figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,175
- 64,552
sipati picha ya chupa zitakazo kuwepo.
mia
mia
Mimi naomba Tenda ya Kuuza Ugoro na Mneli kwenye hiyo Pati wajameni..
Ha ha ha haaaa!....Lol!
Ukienda Dar utakuta kila unayempigia anatangulia kukuuliza.."kwani we uko wapi"?, Ukisema niko Buguruni KOSA!...Atakwambia mbona mi niko Tegeta na sasa hivi kuna foleni kubwa bana, tutaftane siku ingine". Saundi miiingi, Ujanja mtandaoni tu!!
Acheni usanii bana, siku hizi kuna treni la Mwakyembe, kwahiyo mambo ya foleni hayana utetezi tena, pokeeni wenzenu wanapokuja Dar! Ugumu wanini, we tafuta nauli ya dala-dala ya Mtogole-Ubungo inatosha, mi mambo ya bili ya chomachoma na Konyagi zangu na zako yananihusu, Huwa tunakuja Dar tukiwa full Tanzanite-One bana, nyie vipi?!
maelekezo please! hiyo venue iko pande gani?
Mkuu,
Suti ya nini si tunaenda vekesheni huko ma-outskirts!
Usiwe kama Diamond Platinums aliyeenda Ngorongoro na Suti ya kuolea!
Huko unakuwa kwenye mkao wa kukabiliana na makasheshe!
![]()
chukua...... 04 28.11 S......36 40.18 E....hakikisha unawasili salama.....