Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Dah figganigga unanitega meeensipati picha ya chupa zitakazo kuwepo.
![]()
mia
Muulize Mr Rocky na charminglady wanajua kiapo changu juu ya haya mauchachu
Last edited by a moderator:
Dah figganigga unanitega meeensipati picha ya chupa zitakazo kuwepo.
![]()
mia
sasa tutakomfyuzi........si ni jumamosi au......?
Hoya chaliii yangu!
Uncle nini tena........?
Habari njema hii...but sipo R...ntamisije..
Niaje dogo langu
Analeta u lawyer Unga Ltd? HeheeeKwani Vipi? Ruttashobolwa anataka kuleta kwere? kama vepe nimletee machalii wa kazi.
Analeta u lawyer Unga Ltd? Heheee
Orait arifu, lakini ajue kuwa hapa kuna mabushloya, matown loyas wakutosha kwanza namtaka Ruttashobolwa aje c63 kwenye wito wa Preta.
Analeta u lawyer Unga Ltd? Heheee
Hao jamaa wa unga hawana lolote sikuhizi wamenyweaa juzi nimepita hapo yan wamebaki majina tuu!
Preta,
Lete maendeleo ya hii maneno!...tunataka ratiba full ya siku ya kikao...!
Ila venue tuletewe chumbani aka PM maana kuna watu wawili ambao tumepata taarifa za intelijensia kuwa wamechukia kwasababu hawajaalikwa, na hivyo wanaplani kutu-Romney wote!...Mimi nitawataja ili na nyie muwatathmini, na iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo kama haya!
Ni Remmy na Paw!...lol!
Nashangaa Blaki Womani yuko kimya hadi saa hizi wakati anatakiwa ku'propose direksio ya lokesio ili watu wajikondisio na wafanye preparasio ya vacasio wakiwa bie.
Affirm.mwenyekiti.....kutokana na hadidu rejea....venue napendekeza ibaki kama ilivyo....anlesi azawaizi kutokee zarura timilifu.....
Wanaoafiki waseme ndio........
wasioafiki waseme sio........