Jf-arusha wing...safari updates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf-arusha wing...safari updates

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by PakaJimmy, Dec 10, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wana-JF wa Arusha,
  Wababa :Enda-Subhai!
  Wamama :Endakwenya!
  Wote :Subhati Ngerai, habari-ya-Ngaji?..Engai Engoitoi!...poleni sana!
  Wapendwa,
  Nia yangu si ubaguzi wa Makabila au maeneo, lakini kama mjuavyo, Maasai ndio mila/kabila PEKEE linalojaribu kushindana na kasi ya mabadiliko yaliyoasisiwa na ujio wa wageni nchini!

  Nia ya post hii ni kuwajulisha wana-JF wa Arusha na maeneo ya jirani kwamba kuelekea mwisho wa mwaka 2010 tuna Mpango Kabambe wa kuasisi mijumuiko ya kijamii, ambapo kwa kufanya hivyo tutakuwa tunatekeleza kwa vitendo upiganiaji haki wetu, ambao kwa bahati mbaya umekuwa kimabandiko-zaidi kuliko uhalisia..Charity begins home...na tuanze sisi wenyewe kuonyesha kwamba mambo haya yanaweza kubadilishwa na kutendewa kazi ya kuonekana kwa macho...lets go substantial!

  Jana (9/12/2010-Uhuru wa Tanganyika) wana-JF kama 5 wa hapa Arusha, tukiwa na m-JF mgeni toka Dar tulikutana mahali kwaajili ya kufahamiana na kubadilishana mawazo, tukagundua kwamba ni jambo jema sana kukaa pamoja na kuongea, na hatimaye tukaona umuhimu wa kufanya kitu cha kirafiki.

  Tuliazimia kuwa tu'organize safari ya kutembelea mbuga yoyote ya wanyama iliyoko pande za huku kama ambavyo tutakubaliana, kabla ya Krismas, yaani kati ya tarehe 15-23/12/2010...

  Tumegundua kuwa Arusha kuna members wengi sana(huenda kuliko Dar:grouphug:)...!
  Kwa members wote mtakaokuwa interested, tafadhali aidha onyesheni kwenye bandiko hili, au nitumieni PM, ili pamoja na mengine tufanye kikao cha awali cha logistics.
  NB:
  Members wa nchi nzima mtakaokuwa Arusha/Moshi kwaajili ya X-MAS au LIKIZO au vyovyote mnakaribishwa sana ili tuungane pamoja!
  Ngongo.. Rutashubanyuma, na wengineo, tunahitaji sana inputs zenu!
  UPDATE 1:
  Mkuu Maxence Melo atahudhuria kwenye hii safari, na ameomba kuwa na maongezi na members wa Arusha, na hata kujibu maswali mbalimbali kuhusu Jf na mengineyo.
  Tarehe imebadilishwa(kwa convinience ya Melo na wanaJF wengine toka Dar, imekuwa 27/12/2010, badala ya 23/12.
  [/quote]
  UPDATE 2:
  Kutakuwa na kikao cha Maandalizi Siku ya Jumanne, tarehe 14/12/2010, saa 11.00 kamili jioni...tumeweka muda huo kuwawezesha wanaotoka makazini waweze kuhudhuria.
  Venue itatolewa kwa wale waliowasilisha namba zao kwa pioneers wa mpango huu, hivyo jitahidi kutuma namba yako kwenye namba iliyokuPM kwaajili ya suala hili.
  UPDATE 3
  Jana (14/12/2010)tulifanikiwa kuanzisha kikao(pilot-meeting), ambacho kilifanikiwa sana..Kwa ujumla ni kwamba tulitengeneza skeleton yote ya safari nzima, na matukio ya baada ya safari.
  Tume'schedule kikao kingine kufanyika IJUMAA,17/12/2010, SAME VENUE, SAME TIME(0500PM)....
  WITO WANGU KWA WALE AMBAO WAMEKOSA KIKAO CHA MWANZO, NAWAOMBA MSIKOSE KIKAO KIJACHO, ni muhimu sana, na ni burudani!
  Baada ya kikao hicho cha Ijumaa tutatoa taarifa rasmi na FINAL kwa Umma wa JF juu ya taratibu za ushiriki(Mkono mtupu haurambwi).
  Aksanteni tena.

  UPDATE 4:
  Maamuzi ya kikao cha jana ni kama ifuatavyo:

  1.Safari itakuwa na awamu 2 ndani ya siku 1,ambapo ni(a)Kwenda Mbugani(b)Kikao na Mkuu Maxence..kwa maana hiyo kuwasili(wa mbali)ni 26/12, na safari 27/12.
  2. Bajeti iliyoandaliwa inainclude Usafiri, Chakula, Vinywaji,(cold-drinks) na Viingilio getini.
  Lakini pia baada ya kurudi Arusha, kuna gharama za Ukumbi-wa kukutania kwa Maongezi na Mkuu, Barbeque ya uhakika na Vinywaji, na zawadi ya Sungura kwa Mkuu, (tumesikia anapenda sana kufuga)!
  3.Kwa bajeti hiyo, kila atayeungana nasi atachangia ths 50,000/=tu kama gharama ya kucover vitu hivyo vyote.
  4.Kuna members ambao wako pamoja na sisi, tarehe hizo watakuwa na majukumu, lakini watachangia ili kuonyesha mshikamano.
  5.Michango yote itumwe kwa M-PESA kwa namba 0762-320630.
  6.Deadline ya michango hii ni tarehe 24/12/2010
  7.Mliopo nje ya Arusha, tafadhali wahisheni contributions ili tuweke mambo sawa.
  8.Eneo la kikao cha Maongezi baada ya Safari linahifadhiwa kwa sababu za Usalama.
  5.Hali ya uthibitisho wa members mpaka leo iko hivi:

  UPDATE 5:
  Kikao cha mwisho ni kesho 23/12/2010, venue palepale. Muda saa 11 kamili.

