 
Unaona ulivyo? Kwani wewe nani kakupa mamlaka ya kuendesha kila mchakato humu jamvini hadi iwe bila wewe isiwezekane?

Mimi ndiyo JF Man of All Years...na habari ndo hiyo! Hutaki sasa?

Punguza Jazba Mkuu! Kwanza ile Avatar ya yule nyani iko wapi?

Mkuu mimi sihitaji kupewa mamlaka maana natoa mamlaka. Mimi ni mimi ambaye nina mamlaka toka Mwanzo. Mwaka jana ulishinda kwa Mbinde sana na sasa Taji lime-expire. Self-nomination hairuhusiwi.
 
Najua yupo, na nilikua nimemsahau hadi ulipo mtaja.
Hivi ni jukwaa hili la MMU tu, au jukwaa zote?

nafikiri majukwaa yote ila kama anashiriki MMU ndio atakuwa katika nafasi nzuri ya kushinda. Unataka umchague yule nanilii wa siasa?
 
NN, kuna swali nimeuliza katika ile thread yako ya kuchagua watu
Nataka kuzibuka sasa, bonge la breaking news!!!
Tena nakupa exclusivity ya information, but jibu swali langu kwanza.

Ngoja niende nikacheki
 
Back
Top Bottom