sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Sijawahi na sintokaa!...lolUmeshawahi kusutwa Sweetlady?
Sijawahi na sintokaa!...lolUmeshawahi kusutwa Sweetlady?
Nahisi they are good friends, atamuelewesha tu. 😛oaUsijali Mwali and that is so nice of you kunijulisha candidates wako
Hata Mkaanga Sumu kakuelewa, eventually Ngabu will understand too may be...
Hehehee una 'wifu'?Heee, daku tena? Uchoyo huo sasa!...
Afu umekomalia deni la NN linakuhusu? Tehe! Unafanya kazi majembe siku hizi?
Pole sana, ningekualika Tanga kwa ftari ila masaa yamesha pita, huwezi kuwahi tena.Nimefunga Mwali wangu ila bado sijapata pa kufuturia! Deskmate amechagua wengi bana hata haeleweki,
supamani angeweka kategori ya jf mtoro of the year deskmate, bht na gaijin wangepata kura yangu! Mshawishi basi mwali...
Unashauri vipi Mkurugenzi wa Tume?
Sasa atakua anashindishana na nani?
amesha jinyakulia ushindi yeye!
Wifu sina ila roho inauma manake memba tuko wengi humu sasa iweje Ngabu akuchague wewe kufuatilia hilo deni lake?....Hehehee una 'wifu'?
Twende unisindikize mie mwajiriwa wa mashoka auction mart!
Hakunaga kama Kongosho, Hakunagaaaaa!Labda kama alivyopendekeza Mwali hapa chini,
lakini kabla ya yote, napendekeza tutoe muda kwa yeyote mwenye sifa kama Kongosho ajitokeze,
iwapo hakuna atakayejitokeza basi Kongosho asimame mwenyewe kwenye hiki kinyang'anyiro.
Bado bhana, labda wapo wengine wenye sifa kama zake.
Hahaha! Ukisikiwa na Rejao mie simo, hebu nisaidie kuhesabu kura zangu!..
Jitahidi hata kumtabasamia mpaka ashawishike lol...Pole sana, ningekualika Tanga kwa ftari ila masaa yamesha pita, huwezi kuwahi tena.
Katika hao watoro add Uporotoo1. na yeye kapotea kianina...
ngoja nimshawishi Superman, anaonekana permeable to ushawishi. lol
Hakunaga kama Kongosho, Hakunagaaaaa!
Inaonekana hivo, kwa hiyo shaka ondoaNahisi they are good friends, atamuelewesha tu. 😛oa
Hehehe! Ahsante mwaJ, tutagawana zawadi nusu kwa nusu...Mie nimejitolea kukulindia na kuhesabu kura zako. Mpaka sasa unaongoza.
Fair Question: Nita-update thread.
Mchakato huu unamalizika Jumapili. Kisha Top three watapigiwa kura Jumatatu hadi Jumatano. Alhamis Mshindi anapatikani. Ijumaa anatangazwa. Jumamosi Get together na kupewa zawadi.
Karibu sana! Superman bado namtafuta but ninauhakika atakubali tu. lolJitahidi hata kumtabasamia mpaka ashawishike lol...
Kuhusu futari usijali kwa leo ntakunywa maji, kesho mgeni wako!
Husninyo ni mwanamke (as far as I know) na ukiquote post zake sanahuwezi jua mwali, hivi Husninyo jinsia gani vile?
Umesikia naongoza?, unanifatia kwa karibu sana usijali...Inaonekana hivo, kwa hiyo shaka ondoa
Unaongoza??? kwa category ipi dear?Umesikia naongoza?, unanifatia kwa karibu sana usijali...
Karibu sana! Superman bado namtafuta but ninauhakika atakubali tu. lol
Husninyo ni mwanamke (as far as I know) na ukiquote post zake sana
Klorokwini atakuja kukuuliza. Sasa sijui kama ni body guard wake pia (coz he is my bodyguard)
Njoo njia panda ya mbauda nakupitia hapo maana naona sasa umegeuka omba ombaJitahidi hata kumtabasamia mpaka ashawishike lol...
Kuhusu futari usijali kwa leo ntakunywa maji, kesho mgeni wako!
Hehehe! Ahsante mwaJ, tutagawana zawadi nusu kwa nusu...
Hahaaaaa SL bana! Umenipita kura ngapi?Umesikia naongoza?, unanifatia kwa karibu sana usijali...