  Waliothibitisha kusafiri na kuchanga.
  1.Preta
  2.Mzee wa Rula
  3.SaharaVoice.
  4.Crashwise
  5.FreeTown
  6.EekaMangi
  7.Derimto
  8.Wiselady
  9.PakaJimmy
  10.Hmethod
  11.Lilyflower
  12.Chipukizi.
  13.Ncha
  14.MrMiela
  15.Loner


  Ambao wameonyesha mwitikio chanya lakini hawajachanga!
  15.Bucho
  16.Baba Ubaya
  17.Kings01
  18.Msindima
  19.Margwe
  20.Mzee wa Serengeti
  21.Ndallo
  22.Ntavyo
  23.Samora
  24.Vince
  25.Ngongo.
  26.Konakali(18/12)
  27.Dar,Moshi, Moro, Dom and other destinations comrades.
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahah PJ hope kwenye hiyo tano na mimi nipo!!
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nafikiri hata tulioko dar, Mwanza, Mbeya. n.k kama tupo interested basi tujumuike pia siyo wa Arusha peke yake
  Asante mkuu:A S-alert1:
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Mkuu Kimey we wa usalule bana sema jengine!

  Big up sana PJ Kwa wazo hili, thats what I have been telling people all this time nadhani mnakumbuka ziara yetu ya mikumi mwanzoni mwa mwaka jana!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Teh..te..heee...
  Mkuu, uliwakilishwa 100% na WL!:mod:
  Hoja zote ulizomtumia kwenye meseji alizionyesha hadharani!..

  Mkuu, karibu sana!
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,062
  Likes Received: 24,061
  Trophy Points: 280
  Nikienda Moshi 'kula krismasi' desemba ntapitia hapo asee.... mwambie Preta aniandalie mshkaki pale kwa Mromboo na Wiselady aniwekee oda ya trupa pale Mrina bar...... PJ utalipia bili ya bia hapo Picnic. Ahsante kwa mwaliko wenu...I WILL BE THERE.:whoo::whoo:

  Salamu kwa Liliy Flower na Msindima tafadhali.
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaha Pope I was there but not physically PJ analijua hili!! BTW lini mndenyi? twende tukarie kidogo! nimemiss ile kitu kwenye avatar ya Teamo acha!
   
 8. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  PJ ashenale,,,
  Naamini itakuwa nafasi nzuri ya kufahamiana na ndugu zetu wengi zaidi ambao tunafahamiana kwa keyboard.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kimsingi nimeiweka hiyo point yako pale mwisho wa thread yangu..ni jambo la wazi,na ni huru kwa m-JF yeyote, naomba nieleweke hivyo!
  Mkuu, kama utakuwepo usisite, tuwasiliane-karibu sana!
   
 10. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Add me to the list. Niko Almatejo bana .Huku kumekucha hasa Krismas inavyokaribia wenzetu nao hawalali kujichukulia visivyo vyao. Be carefull bro hata Mmasai hujeuka kipindi hiki .
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu, hao wote uliowataja walikuwemo kwenye hii 'pilot committee!
  Wana uchungu sana, na hawataki kushindwa na lolote!
  Mavituvitu yote uliyoyataja ni ya kumwaga huku mkuu!
  We andaa parabola tu!:party:

  Thanx for confirming your presence!
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  hahaha huyo si hakuwepo tu jamani asiyekuwepo, yaani kama mimi tu
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  hommie muhimu sana iyo naangali logistic

  hivi utabiri wa hali ya hewa unasemaje izi mvua zitakuwepo bado?:bump::bump:
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Tumeshagundua kuwa kununa na keyboard 24hrs is of less profit!...impact haionekani sana kama tunavyotarajia!
  Hii ni JF ya miaka ya 2010, and it should behave likewise!

  Aksante kwa courage Mkuu!
   
 15. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wana waArusha wanatenda, wengine je?
  Mfano mzuri, hongerezi sana na mtafanikiwa 100%, kwani palipo na jema Mungu huweka mkono wake wa baraka.
  Big up PJ na wana Arusha wote
   
 16. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unakaribishwa sana trupa utashindwa mwenyewe,ila tu naamini ukaguzi wa.... utakuwa umekomea kwa Xi kindulele.
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Your Wish granted Sir!

  OlMatejoo mkuu wangu hapo ni mshikemshike, i dont know how you manage!...lakini home is best!

  Mfamaji nafurahi kuwa tuko pamoja kama samaki na maji!...be connected, and iam sure we gonna make this thing a success and memorable!
   
 18. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  Naamini tutakuwa tumeshashuka mlimani,,,guess wat?
   
 19. GY

  GY JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  JF to the next level, big up sana....tunapata stress kwenye maisha ya kawaida tunakuja kurelax JF, sio tunapata furaha kwenye maisha ya kawaida halafu tuje kuwa stressed JF

  Hunijui sikujuj......???????
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Thnx for ze support Mkuu!...Nia yetu ni pure, hatuna hila, hivyo Mungu yu nasi!
  Hatuna sababu ya kujieleza endapo tutashindwa...!
   
Loading...