JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Ungesema KwaoS ionekane ni plural ya kwao. yeye ana kwao, na mimi nina kwetu. lol

Bi. dada umenikumbusha nyimbo moja inasema

"ninapenda kwa ishara, naogopa kutamka
kama mapenzi ni dhara, mwenzenu nishadhurika

:lol:
 
hahhaaa kiswanglish na sheng mie sijui bana

mmmh na wewe mbona EMT akitwaja unaruka kimanga hivo??????????????? (just a candidate?)
Hahahaha, hizo ni strategies za NN, anataka niache kumpigia debe
ili yeye ashinde kwa kutumia alter IDs zake, but nimesha mgundua!
 
  • Thanks
Reactions: bht
nimefunga SL

karibu futari ya makonokono
Hehehe, pole na swaumu....kisha ingetosha tu kusema karibu futari bila kutaja ni aina gani!...nipo njiani naja yakhe!
 
Hahahaha, hizo ni strategies za NN, anataka niache kumpigia debe
ili yeye ashinde kwa kutumia alter IDs zake, but nimesha mgundua!

Mwali Mwali, usisahau penzi ni kikohozi kulifcha huliwezi...haya, mie nipo bado natazama
 
Hehehe, pole na swaumu....kisha ingetosha tu kusema karibu futari bila kutaja ni aina gani!...nipo njiani naja yakhe!

nimetaka ili usije...:lol:

njoo mida ya daku saa hizi nina miadi na Supamani...Ngabu kanikodi nimkusanyie deni lake
 
Umeshindwa kujizuia hadi umemtaja leo!

Jana uligoma kabisa hadi ukampachika jina la "yule"....lol...Mwali bana.
Halafu wewe NNmbona unapenda kuchanganya mambo?
Ile ni thread ya kuchagua wakutoka nae, hii ni JF man of the year
it's just not the same! (Na nimesha kuomba yale ya kule yaishe)
leo ilikua lazima nimtaje, Bht hakua nawajua candidates wangu
 
Mwali Mwali, usisahau penzi ni kikohozi kulifcha huliwezi...haya, mie nipo bado natazama
No worries Bht, nikipenda/pendwa utajua, mi si mfichi (ingawa sitangazi)
Hapa tunaongea candidate kama candidate.
Mbona Belinda Jacob na Husninyo walianza kumtafutia kura kabla yangu?
na they were very active pia, ila hawakuulizwa haya maswali?
 
  • Thanks
Reactions: bht
Hehehe, pole na swaumu....kisha ingetosha tu kusema karibu futari bila kutaja ni aina gani!...nipo njiani naja yakhe!
Sweetie na wewe umefunga? hivi deskmate wangu alimchagua nani?
 
Halafu wewe NNmbona unapenda kuchanganya mambo?
Ile ni thread ya kuchagua wakutoka nae, hii ni JF man of the year
it's just not the same! (Na nimesha kuomba yale ya kule yaishe)
leo ilikua lazima nimtaje, Bht hakua nawajua candidates wangu

Mwali muhali leo?
 
Bi. dada umenikumbusha nyimbo moja inasema

"ninapenda kwa ishara, naogopa kutamka
kama mapenzi ni dhara, mwenzenu nishadhurika

:lol:
Dah! sasa kwa hali hii unaniongezea pressure ya kupunnguza zeal. I trust your judgement...
kama wewe pia umeona it is too much bora nikae offisini na candidate wangu tupange strategies,
niwaache wengine waje kupiga debe. lol
 
Ule wimbo uchukulie kama "tahadhari kabla ya athari" tu
 
nimetaka ili usije...:lol:

njoo mida ya daku saa hizi nina miadi na Supamani...Ngabu kanikodi nimkusanyie deni lake
Heee, daku tena? Uchoyo huo sasa!...

Afu umekomalia deni la NN linakuhusu? Tehe! Unafanya kazi majembe siku hizi?
 
Halafu wewe NNmbona unapenda kuchanganya mambo?
Ile ni thread ya kuchagua wakutoka nae, hii ni JF man of the year
it's just not the same! (Na nimesha kuomba yale ya kule yaishe)
leo ilikua lazima nimtaje, Bht hakua nawajua candidates wangu
Usijali Mwali and that is so nice of you kunijulisha candidates wako
Hata Mkaanga Sumu kakuelewa, eventually Ngabu will understand too may be...
 
Sweetie na wewe umefunga? hivi deskmate wangu alimchagua nani?
Nimefunga Mwali wangu ila bado sijapata pa kufuturia! Deskmate amechagua wengi bana hata haeleweki,

supamani angeweka kategori ya jf mtoro of the year deskmate, bht na gaijin wangepata kura yangu! Mshawishi basi mwali...
 
Back
Top Bottom