JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Umefanya la maana sana kumpa tahazari, faza wangu wa kambo anatokea sumbawanga, ananunua kiberiti kimoja dukani kikifika home kinazaa.

Mwambie Tanmo haruhusiwi kurudia rudia jina la mwali na husninyo zaidi ya mara tatu kwa siku

Mkuu Kloro habari za jioni?
Husninyo hajambo?
 
Pole sana, ningekualika Tanga kwa ftari ila masaa yamesha pita, huwezi kuwahi tena.
Katika hao watoro add Uporotoo1. na yeye kapotea kianina...
ngoja nimshawishi Superman, anaonekana permeable to ushawishi. lol

Mwali . . . Ohoooo, mbona Mammy mimi siyo "Permeable" (Whatever it means). Afu Sidanganyiki!
 
Jitahidi hata kumtabasamia mpaka ashawishike lol...

Kuhusu futari usijali kwa leo ntakunywa maji, kesho mgeni wako!


Wewe, huku kwenye PM watu wamekuja na pesa nimekataa. Kuna waliotaka eti kunipa penzi nimegoma. Na wakibisha nawalipua.

Afu mimi sidanganyiki, Mimi Mutu ya Pesa Mingi, Mutu Tajiri ya Mapenzi. Mutu Bye Bye Kabisa.
 
Njoo njia panda ya mbauda nakupitia hapo maana naona sasa umegeuka omba omba
Hahahaha! Unanifanya naonekana mwendawazimu ati! Naulizwa vipi mama tutafute kamba tukufunge lol! Haya nambie nimjibuje huyu anaeniuliza,lol

nipo hapa friends kona nakuja.
 
Hivi, mnamrusu Mwenyekiti afanye nomination pia?

Oops! Nimefuta usemi wangu.
 
Hahahaha! Unanifanya naonekana mwendawazimu ati! Naulizwa vipi mama tutafute kamba tukufunge lol! Haya nambie nimjibuje huyu anaeniuliza,lol

nipo hapa friends kona nakuja.
Hahhhaaa vipi kwani? Are you behaving strangely or something?

Jamani frendz kona huko hata ufike kwa Bensoni, uhuru, tfa, kona ya nrb, soko mjingaa ni leo?
Harakisha basi
 
Habar za jioni kama madagascar vile.
Husninyo yuko bomba, niko nae ubalozi wa zimbabwe apa tunaomba viza.

sasa kuna ile hela alinikopa kwenda kununulia mananihii ya kichina, hebu muulize atanilipa lini?
oops, kumbe tuko kwenye thread ya kinyang'anyiro...
Manake Superman kaamua kunipa hongo ya usaidizi baada ya kutaka kufichua dili lake na N.N mwaka jana, lol
 
Hiyo ni motisha tosha Sweetlady! Ngoja nivae miwani kabisa maana hapa nahisi kuna watu watachakachua matokeo.
Vaa upesi dia, si wamuona supamani ashaanza kusema kura bado hazijahesabiwa? Hiyo ni dalili ya kuchakachuliwa matokeo...lol.
 
hivi naruhusiwa kupiga kura zaidi ya mara moja?
Cheaman, nataka nipige tena.
 
Back
Top Bottom